Idhaa ya Redio ya UM

Malala azindua ombi la elimu, asema walioshambulia wanafunzi Pakistani ni waoga na wanahaha
watoto wa shule Pakistani

Binti wa kike aliyenusurika shambulio la bomu lililofanywa na watalibani dhidi yake na wanafunzi wengine miezi Minane iliyopita huko Pakistani amewaita walioshambula kwa mabomu wanafunzi huko Quetta, Pakistani siku ya Jumamosi kuwa ni waoga na wanahaha kuwanyima watoto wa kike haki yao ya elimu. Malala Yousfzai ambaye kwa sasa anaishiBirmingham, Uingereza ametoa kauli hiyo baada ya kuwa mtu wa kwanza kutia saini ombi la dharura duniani linalotaka hatua za haraka za kuhakikisha kila mtoto wa kike anakwenda shule. Ombi hilo linaloungwa mkono na Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa Gordon Brown litawasilishwa na Malala mwenyewe kwenye Umoja wa Mataifa tarehe 12 mwezi ujao, tarehe ambayo binti huyo atakuwa anatimiza umri wa miaka Kumi na Sita. Takwimu zaonyesha kuwa watoto Milioni 57 duniani kote wa kike na wa kiume hawaendi shule kutokana na sababu mbali mbali na hivyo Malala anataka hatua zaidi ikiwemo ujenzi wa shule kuwezesha watoto kwenda shuleni.

Madhara ya ukame yanaweza kupunguzwa kwa kufuata sera madhubuti: Ban
Tangazo katika msitu wa hifadhi, Minziro nchini Tanzania

Katika siku ya kimataifa ya kutokomeza vitendo vyote ya kufanya dunia kuwa jangwa hii leo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa ujumbe wake na kusema licha ya kwamba ni vigumu kuepusha ukame lakini hatua za makusudi zaweza kuchukuliwa ili madhara yake yakapunguzwa. Bwana Ban amesema katika kipindi cha miaka 25 iliyopita dunia imekuwa hatarini kugeuka jangwa zaidi na vipindi vya ukame vimetabiriwa kusambaa zaidi na madhara yake kuwa makali kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Amesema ukame wa muda mrefu husababisha jangwa na matokeo yake ni hali duni za maisha na hata hatari ya mizozo ya jamii kwenye rasilimalikamavile maji na ardhi yenye rutuba. Hata hivyo amesema jambo la muhimu sasa ni kuondokana na mipango ya kushughulikia madhara ya ukame na badala yake kujenga mazingira ya kudhibiti ukame kwa kuzingatia mkutano wa kimataifa wa kisera kuhusu ukame uliofanyikaGenevamwezi Machi mwaka huu.  Ujumbe wa mwaka huu ni usiache mustakhbali wetu kukauka, na serikali yaTanzanianayo inaendelea na harakati za kulinda misitu ili kuepusha kugeuka jangwa kama anavyosema Frank Binagi Afisa misitu wa pori la akiba la Burigi mkoani Kagera.

(SAUTI YA BINAGI)

Ban alaani mashambulizi dhidi ya wanafunzi wa kike nchini Pakistan
Ban Ki-Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani mashambulizi yaliyolenga basi moja, hospitali na jumba la kihistoria nchini Pakistan ambapo watu 20 waliuawa wengi wakiwa ni wanafunzi wa kike. Kwenye taarifa kupitia kwa msemaji wake Ban amesema kuwa  ghasia dhidi ya wanawake zimeongezeka miaka ya hivi karibuni zikiwa na lengo la kuwazuia wasichana wasihudhurie masomo. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari bomu lililokuwa limefichwa kweye basi iliyokuwa ikiwasafirisha wanafunzi wa kike lililipuka kwenye mji waQuettana baadaye watu waliokuwa wamejihami wakavamia hospitali ambapo waathiriwa walikuwa wamepelekwa . Jumla ya watu ishirini waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.

