Nyumbani » Taarifa za dharura

Taarifa za dharura

Umoja wa Mataifa wataka kutekelezwa kwa haki za binadamu

Navi Pillay

Miaka ishirini baada ya mataifa kukubaliana kuhusu njia za kuboresha haki za binadamu, mpangilio wa kimataifa umewekwa na hatua zimepigwa lakini hata hivyo haujatekelzwa kwenye nchi nyingi kwa mujibu wa maafisa kutoka Umoja…

26/09/2013 /

Sera lazima zishughulikie hatari za zamani za masuala ya fedha ili kukabili changamoto mpya:IMF

imf-logo_high

Shirika la fedha duniani IMF linasema mfumo wa kimataifa wa fedha imeimarika kuliko ilivyokuwa miezi sita iliyopita, lakini bado…

17/04/2013 /

Jaribio la kuhimili Tsunami eneo la Karibia kufanyika leo

uharibifu wa Tsunami

Nchi thelathini na tatu duniani leo zitashiriki katika zoezi maalum la tahadhari ya tetemeko la chini ya ardhi, tsunami…

20/03/2013 /

Ban asikitishwa na athari za kimbunga Sandy

Ban-ki-moon11

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amesema anafuatilia kwa karibu hatma ya kimbunga cha Sandy, ambacho kimesababisha…

31/10/2012 /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2016
T N T K J M P
« jun    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031