Nyumbani » Neno La Wiki

Neno La Wiki

Tofouti za Supu na Mwengo ni zipi?

Neno la wiki - Supu na Mwengo

Wiki hii tunaangazia maneneno "Supu” na “Mwengo" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania. Bwana Sigalla anasema sio kila kitu ambacho kimepikwa katika…

12/01/2018 / Kusikiliza /

Neno la Wiki: Halisi, Uhalisi, Uhalisia

Neno la wiki_halisi_uhalisi_uhalisia

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno "Halisi", “Uhalisi” na "Uhalisia".  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye…

05/01/2018 / Kusikiliza /

Je wafahamu maana ya neno mzimu?

Neno la wiki

Wiki hii tunaangazia neno “Mzimu” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa,…

22/12/2017 / Kusikiliza /

Neno la wiki: Zuzu na Bwege

Neno la wiki_Zuzu na Bwege

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno “Zuzu” na “Bwege”.  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni…

15/12/2017 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031