Mnyarwanda kuongoza kikosi cha ujumbe wa UM nchini Mali
Meja Jenerali Jean-Bosco Kazura, Kamanda wa kikosi cha MINUSMA, MALI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemteua Meja Jenerali Jean-Bosco Kazura kutokaRwandakuwa Kamanda wa kikosi cha ujumbe wa umoja huo cha kuweka utulivu nchiniMali, MINUSMA ulioundwa hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa na Umoja wa Mataifa inaeleza kuwa jukumuhiloataanza tarehe Mosi mwezi ujao ambapo kwa mujibu wa azimio la Baraza la Usalama, MINUSMA itapokea rasmi majukumu ya ujumbe wa usaidizi nchiniMaliuliokuwa ukiongozwa na Afrika, AFISMA. Meja Jenerali Kazura ana uzoefu wa miaka 24 wa masuala ya kijeshi kitaifa na kimataifa na kabla ya uteuzi huu alikuwa Kamanda wa Chuo cha Taifa cha mafunzo ya ulinzi nchini Rwanda na amewahi kuwa mshauri mwandamizi wa masuala ya kijeshi na usalama kwa Rais Paul Kagame kuanzia mwaka 2009 hadi 2010. Kamanda huyo  kikosi cha ujumbe wa MINUSMA ana shahada ya kwanza ya Kiingereza na Sayansi za jamii.

Mkurugenzi mkuu wa FAO ataka wanachama kuidhinisha bajeti ya shirika hilo
José Graziano da Silva

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO José Graziano da Silva ametoa wito kwa mkutano chombo hicho kuidhinisha bajeti ya shirika hilo ili kuboresha usaidizi linalotoa kwa nchi wanachama kwa minajili ya kuafikia malengo yao ya usalama wa chakula na mengine ya kilimo. Alice Kariuki anaripoti.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)

Baraza la Usalama lamulika hali ya watoto katika vita vya silaha
<object id="ieooui" classid="clsid:38481807-CA0E-42D2-BF39-B33AF135CC4D"></object>

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limefanya kikao kuhusu hali ya watoto katika vita vya silaha, ambapo pia limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu watoto katika katika vita, ambayo imesema hali ilikuwa mbovu hata zaidi katika kipindi cha miezi 18 ilopita, wakati mizozo mipya ilipoibuka au ile iliyopo kuenea zaidi.

Akiongea wakati wa kikao hicho, Mwakilishi wa Katibu Mkuu kuhusu watoto na vita vya silaha, Leila Zerrougui, amesema wahusika wasio wa kiserikali katika mizozo wanachangia kwa kiasi kikubwa zaidi ukiukwaji wa haki za watoto.

"Kama katika miaka iliyopita, wahusika wasio wa kiserikali ndio wengi zaidi kwenye orodha hii. Wao ni arobaini na sita, kati ya jumla ya wakiukaji 55 walioorodheshwa katika ripoti hii. Kuna sababu mpya za kuhofia watoto, ambazo zitakaiwa kukabiliana nazo haraka, zikiwemo matumizi ya shule na wanajeshi, kuwazuilia watoto wanaodaiwa kuhusika na makundi yenye silaha na athari za matumizi ya ndege za vita zisizo na rubani kwa watoto."

Miongoni mwa nchi ambako haki za watoto zimetajwa kukiukwa katika ripoti hiyo ni Mali, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Syria, huku Chad na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zikisifiwa kwa hatua zilizopiga kwa kuonyesha hamu ya kuzingatia maazimio ya Baraza la Usalama, na kuweka sheria za kuwalinda watoto katika mizozo.

Naye Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, Yoka Brandt, amesema lililo muhimu zaidi katika kukomesha ukiukwaji wa haki za watoto katika vita, ni pande zinazozozana kuwajibika kulinda haki za watoto, na wale wanaozikiuka kukabiliwa na mkono wa sheria.

"Tunatoa wito kwa pande zinazozozana kubuni mbinu mpya katika mapigano. Tunawasihi wasiviweke vikosi vyao katika maeneo ya raia, wala kushamuliana katikati mwa vijiji na miji. Pili, ni matumizi ya shule katika operesheni za kijeshi. UNICEF inasikitishwa sana na hali hii. Inawaweka watoto na walimu hatarini, inawapora watoto fursa ya kusoma, na kukiuka haki yao ya elimu."

Tusiache mustakhbali wetu ukauke: UM
Msitu nchini Tanzania

Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza kuenea kwa jangwa ambapo ujumbe ni kwamba usiache mustakhbali wetu ukauke, ukijikita katika misitu ambayo ndiyo inategemewa kwa uhai wa sayari hii adhimu dunia. Harakati mbali mbali zinaendelea ikiwemo kuepusha watu kukata miti hovyo kwa ajili ya mikaa na kulinda maeneo ili yasitumike kukata magogo na kadhalika. Katika ripoti hii fupi George Njogopa kutoka Dar es salaam anamulika harakati za kudhibiti kuenea kwa jangwaTanzania.

