Nyumbani » Taathira za Mabadiliko ya Hali ya Hewa

Taathira za Mabadiliko ya Hali ya Hewa

Azimio la kutokomeza uharibifu wa misitu lapitishwa kwenye mkutano wa tabianchi

Upandaji miti unasaidia kufyonza hewa ya ukaa inayosababisha ongezeko la joto duniani. (Picha@Joshua Mmali)

Azimio la kupunguza uharibifu wa misitu kwa nusu ifikapo mwaka 2020 na kasha kuutokomeza uharibifu huo ifikapo mwaka 2030, limeridhiwa leo mjini New York na zaidi ya nchi 130, kampuni, mashirika ya umma…

23/09/2014 / Kusikiliza /

Sayansi ya tabianchi ni muhimu katika kuhimili mabadiliko ya tabianchi- mashirika ya UM

UN Photo/Mark Garten

Sayansi ya hali ya hewa ina jukumu muhimu katika kuelewa mabadiliko ya sasa ya mazingira na ya baadaye, yakiwemo…

19/09/2014 / Kusikiliza /

Mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi, maafikiano yacheleweshwa na malumbano

Dk Richard Muyungi

Wakati kikao cha kumi na tisa cha mkutano wa mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia kikielekea…

21/11/2013 /

Uganda yahaha kunusuru mazingira

mazingira

Utunzaji wa mazingira ni miongoni mwa malengo manane ya maendeleo ya milenia yanayojadiliwa katika mkutano wa 68 wa baraza…

26/09/2013 /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2014
T N T K J M P
« sep    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031