Maelezo Kwa Watangazaji
Maelezo kwa watangazaji
Flora Nducha: Mkuu wa Idhaa
Assumpta Massoi: Mtangazaji
Joshua Mmali:Mtangazaji
Joseph N. Msami:Mtangazaji
Alice Kariuki: Mtangazaji msaidizi
Grece Kaneiya:mtangazaji msaidizi
George Njogopa:Ripota Tanzania
Ramadhan Kibuga: Ripota Maziwa makuu
Jason Nyakundi: Ripota Kenya
Radio ya Umoja wa Mataifa inaripoti shughuli za UM kutoka makao yake makuu mjini New York na kote duniani.
Masuala ya amani na usalama, maendeleo na haki za binadamu ni masuala yanayotuhusu , hivyo habari za utatuzi wa migogoro, uchaguzi, afya, umasikini, elimu na mabadiliko ya hali ya hewa yanachukua nafasi kubwa katika orodha ya mada tunazoripoti. Issues of
Radio ya UM mbali y kutangaza habari na makala pia inatoa fursa ya bure kwa watu kupata sauti mbalimbali kupitia kwenye tovuti ya makataba yake ambayo ni (UN Audio Library website), sauti hizo ni kutoka kwenye mikutano inayoendelea na matukio ya kila siku , na pia sauti zilizohiofadhiwa zamani maktaba. Pia sauti hizo zinapatikana katika ubora wa hali ya juu na mtu anaweza kurekodi moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu kwa kutumia faili ya MP3 .
Radio ya Umoja wa Mataifa – inaripoti kwa wakati na usahihi kuhusu UM.