Nyumbani » Features

Features

UNEP yakaribisha hatua ya Marekani kuridhia mkataba kuhusu zebaki:

MERCURY TREATY

Marekani imepiga jeki juhudi za kiamataifa za kupunguza gesi chafuzi itokanayo na metali nzito baada ya kuridhia mkataba wa Minamata kuhusu zebaki. Mkataba huo uliopitishwa tarehe 10 Oktoba mjini Kumamoto Japan na kupewa…

07/11/2013 / Kusikiliza /

FAO yatabiri kuongezeka kwa uzalishaji wa chakual na kushuka kwa bei

food-prices

Bei ya vyakula inataraajiwa kushuka ikilinganishwa na miaka iliyopita hali ambayo imechangiwa na kuongezeka kwa uzalishaji hasa wa nafaka…

07/11/2013 / Kusikiliza /

ITU na INTEL zaingia ubia kuleta mabadiliko kwenye elimu

ITU and education

Kampuni mashuhuri ya utengenezaji wa chipu za kompyuta, INTEL imeungana na Shirika la kimataifa la mawasiliano, ITU katika kupanua…

07/11/2013 / Kusikiliza /

Jeshi la DR Congo sasa ladhibiti maeneo yote yaliyokuwa chini ya M23

Wanawake na watoto huko Rutshuru, DR Congo wakifurahia baada ya kijiji chao kukombolewa na askari wa serikali kwa usaidizi wa MONUSCO

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko DR Congo, MONUSCO umethibitisha kuwa jeshi la nchi hiyo hivi sasa linadhibiti maeneo…

07/11/2013 / Kusikiliza /
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Aprili 2015
T N T K J M P
« mac    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930