Nyumbani » Wanawake na maendeleo Wewe ni browsing entries tagged na “Wanawake na maendeleo”

Magonjwa ya msimu yagharimu maisha ya zaidi ya watu 650,000

Kusikiliza / Picha ya shirika la afya ulimwenguni  ikionyesha mtu mwenye  magonjwa ya njia ya hewa

Ripoti mpya ya Shirika la afya duniani WHO na kituo cha kudhibiti wa magonjwa cha Marekani, CDC,  imesema  zaidi vifo 650,000 kila mwaka vinahusishwa na magonjwa ya njia ya hewa ikiwemo homa ya mafua inayoambukiza watu nyakati tofauti za misimu. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kuna ongezeko kubwa kutoka idadi ya vifo kati ya 250,000  [...]

14/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Serikali wekeza dola 1 katika afya upate dola 20 za mapato- Guterres

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres (kulia) huko Tokyo, Japan akihutubia jukwaa la afya kwa wote. Picha: UM

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yuko Tokyo nchini Japan ambako amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu wa nchi hizo Shinzo Abe. Katika mkutano wao na waandishi wa habari, Bwana Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya usalama kwenye rasi ya Korea. Amesema kila mtu anataka kuepusha hali isiwe mbaya zaidi na kwamba [...]

14/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Djibouti yafuata nyayo kuwakumbatia wakimbizi, UNHCR yakaribisha

Kusikiliza / Watoto wakimbizi kutoka Yemen wanaoishi katika kituo cha muda kwenye nyumba ya watoto yatima ya Al-Rahma huko Obock. Picha: © UNHCR / Marie-Claire Sowinetz

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limekaribisha  kwa furaha sheria mpya iliyopitishwa nchini Djibouti inayowapatia wakimbizi walioko nchini humo fursa ya  kupata huduma za msingi za kijamii bila vikwazo. Assumpta Massoi na taarifa kamili (TAARIFA YA ASSUMPTA MASSOI) Kwa mujibu wa UNHCR, sheria hiyo mpya inayowapa wakimbizi nafasi ya kupata elimukuingia katika [...]

12/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto wapatao 400,000 wakabiliwa na utapiamlo kasai DRC: UNICEF

Kusikiliza / UNICEF kukabiliana na changamoto ya utapiamlo kwa kinamama na watoto nchini DRC. Picha: UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF,  limesema zaidi ya watoto 400,000 wenye umri wa chini ya miaka mitano huko  eneo la Kasai nchini jamhuri ya kidemokrasia la Congo, DRC,  wanakabiliwa na utapiamlo  uliokithiri . Mwakilishi wa UNICEF nchini DRC,  Dkt. Tajudeen Oyewale amesema matatizo ya lishe kwa  watoto hao yamesababishwa na migogoro nchini humo, hivyo kufanya [...]

12/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wapatieni makazi ya kudumu wahamiaji 1,300 Libya- UNHCR

Kusikiliza / Wakimbizi na wahamiaji wanalala sakafuni katika kituo cha kizuizini cha Tariq al-Sikka huko Tripoli, Libya. © UNHCR / Iason Foounten

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limetoa  wito kwa serikali  zote duniani kutoa hifadhi wa kudumu kwa wahamiaji 1300 walioko katika mzingira magumu nchini  Libya. Volker Turk  ambaye Kamisha msaidizi wa UNHCR kwa ajili ya ulinzi kwa wakimbizi amesema hali ya wahamiaji hao  nchini Libya ni ya kusikitisha sana, hivyo wahisani  wanahitajika [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwaka mmoja wa mkataba wa Paris, mafanikio ni dhahiri

Kusikiliza / Mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi. Picha: UM

Mkutano wenye lengo la kuchagiza utekelezaji wa mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi utafanyika kesho mjini Paris, Ufaransa, ukienda sambamba na maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kutiwa saini kwa nyaraka hiyo. Viongozi wa ngazi ya juu watashiriki mkutano huo akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres, Rais wa benki ya Dunia pamoja [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watu wa milimani kusaidiwa kukabili njaa, mabadiliko ya tabia nchi na uhamiaji

Kusikiliza / Wakulima wa Nepal wanabeba lishe ya mifugo. Picha: FAO

Serikali na asasi za kiraia zimeamua kushika usukani katika kuwasidia watu waishio milimani kukabiliana vyema na mabadiliko ya tabia nchi, njaa na uhamiaji  kwa mujibu wa ripoti ya shirika la chakula na kilimo FAO iliyotolewa leo. Ripoti hiyi inasema nchi takriban 60 na mashirika ya kiraia zaidi ya 200 wametoa ahadi leo katika siku ya [...]

