Nyumbani » Makala za wiki

Makala za wiki

Maadhimisho ya 54 ya jeshi la Somalia

Wakati wa sherehe ya maadhimisho ya 54 ya jeshi la Somalia

Nchini Somalia kumefanyika sherehe ya 54 ya maadhimisho ya jeshi la Somalia. Jeshi la Somalia ambalo liliwahi kujulikana kama jeshi bora zaidi barani Afrika lilisambaratika mwaka 1991. Baada ya miongo miwili ya vita…

17/04/2014 / Kusikiliza /

Umoja wa Mataifa na washirika wapambana na ukatili dhidi ya wanawake Kosovo

Ukatili majumbani

Ukatili dhidi ya wanawake ni jinamizi ambalo linaiandama dunia mpaka wakati huu wa karne ya 21. Hata hivyo nchi…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Homa ya kidinga popo yasambaa Tanzania, mmoja athibitika kufariki

Mbu anayeambukiza kidinga popo

  Nchini Tanzania watu 147 wamethibitika kuwambukizwa ugonjwa wa homa ya kidinga popo yaani homa ya dengu huku mtu…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Elimu ya msingi yaboreshwa Uganda

Wanafunzi wakiwa darasani

Nchini Uganda baada ya vuta ni kuvute ya muda mrefu kati ya serikali na walimu husuani washule za masingi…

14/04/2014 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Aprili 2014
T N T K J M P
« mac    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930