Hali ya kibinadamu yazidi kuwa mbaya Yemen: UNICEF
Hali ya kibinadamu nchini Yemen bado inasalia kuwa mbaya hata baada ya kupigwa kwa hatua za kuleta utulivu wa kisiAsa kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF. Jason Nyakundi anaripoti.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)

UNICEF inasema kuwa Yemen inasalia kukumbwa na tatizo la uhaba wa chakula hali ambayo imechangia kewepo kwa utapiamlo na kukosa kukua kwa watoto. UNICEF inasema kuwa zaidi ya watoto 255,000 wanataabika kutokana na utapiamlo huku nusu ya wananchi wa Syria wakiwa hawa maji safi ya kunywa. Mjumbe wa UNICEF nchini Yemen Julien Harneis anasema kuwa mzozo wa sasa wa kisiasa nchini Syria umechangia kuongezeka kwa idadi ya watu walio maskini na idadi ya miundu mbinu iliyoharibiwa.

(SAUTI YA JULIEN HARNEIS)

"Hata kama hali mbaya ya mzozo wa tangu miaka miwili iliyopita imetoweka, uharibifu kwa miundo msingi kwa maisha ya watu bado imesalia. Kwenye eneo la Saada kuna karibu shule 230 zilizoharibiwa kabisa na hadi sasa hazijajengwa. Ugumu wa lishe nchini humo ni sehemu ya utapiamlo unaosabaishwa na mizozo ya kisiasa na ya kiuchumi na watu kukosa chakula kutokana na mzozo au ukosefu wa pesa, lakini pia utapiamlo na kukosa kukua. Na kwenye upande wa kukua karibu asilimia 58 ya nchi nzima haikui na ndiyo sehemu isiyokua zaidi duniani."

Bwana Harneis anasema kuwa UNICEF inafahamu kuhusu karibu watoto 25 waliohukumiwa kifo nchini Yemen kwa makosa tofauti akiongeza kuwa UNICEF inafanya kazi na washirika kutaka kufanyiwa marekebisho adabu kwa mokosa yanayotendwa na watoto.

FAO yayatambua rasmi mataifa 38 yaliyopunguza njaa kwa asilimia 50:
Mkurugenzi mkuu wa shirika la chakula na kilimo FAO José Graziano da Silva ameyatambua rasmi mataifa 38 yaliyofannikiwa kupungua njaa kwa nusu wakati tukielekea ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia hapo 2015.

Katika hafla maalumu iliyoghudhuriwa na wakuu wa nchi mbalimbali,nchi18 zimepokea diploma ya mafanikio ya mapema ya kufikia lengo la kkwanza la milenia la kupunguza kwa nusu njaa ifikapo mwaka 2015 na lengo la mkutano wa kimataifa wa chakula la kupunguza kwa nusu idadi ya watu wnaokabiliwa na njaa ifikapo 2015.

Nchi hizo ni Armenia, Azerbaijan, Cuba, Djibouti, Georgia, Ghana, Guyana, Kuwait, Kyrgyzstan, Nicaragua, Peru, Saint Vincent na Grenada, Samoa, Sao Tome na Principe, Thailand, Turkmenistan, Venezuela na Viet Nam.

Nchi nyingine 20 zoimepokea diploma ya kufikia lengo la kwanza tuu ambazo ni Algeria, Angola, Bangladesh, Benin, Brazil, Cambodia, Cameroon, Chile, Dominican Republic, Fiji, Honduras, Indonesia, Jordan, Malawi, Maldives, Niger, Nigeria, Panama, Togo na Uruguay.

Nusu ya kambi za wakimbizi wa Kipalestina nchini Syria zimegeuka kuwa " Tamthilia ya vita"
Filipo Grandi

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya wakimbizi wa Palestina UNRWA ameuambia mkutano wa wadau kuwa, wakimbizi saba wa Kipalestina kati ya 12 wamegeuka kuwa " Tamthilia ya vita"

Filippo Grandi amesema kuwa vitendo kama kubakwa, kunyanyaswa, kutekwa, hofu ya maisha ikiwa sehemu ya maisha yao ya kila siku.

Akizungumza Mjini Amman katika mkutano wa pili wa kila mwaka wa shirika hilo, Grandi amesema kuwa zaidi ya wakimbizi 530,000 wa Kipalestina ambao walioandikishwa nchini Syria wanaaminika kuingia mtawanyikoni na kiasi cha asilimia 15 cha wakimbizi wote wamekwenda katika mataifa mengine.

Kulingana na Grandi,raia wa Misri nao wameanza kuwahifadhi wakimbizi wa Kipalestina wanaotoka Syria na baadhi yao wameingia Gaza.