11/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

CERF yavunja rekodi, wahisani 36 waahidi dola milioni 383 kwa 2018:

Kusikiliza / Bango la mkutano wa ngazi ya juu wa ahadi za usaidizi kwa CERF kwa ajili ya mwaka 2018. Picha na CERF

Mfuko wa dharura wa Umoja wa Mataifa CERF umevunja rekodi ya mapato kwa mwaka 2017 wakati wahisani walipotoa ahadi zaidi za msaada wa fedha kwa mwaka 2018. Wakati wa mkutano mkutano wa ngazi ya juu wa ahadi za msaada kwa ajili ya mwaka 2018 uliofanyika wiki hii kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New [...]

10/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano yasitishwa mji mkuu Sana'a na sasa yahamia viungani

Kusikiliza / Baiskeli ya mtoto ikiwa kwenye vifusi vya jengo liloporomoka kufuatia mashambulizi ya bomu Sana'a Yemen. Picha: Oka / Makopo ya Charlotte

Nchini Yemen baada ya mfululizo wa mashambulizi ya anga na ardhini kuanzia mwishoni mwa wiki kwenye mji mkuu Sana'a, hatimaye hii leo mashambulizi yamekoma na hivyo wananchi kuweza kuibuka kutoka kwenye makazi yao ili kupata huduma. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka mjini humo, mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, Jamie McGoldrick amesema [...]

05/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

New York katika pilka pilka za kuadhimisha Siku ya Wanawake

Usawa na maendeleo kwa wote

    Wakati huo huo, shughuli nyingine zimepangwa kufanyika hapa mjini New York kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Shughuli hizo ni pamoja na maandamano ya wanawake mashuhuri, wakiwemo mkewe Katibu Mkuu Bi Ban Soon-taek, nyota nyota wa mitindo, Naomi Campbell na mwanamuziki na mwigizaji Monique Coleman, ambayo yatalenga kuchagiza uelewa kuhusu haja ya kutokomeza ukatili [...]

07/03/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Migiro asema kwaheri Umoja wa Mataifa

Asha Migiro na Joshua Mmali

Naibu Katubu Mkuu wa Umoja wa mataifa wiki hii anafungasha virago na kurejea nyumbani Afrika baada ya kuutmikia Umoja wa mataifa kwa miaka mitano. Migiro ambaye ni mwanamke wa pili kushika wadhifa huo na kwanza barani Afrika anasema anaondoka Umoja wa Mataifa kifua mbele akijivunia mengi mazri na mafanikio aliyoyapata si kwake binafsi bali kwa [...]

29/06/2012 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Masuala ya mifugo na sayansi yapewe kipaumbele Rio+20

Bridgit Syombua

  Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo endelevu yaani Rio+20 Jumatano ndio umeanza rasmi kwa viongozi wa serikali na waku wan chi kutoa hotuba. Muafaka wa matokeo ya mktano huo uliafikiwa Jumanne , suala ambalo dnia inasema hi hatua nzuri kelekea mafanikio. DR Bridgit Syombua , ni mtaalamu wa mifugo kutoka nchini Kenya anawakilisha [...]

20/06/2012 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanawake wa dunia lazima wasikilizwe Rio+20

Patricia Kuya

Kitengo cha wanawake cha Umoja wa Mataifa UN women kupitia mkurugenzi wake mkuu Michele Bachelet kimesisitiza kwamba sauti za wanawake lazima zisikilizwe. Akizungmza kwenye mkutano wa Rio+20 Bi Bachelet amesema dunia hivi sasa inakabiliwa na changamoto nyingi za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kimazingiza na ili kukabiliana nazo ni lazima wanawake washirikishwe na sati zao zipewe [...]

