Idhaa ya Redio ya UM

Ban ateua wawakilishi wake maalum huko Mali na Cote D'Ivoire
Mkuu mpya wa UNOCI, Bi.Aichatou Mindaoudou

Ujumbe wa umoja wa mataifa wa kuweka utulivu huko Mali, MINUSMA ulioanzishwa mwaka huu umepata kiongozi ambaye pia atakuwa mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu Ban Ki-Moon, naye si mwingine bali ni Bert Koenders kutoka Uholanzi. Bwana Koenders anaenda kushika wadhifa huo akitokea hukoCote D'Ivoirealikokuwa akimwakilisha katibu Mkuu kwenye ofisi ya Umoja huo, UNOCI tangu Oktoba mwaka 2011.  Mkuu huyo wa ujumbe huo mpya wa MINUSMA ana uzoefu wa miaka 25 ya siasa za kitaifa, masuala ya kimataifa na maendeleo na amewahi kushika nyadhifa mbali mbali ikiwemo Waziri wa ushirikiano wa maendeleo wa Uholanzi. Wakati huo huo, Katibu Mkuu Ban Ki-Moon amemteua Bi. Aichatou Mindaoudou kutokaNigerkuwa mwakilishi wake maalum hukoCote D'Ivoireakiongoza ofisi ya umoja huo UNOCI, iliyoachwa wazi na Koenders.  Bi. Mindaoudou ameshika nyadhifa kadhaa ndani ya serikali yaNigerna ndani ya Umoja wa Mataifa ikiwemo Kaimu mkuu wa ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika hukoDarfur, UNAMID tangu Agosti 2012 hadi Machi mwaka huu.

Hatua madhubuti zichukuliwe ili kuhakiksha maisha yaliyo bora mijini:UNEP
Wakati idadi ya watu inapoendelea kuongezeka duniani, nayo idadi ya watu mijini inazidi kuongezeka. Watu zaidi wanaendelea kuhamia mijini kutafuta ajira, wakati katika takriban nchi zote zinazoendelea, miundo msingi, ikiwemo ya usafiri, nishati na makao haikupangwa ikilinganishwa na ilivyo kwenye nchi zilizostawi.

Kwa mujibu wa Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP, hatua madhubuti zinastahili kuchukuliwa ili kuwahakikishia maisha yaliyo bora wakazi wa mijini hatua ambayo pia itachangia kuboreka kwa uchumi. Kwenye makala ya leo mwandishi wa Nairobi, Jason Nyakundi, ameangazia changamoto zinazoukumba mji mkuu wa Nairobi nchini Kenya.

(MAKALA JASON)

Haile Menkerios atakuwa Mkuu wa Ofisi ya UM kwenye AU: Ban
Haile Menkerios

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amemteua Bwana Haile Menkerios wa Afrika Kusini kuwa mwakilishi wake maalum kwa Muungano wa nchi za Afrika, AU, na mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa kwenye AU. Bwana Menkerios pia ataendelea kushikilia wadhafa wake kama Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu nchini Sudan na Sudan Kusini.

Menkerios anairithi nafasi ya Zachary Muburi-Muita, ambaye muhula wake wa kuhudumu unahitmishwa mnamo Juni 30 mwaka 2013.

Bwana Menkerios ana uzoefu mkubwa kuhusu masuala ya bara la Afrika, kwani amewahi kuhudumu kama Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan na katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, na pia kama Naibu Katibu Mkuu kuhusu Masuala ya Kisiasa katika Umoja wa Mataifa, mwaka 2007- 2010

Bwana Ban amemshurukuru Bwana Muburi-Muita kwa huduma yake katika ofisi ya Umoja wa Mataifa kwenye Muungano wa Afrika, na kwa kuongeza ushirikiano baina ya bara la Afrika na Umoja wa Mataifa.

