Nyumbani » Mahojiano

Mahojiano

Kwenye siku ya urafiki Ban atoa wito watu watafute urafiki wa kweli

Urafiki

Julai 30 ni Siku ya Urafiki Duniani- na kulingana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, siku hiyo inakuja wakati vita, machafuko na kutoaminiana vimetanda kote duniani. Katika ujumbe wake huo wa siku…

30/07/2014 / Kusikiliza /

Harakati za kufikia lengo nambari moja:Tanzania

Picha@UNDP

Lengo namba moja katika malengo manane yaliyowekwa na viongozi wa dunia mnamo mwaka 2000, ni kumaliza njaa na umaskini…

25/07/2014 / Kusikiliza /

Ripoti ya ukaguzi ya 2013 yazinduliwa hapa makao makuu:UM

Picha kutoka Ofisi ya Ukaguzi ya Serikali ya Tanzania

Bwana Ludovic Utouh ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania. Aidha, ameteuliwa mwaka 2012 na…

24/07/2014 / Kusikiliza /

Hatma ya Watoto wa Gaza iko hatarini

Mtoto aliyejeruhiwa, hospitalini, Gaza. Picha ya @UNICEF

Wakati Baraza la Haki za Binadamu likipitisha leo tarehe 23 Julai azimio la kuunda tume ya uchugunzi juu ya…

23/07/2014 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031