18/06/2012 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Idara ya Wanawake ya UM Yajiunga kwenye UNAIDS Kupambana na UKIMWI

nemba ya UNAIDS

Kujumuishwa kwa UN Women kama mshiriki rasmi, ambako kumeidhinishwa leo kwenye mkutano wa halmashauri ya UNAIDS, kunatarajiwa kuimarisha juhudi za shirika hilo zinazohusiana na maswala ya usawa wa jinsia katika kukabiliana na UKIMWI. Pia kunatarajiwa kuongeza ushirikiano na serikali, washirika wa kimataifa, makundi ya wanawake na wanaharakati wa haki za wanawake. Wakati wa hafla ya [...]

05/06/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Rais mpya wa Malawi ni mwanaharakati wa masuala ya wanawake

Rais mpya wa Malawi Joyce Banda

Mwanaharakati wa kupigania haki za wanawake nchini Malawi Joyce Banda amekuwa mwanamke wa kwanza kuwa Rais Kusini mwa Afrika baada ya kushika wadhifa huo kufuatia kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Mwanamama huyo aliyekuwa makamu wa Rais na mama wa watoto watatu ameapishwa Jumamosi kwa mujibu wa katiba kuliongoza taifa hilo ambalo ni miongoni mwa [...]

09/04/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kiu yangu ni kumkomboa mwanamke mwenzangu Burundi:Hafsa Mossi

Waziri Hafsa Mossi

Wakati ulimwengu wiki hii umeadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake hapo Machi 08 ikiambatana na kauli mbiu kuwawezesha wanawake wa vijijini. Burundi ni mojawapo wa mataifa ya Afrika ambayo yamepiga hatua kwa kuwapa kina mama nafasi kwenye ngazi mbalimbali ikiwemo mashirika, serikalini na taasisi  mbalimbali. Katiba ya nchi hiyo inasema kwa uchache uwakilishi wa akina [...]

09/03/2012 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwanamke aliyejitolea kuwasaidia watoto wasichana na wanawake kwa jumla:Mukamabano

Marie Claudine Mukamabano

Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Wanawake duniani kuna wanawake mbali mbali wanaojitoa kusaidia wanawake wenzao na wasichana. Miongoni mwao ni Marie Claudine Mukamabano kutoka nchini Rwanda ambaye anaishi Marekani. Marie ameanzisha kituo cha kuwalea watoto yatima nchini Rwanda. Yeye ni manusura wa mauaji ya kimbari lakini pia ni mwanzilishi wa kituo cha kulea watoto kiitwacho [...]

08/03/2012 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Wanawake wako kwenye hali tete

Kamala Chandrakirana

Wakati ulimwengu hii leo ukiadhimisha siku ya wanawake, mwaka 2012 unachukua sura ya majuto na misukumisuko mikubwa inayowaandama wanawake hao. Akijadilia siku hii, mtaalamu wa Umoja wa Mataifa Kamala Chandrakirana, amesema kuwa kuna mikwamo na hali ngumu inayoangukia mikononi mwa wanawake inayochagizwa na misuko suko kwenye maeneo ya siasa na uchumi. Mtaalamu huyo huru ambaye [...]

08/03/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Umuhimu wa kuwawezesha Wanawake Vijijini

Kuadhimisha Siku ya wanawake duniani

Kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya wanawake duniani ambayo ni kumuwezesha mwanamke wa kijijini, kwa mujibu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake UN Women mchango wa mwanamke wa kijiji umekwa haupewi zito unaostahili ndio maana kauli mbiu ya hiyo imetolewa mwaka huu kutoa msisitizo wa kuthamini na kuenzi juhudi [...]

