Habari za wiki

UNAIDS yamteua David Luiz kuwa balozi mwema »

Mkurugenzi Mkuu wa UNAIDS Michel Sidibe na Mchezaji wa kimataifa wa Brazil na timu  ya Chelsea David Luiz

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil na timu ya Chelsea David Luiz amteuliwa kuwa balozi mwema wa shirika la Umoja…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Ubia shirikishi ndio siri ya uwajibikaji na maendeleo: Ban »

Katibu Mkuu Ban Ki-Moon kwenye mkutano huo wa ngazi ya juu mjini Mexico City.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema ubia shirikishi ni muhimu kufanikisha ajenda ya Busan ya miaka…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Upotoshaji wa taarifa, uchochezi na propaganda Ukraine zikomeshwe: Ripoti » Homa ya kidinga popo yasambaa Tanzania, mmoja athibitika kufariki »

Mahojiano na Makala za wiki

Umoja wa Mataifa na washirika wapambana na ukatili dhidi ya wanawake Kosovo »

Ukatili majumbani

Ukatili dhidi ya wanawake ni jinamizi ambalo linaiandama dunia mpaka wakati huu wa karne ya 21. Hata hivyo nchi tofauti zinasikia kilio…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Homa ya kidinga popo yasambaa Tanzania, mmoja athibitika kufariki »

Mbu anayeambukiza kidinga popo

  Nchini Tanzania watu 147 wamethibitika kuwambukizwa ugonjwa wa homa ya kidinga popo yaani homa ya dengu huku mtu mmoja akiripotiwa kufariki…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Elimu ya msingi yaboreshwa Uganda » Kumbukizi ya miaka 20 ya mauaji ya Kimbari nchini Rwanda »

UNMISS yaboresha vipato vya wananchi Sudani Kusini »

unmiss magari

Wakati machafuko nchini Sudani Kusini yakiripotiwa kundelea ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS umeanzisha mradi wa kusafisha magari ambao angalu…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed azungumzia MINUSCA, MONUSCO na UNAMID »

Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed Mnadhimu Mkuu, DPKO na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa wakati wa mahojiano

Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zinaendelea maeneo mbali mbali duniani ikiwemo barani Afrika. Majukumu ya kila operesheni yanategemea…

11/04/2014 / Kusikiliza /
Fahamu ugonjwa wa homa ya ini, Hepatitis C na E. » Kila dakika mwanamke hubakwa DRC »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu Ban Ki-Moon kwenye mkutano huo wa ngazi ya juu mjini Mexico City.

Ubia shirikishi ndio siri ya uwajibikaji na maendeleo: Ban »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema ubia shirikishi ni muhimu kufanikisha ajenda ya Busan ya miaka miwili iliyopita. Ajenda hiyo inataka ushirikiano katika kuondoa umaskini ili hatimaye…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Baraza la usalama lalaani kutekwa kwa balozi wa Jordan huko Libya, lataka aachiwe huru »

Baraza la usalama

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali shambulio dhidi ya msafara wa maafisa wa kibalozi wa Jordan nchini…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Baraza la Usalama laonyeshwa picha za kusikitisha za mauaji Syria »

ramani ya Syria

Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo wameonyeshwa picha za kushangaza na za kusikitisha kuhusu mauaji ya kinyama ambayo…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Bentiu pamoja na machimbo ya mafuta yashikiliwa na waasi: UNMISS » Matumizi ya kijeshi yapunguzwe na yawe wazi zaidi, UM waomba » Guinea Bissau : Asilimia 70 wamepiga kura kwenye uchaguzi mkuu »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Baraza la Usalama laidhinisha askari wa UM kwenda CAR

Mkutano wa miji Duniani-Colombia

Siku ya wanawake 2014

Malengo ya Maendeleo ya Milenia

Kuungana

Mawasiliano mbalimbali

Hapa na pale

Chanjo dhidi ya polio

Chanjo ya Polio yahitimishwa Iraq »

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, Shirika la afya ulimwenguni WHO pamoja na wizara ya afya ya Iraq zimekamilisha kampeni ya kitaifa ya chanjo ya polio. Kampeni…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Ban alaani utekaji nyara wa wasichana wa shule Nigeria »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani utekaji nyara wa wasichana wa shule kule Chibok kwenye jimbo la Borno kaskazini…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Vitabu vinaweza kutokomeza umaskini na kujenga amani: UNESCO »

Mtoto akisoma kitabu (picha ya UNESCO)

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, amesema kuwa vitabu vina uwezo mkubwa wa kutokomeza umaskini na…

16/04/2014 / Kusikiliza /
Mtaalam wa haki za Binadamu akaribisha kuachiliwa kwa wakimbizi wa Eritrea nchini Djbouti » Vijana walengwa kushirikishwa kwa njia 10 katika upokonyaji silaha » MONUSCO yathibitisha kifo cha Paul Sadala » WFP yatoa msaada kunusuru waathiriwa wa machafuko Iraq »

Taarifa maalumu

MATAYARISHO YA RIO+20