Nyumbani » #UNGA72

#UNGA72

Mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la UM #UNGA72 watamatishwa

Rais wa baraza Kuu Miroslav Lajčák akihutubia Baraza Kuu. Picha: UM/Video capture

Katika hotuba yake ya kufunga mjadala wa wazi wa kikao cha 72 cha Baraza Kuu la Umoja wa mataifa, Rais wa baraza hilo Miroslav Lajčák ametilia mkazo mambo muhimu ambayo baraza lake limejikita kuyatekeleza wakati…

25/09/2017 / Kusikiliza /

Tukihifadhi mazingira leo tunaepuka gharama kubwa Kesho

Shida Magunda na Katana Ngala Hinzano katika mahojiano na Flora Nducha wa Idhaa ya Kiswahili. Picha: UM/Idhaa ya Kiswahili

Wana mradi wa kuruwitu kutoka Kilifi Mombasa nchini Kenya, wametoa wito wa kuhifadhi mazingira leo ili kuepuka athari zake…

25/09/2017 / Kusikiliza /

Warundi mliokimbilia nje karibuni mrejee nyumbani:Nyamitwe:

Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Alain Aimé Nyamitwe akihutubia mjadala wa wazi wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani. Picha na UN Web TV.

Hali ya Burundi imetengamaa na ni wakati muafaka kwa raia waliokimbilia nchi jirani na nchi za nje kurejea nyumbani.…

23/09/2017 / Kusikiliza /

Mshikamano wahitajika kutatua matatizo ya usalama na wakimbizi:Sudan

SUDAN GA

Mshikamano wa kimataifa wahitajika ili kutatua changamoto za usalama, suala la wakimbizi na ugaidi. Hayo yamesemwa na waziri wa…

23/09/2017 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930