Nyumbani » Hapa na pale

Hapa na pale

Hali ya haki ya maji na usafi yaangaziwa Kenya

Picha ya World Bank/Arne Hoel(UN News Centre)

Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya binadamu ya kupata maji na usafi, Catarina de Albuquerque, ameanza leo ziara yake nchini Kenya kwa ajili ya kutathmini mafanikio na changamoto za nchi…

22/07/2014 / Kusikiliza /

Tanzania yachukua hatua kupambana na usafirishaji haramu wa watoto

@UN Photo/Evan Schneider

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM linaendesha mkutano pamoja na Sekritariati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu ili kusanifisha…

22/07/2014 / Kusikiliza /

Kesho Julai 23 ni siku 100 tangu wasichana wa Chibok walipotekwa

Picha: UNESCO

Kesho Julai 23 itakuwa siku ya 100 tangu utekaji wa wasichana wa Chibok, Nigeria, ambao 219 kati yao bado…

22/07/2014 / Kusikiliza /

Kila kisa cha utumikishwaji wa watoto vitani ni janga kwa jamii: MONUSCO

Martin Kobler@UN

Ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ikitolewa leo kuhusu hali ya watoto walioathirika na mzozo katika Jamhuri…

21/07/2014 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031