08/03/2012 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mahiga ataka kuwe na usawa wa kijinsia na kuwajumuisha wanawake kwenye masuala muhimu

Augustine Mahiga

Siku ya kiamataifa ya wanawake ikiadhimishwa hii leo ofisi inayohusika na masuala ya kisiasa ya Umoja wa mataifa kuhusu Somalia UNPOS imeonyesha uzalendo wake kwa wanawake kote duniani hasa walio kwenye maeneo yanayokabiliwa na mizozo na kuunga mkono jitihada za wanawake za kuleta amani nchini Somalia, kwa wanawake walio ndani mwa Somalia na walio nje. [...]

08/03/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

kupanda mlima Kilimanjaro

Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na makundi mengine ya kiharakati pamoja na serikali ya Tanzania umeadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kupanda mlima kulimanjaro kama ishara mojawapo ya kusuma mbele nafasi ya mwanamke huku ikipinga vitendo vya dhulma dhidi yao. Hii ni mara ya kwanza kwa tukio kama hilo, ambalo pia limewashirikisha vijana kutoka mataifa mbalimbali [...]

08/03/2012 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

AU, UNiTE waadhimisha siku ya wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

Kumaliza vita dhidi ya wanawake

Umoja wa Mataifa kupitia mpango wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake UNiTE wakishirikiana na makundi mengine ya kupigania haki za wanawake, Muungano wa Afrika na serikali ya Tanzania wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kupanda mlima Kilimanjaro. Hii ni mara ya kwanza kwa tukio kama hili kufanyika katika kuchagiza kupinga dhuluma dhidi ya wanawake na [...]

08/03/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuwawezesha wanawake wa vijijini kuna umuhimu gani?

Mwanamke wa kijijini

Kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya wanawake duniani ni kumuwezesha mwanamke wa kijijini, kwa mujibu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake UN Women mchango wa mwanamke wa kijiji umekwa haupewi uzito unaostahili ndio maana kauli mbiu hiyo imetolewa mwaka huu kutoa msisitizo wa kuthamini na kuenzi juhudi za wanawake wa [...]

08/03/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuwekeza kwa wanawake wa vijijini ni uwekezaji mwerevu : Ban

Siku ya Wanawake Duniani

  Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake na kauli mbiu ya mwaka huu ni kuwawezesha wanawake wa vijijini. Wanawake wa vijijini wanaweza kuboresha maisha ya jamii nzima endapo watapewa fursa ya kuwa na rasilimali na kutobaguliwa. Hiyo ni kauli iliyosemwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon katika maadhimisho ya siku ya [...]

08/03/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuwawezesha wanawake ili wawe wawakilishi dhidi ya umaskini na njaa

Marion Kamara

Wanawake wa vijijini wanatambuliwa katika UM kama kiungo muhimu kwa maendeleo endelevu na watakaowezesha vita dhidi ya umaskini na njaa. Katika tamaduni tofauti wanawake ndio hufanya kazi mashambani. Na wanjumuisha  asilimia 43 ya watenda kazi katika sekta ya kilimo kote duniani, Marion V. Kamara wa Liberia amewaambia haya wajumbe katika mazungumzo ya Kongamano la Umoja [...]

07/03/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ataka vizingiti vinavyomkwaza mwanamke kiuchumi viondolewe

Ban ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito wa kuondolewa vizuizi na vikwazo vinavyowaandama wanawake duniani kutojitokeza kwenye masuala ya ukuzaji uchumi. Ametaja maeneo yanakwamisha wanawake wengi kutoshiriki kikamilifu kwenye masuala ya uchumi kuwa ni pamoja kukosa fursa za kuajiriwa, masoko, upatiaji mikopo pamoja na kukosa fursa ya kumiliki mali. Amesema mazingira kama [...]

07/03/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wanawake ni muhimu hasa wakati wa mizozo:Pillay

Navi Pillay

Mary Kini, Angela Apa na Agnes Sil wanatoka kwenye familia tatu hasimu kwenye maeneo ya milima ya Papua New Guinea. Awali wanawake hawa walikuwa wamezuizwa na sheria za makabila yao za kufanya mazungumzo kati yao lakini walikiuka sheria hizo kisisiri na kuhatarisha maisha yao ambapo walikuta sokoni na kujadili mipango ya amani na kisha kuwavutia [...]

