Nyumbani » Taarifa maalumu

Taarifa maalumu

Takriban 30,000 wakimbilia Uganda kufuatia mapigano ya Juba

Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wakielekea Uganda. Picha:UNHCR

Baada ya serikali ya Sudan Kusini kufungua mipaka yake kwa wanaotoroka mapigano nchini humo, takribani wakimbizi elfu the lathini wamepokelewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, na wadau wake…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Ubanaji matumizi ya serikali kunadunisha hifadhi jamii- ILO

picha:Photo: ILO/Ferry Latief

Shirika la Kazi Duniani (ILO), limesema kuwa ni asilimia 20 tu ya watu wote duniani ndio walio na hifadhi…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Hatua zichukuliwe dhidi ya ubakaji India:UNICEF

Nembo ya UNICEF: Picha na UNICEF

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limelaani vikali vitendo vya ubakaji dhidi ya wasicha nchini India…

20/07/2016 / Kusikiliza /

WHO yalaani mashambulizi katika hospitali Syria

Watoa huduma wa WHO

Shirika la afya duniani WHO limelaani vikali mashambulizi kwenye hospitali majimbo ya Aleppo na Idleb nchini Syria, na limetuma…

19/07/2016 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2016
T N T K J M P
« jun    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031