Pa Kusaidiwa

Msaada

Ukurasa wa juu homepage unakuwa na habari zote mpya, makala, vipindi vyenye mada maalumu. Mbali ya hayo ni kwamba vipindi vyetu vinaandaliwa kwa kufuata kanda mfano Afrika, Asia, Ulaya, Marekani na Mashariki ya Kati.

Ili kusikiliza habari unaweza ama kusikiliza kupitia Real Audio stream, kwa kufonya panapoonyesha ‘Real’-link, au kwa mkujisaili kuingia kwenye ukurasa wetu logging in, Unaweza kuyavuta pia matangazo yetu kwa kutumia MP3 kwa kubofya palipoandikwa v ‘download’-link, au save-button.

Kama bado hujajiandikisha tafadhali jiandikishe hapa register here.

Real Download (Mfano wa pa kubofya)

Ili uweze kusikiliza Real Audio streams, unahitaji kunakili bure na kuweka kwenye tovuti yako Real Player. Na unaweza kunakili bure kutoka kwenye wavuti hii. Real website *.

Taarifa nyingi pia zina maelezo na sauti zilizoambatanishwa . Bofya kwenye kichwa cha habari unayoitaka ili kuingia kwenye habari kamili na sauti.

* Wavuti hii inaweza kukunganisha na maelezo na wavuti zingine . Na wavuti hizo hazidhibitiwi na Umoja wa Mataifa , na Umoja wa Maifa hauusiki na yaliyomo katika wavuti hizo. Umoja wa Mataifa unaweza kukuunganisha na wavuti tatu kama kukurahisishia tuu, na kufanya hivyo sio kwamba inakushawishi kutumia wavuti hizo.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031