Kusikiliza /

UM ukiadhimisha siku ya Radio duniani hii leo watu kutoka Afrika wametoa maoni kuhusu umuhimu wa Radio, ikiwemo Radio ya Umoja wa Mataifa. Mwandishi wetu kutoka Tanzania alipata kuzungumza na watu mbali mbali waliotoa maoni tofauti tofauti kuhusu umuhimu wa radio ya Umoja wa Mataifa. (MAONI KUTOKA TANZANIA)
13/02/2012 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

UM ukiadhimisha siku ya Radio duniani hii leo watu kutoka Afrika wametoa maoni kuhusu umuhimu wa Radio, ikiwemo Radio ya Umoja wa Mataifa. Nilipata kuzungumza na watu mbali mbali waliotoa maoni maoni kuhusu umuhimu wa radio duniani. (MAONI KUTOKA KENYA) Nchini Burundi mwandishi wetu Ramadhini Kibuga alipata maoni kutoka kwa waandishi wa habari wenzake nchini [...]
13/02/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Uwezo wa Radio wa kuwaunganisha watu na kuleta uelewano hii leo unasherehekewa kwenye siku ya kwanza kabisa ya kimataifa ya Radio. Tarehe 13 mwezi Februari ndiyo iliyotengwa na shirika la elimu, Sayansi na uatamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO. Mkurugenzi wa shirika la UNESCO Irina Bokova amesema kwamba huku ulimwengu ukiendelea kushuhudia mabadiliko bado Radio [...]
13/02/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea shaka yake kufuatia machafuko yaliyozuka huko Kaskazini mwa Mali baina ya vikosi vya serikali na kundi la waasi laTuareg. Ban amesema hali hiyo inaleta hali ya mkwamo na kutatiza hali ya usamaria mwema juu ya utoaji huduma za kibinadamu. Ripoti zinasema kuwa kumekuwa na hali ya [...]
09/02/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »