Nyumbani » Jarida

Jarida

UM wahimiza utulivu baada ya mauaji ya vijana Israel

Picha@Ravina Shamdasani/OCHR

Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imepigwa na huzuni baada ya miili ya wavulana watatu wa Israel walioripotiwa kupotea hapo tarehe 12 Juni kupatikana wakiwa wameuawa katika Ukingo wa Magharibi.…

01/07/2014 / Kusikiliza /

Ulinzi wa kijamii waboresha maisha ya watu wanaoishi na HIV: ILO

ilo

Shirika la kazi duniani, ILO limezindua  ripoti yake inayoonyesha kuwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi wana uwezo wa…

27/06/2014 / Kusikiliza /

Baraza la Haki za Binadamu lakutana kuhusu ukeketaji wa wanawake

Navi Pillay @Un Photos/Jean-Marc Ferre

(Sauti ya Pillay) “Ukatili dhidi ya wanawake ni namna moja wapo ya uhalifu na ubaguzi wa kijinsia. Ni hatia…

16/06/2014 / Kusikiliza /

Ulimwengu waungana kupinga dhuluma dhidi ya wanawake katika kampeni ya "One Billion Rising"

Wanawake kwenye kampeni ya 1 Billion Rising

Kote duniani, watu wa tabaka mbalimbali walicheza muziki mnamo siku ya Alhamis, Februari kumi na nne, ambayo ni maarufu…

18/02/2013 /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031