Nyumbani » wanawake na maendeleo

wanawake na maendeleo

UM, na wadau walaani vurugu DRC.

Kambi ya wakimbizi kivu kaskazini nchini DRC. (Picha:UM/Eskinder Debebe

  Umoja wa Mataifa, Muungano wa Afrika AU, muungano wa ulaya EU, na shirika la kimataifa la nchi zinazozungumza kifaransa IOF, wameelezea kusikitishwa kwao na machafuko ya hivi kribuni mjini Kinshasa na maeno…

24/09/2016 /

Mlinda amani wa UM auawa Mali, wanne wajeruhiwa

Walinda amaani wa UM katika doria Kidali, Mali. Picha: MINUSMA/Blagoje Grujic

Mlinda amani mmoja wa Umoja wa Mataifa ameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa baada ya bomu la kutengenezwa kulipua msafara…

07/08/2016 / Kusikiliza /

Sudan Kusini yakubali kikosi kutoka ukanda wa IGAD, Ban apongeza

639893Ban_Kimoon1

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekaribisha taarifa ya pamoja iliyotolewa na wakuu wa nchi wa mamlaka…

07/08/2016 /

Baraza la usalama yapitisha azimio la kupeleka polisi Burundi

Baraza la usalama:picha na UM

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio namba 2303 la kuepeleka maafisa wa polisi 228 nchini Burundi,…

29/07/2016 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Septemba 2016
T N T K J M P
« ago    
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930