Nyumbani » Habari za wiki

Habari za wiki

UNICEF yajikita katika kupambana na kipindupindu Malawi

Wakimbizi wa ndani waliokimbia makwao nchini Malawi kufuatia mafuriko yaliyotokea mwezi Januari, mwaka huu. Mwanamke aitwayo Kenti amesema anakosa maziwa ya kuwanyonyesha watoto wake mapacha. Picha ya UNICEF/Camel

Nchini Malawi, ugonjwa wa kipindupindu uliolipuka kusini mwa nchi umesababisha Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF kuchukua hatua kwa dharura. Msemaji wa UNICEF Christophe Boulierac amesema tayari visa 39 vimeripotiwa…

27/02/2015 / Kusikiliza /

Dola milioni 377 zahitajika kwa usaidizi wa kibinadamu Mali- OCHA

wanawake walio kwenye kituo cha afya ya watoto mjini Bamako. Picha ya UNOCHA.

Mashirika ya kibinadamu nchini Mali yanahitaji dola milioni 377 ili kukidhi mahitaji ya watu wanaozidi milioni 1.5 mwaka wa…

27/02/2015 / Kusikiliza /

WFP yaanza tena kutoa 100% ya msaada wa chakula Uganda

Picha: WFP

Shirika la Mpango wa Chakula Dudiani (WFP) nchini Uganda limeanza tena kutoa chakula kwa wakimbizi nchini humo kikamilifu baada…

27/02/2015 / Kusikiliza /

Majadailiano ndiyo mwaruabini wa machafuko Yemen: OHCHR

Picha:UNHCR/R.Nuri

Ofisi ya haki za binadamu  ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imesema inafuatilia hali ya mkwamo wa majadiliano ya kutafuta…

27/02/2015 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Febuari 2015
T N T K J M P
« jan    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
232425262728