MONUSCO yapata Kamanda mpya, ni Carlos Alberto Dos Santos Cruz
Lt. jenerali Carlos Alberto Dos Santos Cruz

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemteua Luteni Jenerali Carlos Alberto Dos Santos Cruz wa Brazil kuwa Kamanda Mkuu wa ujumbe wa Umoja huo unaoweka utulivu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, MONUSCO.Anaziba nafasi iliyoachwa na Luteni Jenerali Chander Prakash Wadhwa wa India, aliyemaliza kipindi cha uhudumu tarehe 31 mwezi Machi mwaka huu ambaye pia Bwana Ban amemsifu kwa kile alichosema uongozi wa kujitoa wa kipindi cha zaidi ya miaka miwili.

Luteni Jenerali Santos Cruz ameelezwa kuwa na uzoefu wa miaka 40 wa kitaifa na kimataifa katika masuala ya kijeshi ambapo kabla ya uteuzi huu alikuwa mshauri maalum wa waziri kwenye ofisi ya Rais wa Brazil.

Ban na Putin wajadili Syria, Afghanistan na Mashariki ya Kati
Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon na Rais Vladmir Putin wa Urusi

Naunga mkono makubaliano kati ya Urusi na Marekani ya kuandaa kongamano la kimataifa kuhusu Syria, na hiyo ni moja ya kauli za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon alizotoa wakati wa mazungumzo yake na Rais Vladmir Putin wa Urusi huko Sochi hii leo. Bwana Ban amesema kongamano hilo litasaidia pande husika huko Syria kuanza kutekeleza makubaliano ya Geneva ya tarehe 30 Juni 2012 ya kuanzisha chombo tendaji cha mpito chenye mamlaka kamili. Wamejadili pia umuhimu wa kuungwa mkono kwa kongamano hilo na kanda husika sambamba majukumu ya mjumbe wa pamoja wa  Umoja wa Mataifa na nchi za kiarabu kwenye mzozo wa Syria, Lakhdar Brahimi. Bwana Ban na Rais Putin pia walizungumzia masuala ya Mashariki ya Kati, Afghanistan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea na mabadiliko ya Tabia nchi ambapo pia Katibu Mkuu ametoa shukrani kwa jinsi Urusi inaunga mkono masuala ya ulinzi wa amani.

Rais wa Nigeria atangaza hali ya hatari katika majimbo ya Mashariki
Mwanamumue asimama mahala nyumba yake ilipoharibiwa kufuatia machafuko, Nigeria

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ametangaza hali ya hatari katika majimbo matatu yaliyoko Mashariki mwa nchi hiyo kufuatia uasi unaendeshwa na kundi la Boko Haramu ambao wanahatirisha mustakabala wa taifa.

Tayari kamishna ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani vikali matukio ya mashambulizi yanayoendeshwa na kundi hilo ambalo linatajwa kuwa na mafungaano pia na mitandao mingine ya kigaidi nje ya nchi hiyo.

Ofisi ya Haki za binadamu imeitolea mwito serikali ya Nigeria kuchukua hatua sahihi kurejesha hali ya usalama pasipo kuziendea kinyume haki za binadamu.

Rais Jonathan amesema kuwa vitendo vya kufuruta ada vinavyoendeshw ana wanamgambo wa kundi hilo vinavuruga umoja wa kitaifa na kuliweka katika hali tete taifa kwa ujumla.

Ban ajadili suala la Syria na viongozi wa Urusi huko Sochi
KM Ban Ki-moon na Waziri wa Mambo ya Nje wa Urussi Sergei Lavrov

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon na waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov wameafikiana kwamba mkutano wa kimataifa kuhusu Syria ufanyike haraka iwezekanavyo ili kuzisaidia pande husika katika machafuko kufanya majadiliano.

Joshua Mmali na taarifa kamili

Suluhu litokanalo na mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee itakayoumaliza mzozo wa Syria, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon.

Bwana Ban amesema hayo katika mkutano na waandishi wa habari mjini Sochi, Urusi, ambao pia ulihudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov.

Ameongeza kuwa changamoto kubwa sasa ni kuitumia kasi ya msingi ulowekwa na Waziri Lavrov wa Urusi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, na kuwashukuru hao wawili kwa uongozi wao.

