Idhaa ya Redio ya UM

Juni 2009
J J J J A I J
1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 18 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30

Huduma

 26 Juni 2009
Real Chapisha

Siku ya Ushikamano wa Kimataifa na Walioathirika Mateso

Tarehe ya leo, 26 Julai, inaadhimishwa na UM kuwa ni Siku ya Ushikamano Kimataifa na Wathirika wa Mateso.

Kwenye risala ya KM kuihishimu siku hii ametilia mkazo kauli inayosisitiza kwamba hakuna kanuni inayokubalika inayoweza kuhalalisha au kutetea vitendo vya mateso au ule mfumo wa kikatili, usio wa kiutu, wenye kudhalilisha wanadamu, hali ambayo alisisitiza haina msingi wa kimaadili ya kiutu, wala haikubaliki katika mazingira ya aina yoyote, wakati wowote, kote ulimwenguni.