Nyumbani » Ebola

Ebola

Kisa kipya cha Ebola Sierra Leone, serikali na wadau wachukua hatua:WHO

Chanjo ya ebola.(Pichaya UM/WHO/M. Missioneiro/maktaba)

Siku moja baada ya Shirika la afya duniani, WHO kutangaza kutokomezwa kwa Ebola huko Afrika Magharibi, mtu mmoja amefariki dunia kutokana na Ebola huko Sierra Leone na hivyo kutishia uwezekano wa kuibuka upya…

15/01/2016 / Kusikiliza /

WHO kuendesha tafiti kuhusu maambukizi ya Ebola kupitia mbegu za kiume

Picha:UNMEER/Martine Perret

Shirika la afya duniani, WHO kanda ya Afrika limesema tafiti zaidi zinahitajika kufahani ni jinsi gani wanaume waliopona Ebola…

15/01/2016 / Kusikiliza /

Maambukizi ya Ebola Liberia yameisha, nchi zote 3 sasa huru- WHO

Watoto nchini Liberia sasa ni matumaini. (Picha:Facebook UNMIL)

Shirika la Afya Duniani, WHO limetangaza kuwa Liberia sasa imeondolewa kwenye orodha ya nchi ambako maambukizi ya kirusi cha…

14/01/2016 / Kusikiliza /

Sierra Leone yajiandaa kutangaza mwisho wa mlipuko wa Ebola

Picha:UNMIL/Emmanuel Tobey

Taifa la Sierra Leone linajiandaa kutangaza mwisho wa mlipuko wa Ebola, limesema Shirika la Afya Duniani, WHO. Taarifa kamili…

06/11/2015 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Febuari 2016
T N T K J M P
« jan    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29