Nyumbani » Malengo ya maendeleo ya milenia

Malengo ya maendeleo ya milenia

Ebola yarudisha nyuma ustawi wa watoto Liberia

Ebola UNICEF

Juhudi zote zilizofanyika nchini Liberia baada ya kumalizika kwa mapigano nchini humo miaka kumi iliyopita zinaweza kufutika kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, msemaji wa…

12/09/2014 / Kusikiliza /

Bei ya vyakula yafikia kiwango cha chini zaidi katika miaka 4

Bidhaa za nafaka.Picha ya FAO

Kipima bei za vyakula kila mwezi cha Shirika la Kilimo na Chakula, FAO, kimeonyesha kuwa bei za vyakula zilishuka…

11/09/2014 / Kusikiliza /

Siku 500 kabla ya ukomo wa maendeleo, tuchukue hatua:Ban

Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon na Malala Yousfzai katika mjadala huo. (Picha:UN/Mark Garten)

Ikiwa zimebakia siku 500 kabla ya kufikia ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia, katibu Mkuu wa Umoja wa…

18/08/2014 / Kusikiliza /

Hatua nne zahitajika kuhimiza malengo ya milenia

@UN photos/ Mark Garten

Leo ikiwa imebaki siku 500 tu kabla ya kufikia ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia yaliyoamuliwa na viongozi…

18/08/2014 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2014
T N T K J M P
« okt    
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930