Bwana Ban na Waziri Lavrov pia wamejadili jinsi gani mgogoro huo wa Syria unavyoathiri ukanda mzima wa Mashariki ya Kati.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)

Wakati Katibu Mkuu akisema hivyo, Shirika la Kuhudumia Wakimbizi katika Umoja wa Mataifa, UNHCR, limesema idadi ya watu walokimbilia nje ya Syria sasa imezidi milioni 1.5, huku ufadhili kwa ajili ya misaada wanayohitaji wakimbizi hao ukiwa bado ni haba. Na habari za hivi punde zinasema tayari Bwana Ban amekuwa na mazungumzo na Rais Vladmir Putin wa Urusi.

TEKNOHAMA ichochee usalama barabarani: Ban
Ajali za barabarani zinasababisha vifo vya zaidi ya watu milioni moja

Katika kilele cha siku ya jamii habari duniani hii leo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa ujumbe unaotaka maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano, TEKNOHAMA yawe kichocheo cha kuimarisha usalama barabarani.Bwana Ban amesema msimamo huo unazingatia takwimu za hivi punde ya kwamba watu ajali za barabarani kila mwaka husababisha vifo vya watu zaidi ya Milioni Moja na Laki Tatu na wengine wengi kubaki na vilema vya maisha na hivyo kusababisha gharama kubwa kwa familia na nchi husika.

Amesema mifumo ya kisasa ya usafiri na vifaa vya kufuatilia mienendo ya magari inaweza kupunguza misongamano na migongano hususan na waenda kwa miguu huku akiongeza kuwa vifaa vya mawasiliano visivyolazimu dereva kushikilia wakati anaendesha gari vinaweza kupunguza ajali.

(SAUTI YA BAN)

Maadhimisho hayo yamefanyika huku mkutano wa kimataifa wa jamii habari ukihitimishwa huko Geneva, Uswisi ambapo tuzo ya jamii habari duniani kwa mwaka huu wa 2013 imekwenda kwa watu watatu mashuhuri ambao ni Rais wa shirikisho la Uswisi Ueli Maurer, Volkmar Denner na Jean Todt kwa jinsi walivyojitoa kuhakikisha TEKNOHAMA inatumika kupunguza ajali za barabarani.

ILO yachochea usawa maofisini kwa waliobadili jinsi na wapenzi wa jinsia moja
ILO, kuongeza kasi, usawa maofisini

Shirika la kazi duniani, ILO limesema linaongeza kasi ya kutokomeza vitendo vya watu kubaguliwa kazini kwa misingi ya mwelekeo wao wa jinsia au mapenzi.Mkurugezi Mkuu wa ILO Guy Rider amesema hatua za kuhakikisha usawa kwa wanawake na walemavu sehemu za kazi zimeonyesha matumaini na maendeleo yaliyopatikana kuhakikisha mashoga na waliobadili jinsia wanapata haki sawa kwenye kazi hayana mjadala.

Hata hivyo amesema bado kuna changamoto na ametaka nchi wanachama kutumia vigezo vya kimataifa ya ajira kutokomeza ubaguzi huo sehemu ya kazi.

Tokomeza ubaguzi dhidi ya wapenzi wa jinsia moja: Pillay
Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupinga ubaguzi dhidi ya wapenzi wa jinsia moja na waliobadili jinsi zao, Umoja wa Mataifa umetaka nchi wanachama kuchukua hatua zaidi kutokomeza vitendo vya kikatili na ghasia dhidi ya makundi hayo. Ripoti ya Jason Nyakundi inafafanua zaidi.

(TAARIFA YA JASON)

Kamishina mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay anasema kuwa masuala ya usagaji  na ushoga si mwiko tena kwenye Umoja wa Mataifa. Pillay anasema kuwa dhuluma zinazoendeshwa dhidi ya mashoga na wasagaji zinaendelea kwa viwango vya juu kila pembe ya dunia maana kwamba mengi yanahitajika kufanywa kuafikia ulimwengu ambapo kila mmoja yuko huru na anaheshimiwa. Rupert Colville ni msemaji wa ofisi ya haki za bindamu ya Umoja wa Mataifa.

(SAUTI YA RUPERT COLVILLE)