Nyumbani » Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Baraza la Usalama laonyeshwa picha za kusikitisha za mauaji Syria

ramani ya Syria

Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo wameonyeshwa picha za kushangaza na za kusikitisha kuhusu mauaji ya kinyama ambayo yametekelezwa nchini Syria tangu mwaka 2011. Picha hizo zimeonyeshwa na bodi…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Baraza la usalama lalaani kutekwa kwa balozi wa Jordan huko Libya, lataka aachiwe huru

Baraza la usalama

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali shambulio dhidi ya msafara wa maafisa wa kibalozi…

15/04/2014 /

Bentiu pamoja na machimbo ya mafuta yashikiliwa na waasi: UNMISS

Eneo salama la kuhifadhi raia la UNMISS huko Bentiu ambapo hutolewa pia huduma ya uzazi wa mpango kwa wanawake. (Picha-UNMISS)

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS umepokea ripoti kwamba Bentiu ambao ni mji mkuu wa jimbo…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Matumizi ya kijeshi yapunguzwe na yawe wazi zaidi, UM waomba

Libyaweapons

Serikali zipunguze matumizi ya kijeshi na ziwekeze pesa katika maendeleo endelevu, amesema Mtaalamuhuru wa Umoja wa Mataifa, Alfred de…

14/04/2014 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Aprili 2014
T N T K J M P
« mac    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930