07/03/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNESCO yazindua mradi kuhusu wanawake wanaotengeneza habari 2012

Wanawake wa Afghan wakitengeza habari

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO kwa mara nyingine limetoa wito kwa wadau wa habari kuhakikisha kwamba usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake linasalia kuwa la juu katika ajenda zao kupitia mradi wake maalumu wa wanawake wanatengeneza habari 2012. au WMN Kwa mujibu wa UNESCO mradi huo unaozinduliwa kila mwaka [...]

07/03/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakurugenzi karibu 400 kuzingatia misingi ya kuwawezesha wanawake

business

Wakurugenzi karibu 400 duniani kote wametangaza dhamira yao ya kutekeleza kanuni za Misingi ya kuwawezesha wanawake yaani Women's Empowerment Principles (WEPs) katika miaka miwili iliyopita, Kama vile Katibu Mkuu wa Umoja Ban Ki-moon na Mkurugenzi mtendaji wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake yaani UN Women Bi Michelle Bachelet watakavyoangazia katika mkutano [...]

06/03/2012 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Michelle Bachelet kwenda Morocco kuadhimisha siku ya wanawake duniani

Michelle Bachelet

Mkuu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake Michelle Bachelet anatazamiwa kuelekea nchini Morocco ambako anaungana na wananwake wa eneo hilo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Akiwa nchini humo anatazamia kuweka zingatio kubwa juu ya wanawake kushiriki kwenye majukwaa ya maamuzi. Anatazamia kuongeza msukumo kuhusu nafasi ya wanawake kwenye majukwaa [...]

06/03/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Idadi ya wanawake kwenye masuala ya kisiasa bado ni ya chini

Nemba ya IPU

Chama cha bunge IPU kinasema kuwa hata kama mwaka 2011 ulishuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa na mabadiliko ya kidemokrasia kwenye sehemu tofauti za dunia, mwaka huo hata hivyo ulishuhudia idadi ndogo ya wanawake walioshiriki kwenye siasa. Nchi kama Nicaragua, Ushelisheli, Slovenia, Andora na Uganda zilipiga hatua kubwa katika uwakilishi wa wanawake kwenye masuala ya siasa. [...]

02/03/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Shirika la wanawake wa UM kutoa dola milioni 10.5 kwa miradi ya kuwainua wanawake

wanawake

Shirika la wanawake wa Umoja wa Mataifa wanatarajiwa kutoa dola jumla ya dola milioni 10.5 kwa minajili ya kuinua masuala ya wanawake ya kiuchumi na kisiasa kwa wanawake wa bara la Afrika, Asia na Pacific , America Kusini Caribbean, Ulaya na Asia ya kati. Shirika hilo linasema kuwa fedha zitaanzisha miradi ambayo itayaboresha maisha ya [...]

02/03/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wanawake bado wanaendelea kutupa au kutelekeza watoto Afrika

Mama na mwana

Kila kunapokucha hasa kwenye nchi za bara Afrika kunaripotiwa visa vya kutupwa kwa watoto wachanga mara wazaliwapo. Na ukatili huo hufanywa mara nyingi na wazazi ambao ama hawana mipango ya kuchukua majukumu ya kuwalea watoto hao au kutokana na sababu moja au nyingine, huku wengi wakiokotwa barabarani , kwenye majaa ya taka na wengine wakiwa [...]

02/03/2012 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Umuhimu na thamani ya mwanamke wa Kijijini

wanawake vijijini

Wiki hii kwenye Umoja wa Mataifa kunafanyika kongamano ambalo linajumuisha wanawake kutoka kila pembe kujadili umuhimu na thamani ya kila mwanamke kijijini. Kongamano hili limeandaliwa na kitengo cha wanawake cha Umoja wa Mataifa UN WOMEN na linashirikisha wanawake viongozi na wanaharakati wa kupigania haki za wanawake na wadau wengine ambao wanachagiza haki za wanawake. Miongoni [...]

01/03/2012 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031