Idhaa ya Redio ya UM

Novemba 2009
J J J J A I J
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30

Huduma

 5 Novemba 2009
Real Chapisha

Bagaragaza ahukumiwa kifungo cha miaka minane na ICTR kwa jinai ya halaiki Rwanda

Mahakama ya UM juu ya Rwanda (ICTR) imehukumu kifungo cha miaka minane kwa mtuhumiwa Michel Bagaragaza, aliyekuwa mfanya biashara mkuu katika Rwanda, kwa kushiriki kwenye mauaji ya halaiki yaliotukia nchini mwao katika 1994.

Lakini Bagaragaza anatazamiwa kutumia miaka mitatu tu kizuizini, kwa sababu ilie miaka aliotumia kizuizini, tangu aliposhikwa akisubiri hukumu, katika 2005, imeingizwakuwa ni sehemu ya kifungo.