Nyumbani » Mawasiliano mbalimbali

Mawasiliano mbalimbali

Umeme wasalia ndoto kwa wakazi wengi Afrika – Guterres

Mapishi kwa mkaa2

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesihi serikali zichukue hatua kuhakikisha kila mtu anapata huduma ya nishati salama iwe ya kupikia au ya kuangazia mwanga. Bwana Guterres amesema hayo leo kwenye…

01/11/2017 / Kusikiliza /

Kilichosababisha kifo cha Dag Hammarskjöld bado ni kitendawili:

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dag Hammarskjöld akihutubia mkutano wa waandishi wa habari katika Makao makuu ya Umoja wa Mataifa tarehe 24 Machi 1960. Picha: UM

Hatimaye ripoti ya tathimini ya mazingira yaliyosababisha kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Dag…

25/10/2017 / Kusikiliza /

Kampeni ya kutokomeza nyuklia yashinda tuzo ya amani ya Nobel

Nobel-2

Taasisi ya kimataifa inayoendesha kampeni dhidi ya matumizi ya silaha za nyuklia imeshinda tuzo ya amani ya Nobel kwa…

06/10/2017 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031