Habari za wiki

Baada ya kuhutubia New York, Gertrude awasilisha hoja bungeni Tanzania »

Gertrude Clement na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mh. Angeline Mabula, pamoja na wanahabari watoto wenzake bungeni, Dodoma, Tanzania. Picha ya Mtandao wa Wanahabari Watoto.

Nchini Tanzania, mtandao wa wanahabari watoto uliofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF), umealikwa bungeni…

04/05/2016 / Kusikiliza /

Suala la wakimbizi wa Palestina linanitia uchungu- Ban »

Wakimbizi kutoka Syria.(Picha© 2014 UNRWA Photo by Rami Al Sayyed)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameeleza kutiwa uchungu na suala la hatma ya wakimbizi wa Palestina…

04/05/2016 / Kusikiliza /
Vita dhidi ya ugaidi vyahatarisha uhuru wa vyombo vya habari: mtalaam wa UM » Uhuru wa kupata habari unahitaji sheria bora na endelevu »

Mahojiano na Makala za wiki

Ziarani Nepal, Jan Eliasson asisitizia mshikamano wa jamii wakati wa mizozo »

Jan Eliasson ziarani Nepal. Picha ya UNDP Nepal.

Nchini Nepal, Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson ameshuhudia uharibifu uliosababishwa na matetemeko ya ardhi yaliyoikumba nchi hiyo mwaka…

04/05/2016 / Kusikiliza /

Uteketezaji wa pembe za tembo ni ujumbe wa vita dhidi ya ujangili-Kenya »

Picha:VideoCapture

Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP limetangaza kuanzishwa kwa programu itakayogharimu dola milioni 60 kwa ajili ya kukabiliana…

03/05/2016 / Kusikiliza /
Mkimbizi wa Syria abeba mwenge wa olimpiki » Ugonjwa wa malaria na juhudi za kuutokomeza Tanzania »

Mkimbizi wa Syria abeba mwenge wa olimpiki »

Ibrahim Al Hussein, Mkibizi kutoka Syria aliyekimbiza mwenge wa Olimpiki nchini Ugiriki. Picha:VideoCapture

Kwa mara ya kwanza mashindano ya Olimpiki mwaka huu yatakayo fanyika nchini Brazil baadaye mwaka huu, yametoa fursa kwa wakimbizi kushiriki. Kwa…

02/05/2016 / Kusikiliza /

Ugonjwa wa malaria na juhudi za kuutokomeza Tanzania »

Mtoto akiwa amelala ndani ya neti.(Picha:UM/Logan Abassi)

Tarehe 25 mwezi Aprili ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya malaria, msisistizo ukiwa kutokomeza ugonjwa huo. Kwa mujibu wa takwimu za…

29/04/2016 / Kusikiliza /
Mabadiliko ya tabianchi barani Asia, hatua zachukuliwa. » Lazima kujumuisha makundi yote katika ujenzi wa amani: Kamau »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Jeffrey Feltman. Picha ya Umoja wa Mataifa.

Suala la Syria liwasilishwe ICC- Feltman »

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa leo limekumbushwa tena hoja ya kuwasilisha kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC mzozo wa Syria. Mkuu wa masuala ya kisiasa kwenye Umoja…

04/05/2016 / Kusikiliza /

Mkutano wa kimataifa kuhusu suala la Jerusalem kumalizika leo Dakar Senegal »

Mohamed Ibn Chambas akihutubia mkutano huko Dakar, Senegal.(Picha:UM)

Mji mtakatifu wa kihistoria wa Jerusalemu umesalia kuwa kitovu cha majadiliano yoyote ya suluhu ya suala la Palestina amesema Katibu Mkuu wa…

04/05/2016 / Kusikiliza /

Kongamano la mchango wa dini katika kuzuia uchocheaji ghasia kufanyika Addis Ababa »

Viongozi wa dini mbalimbali.(Picha:UM/Rick Bajornas)

Kongamano kuhusu jukumu la watendaji wa kidini kutoka Afrika katika kuzuia uchochezi wa ghasia zinazoweza kusababisha uhalifu wa kikatili litafanyika Addis Ababa,…

04/05/2016 / Kusikiliza /

Mateso dhidi ya vyama vya wafanyakazi yaongezeka Somalia »

Waandishi wa habari nchini Somalia. Picha kutoka video ya UNIFEED.

Wataalam wa Umoja wa Mataifa wameisihi leo serikali ya Somalia kusitisha vitendo vya vitisho dhidi ya wanachama na viongozi wa vyama viwili…

04/05/2016 / Kusikiliza /
Kambi za walinda amani Sudan Kusini zatathminiwa » Mratibu wa UM asikitishwa na vifo vya watoto kwenye mlipuko Benghazi » Ban amtangaza atakayekuwa mkuu mpya wa UNEP: »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII APRILI, 29, 2016

Getrude Clement ahutubia Umoja wa Mataifa #MkatabawaParis

KuunganaPata Habari za Ebola kwa App...


iPhone | Android

Mawasiliano mbalimbali

 • Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Soma Zaidi

 • Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Soma Zaidi

 • Majukumu ya malezi yanabebwa na watoto

  Majukumu ya malezi yanabebwa na watoto

  Soma Zaidi

 • Ban Ki-moon ziarani Burundi

  Ban Ki-moon ziarani Burundi

  Soma Zaidi

 • Buriani Boutros Ghali – VIDEO

  Buriani Boutros Ghali – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Baraza la Usalama Burundi – VIDEO

  Ziara ya Baraza la Usalama Burundi – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Kumbukizi ya Haiti – VIDEO

  Kumbukizi ya Haiti – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Matumizi ya dawa za kulevya na athari zake nchini Uganda

  Matumizi ya dawa za kulevya na athari zake nchini Uganda

  Soma Zaidi

 • Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua

  Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua

  Soma Zaidi

 • Ban akiwa Paris kwa ajili ya #COP21 – VIDEO

  Ban akiwa Paris kwa ajili ya #COP21 – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Papa Francis kwenye makao makuu ya UM, Gigiri nchini Kenya

  Ziara ya Papa Francis kwenye makao makuu ya UM, Gigiri nchini Kenya

  Soma Zaidi

 • Fahamu kuhusu mkutano wa tabianchi COP21

  Fahamu kuhusu mkutano wa tabianchi COP21

  Soma Zaidi

 • Miongo saba katika picha saba:Kenya-video

  Miongo saba katika picha saba:Kenya-video

  Soma Zaidi

 • Umoja wa Mataifa na ulinzi wa amani-video

  Umoja wa Mataifa na ulinzi wa amani-video

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Hapa ni polisi wa MINUSMA wakipiga doria mjini Gao, Mali.(Picha:UM/Marco Dormino)

UM walaani shambulio dhidi ya msafara wa misaada ya kibinadamu Mali »

Kaimu mratibu wa masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA nchini Mali, amelaani vikali shambulio dhidi ya msafara wa misaada ya kibinadamu wa shirika lisilo la kiserikali la Danish…

04/05/2016 / Kusikiliza /

UNESCO yazindua mwongozo wa walimu kuhusu kuzuia itikadi kali katili »

Mwalimu wa kambi ya wakimbizi wa ndani ya Abu Shouk, Darfur Kaskazini.UN Photo/Albert González Farran

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limezindua mwongozo mpya kwa walimu kuhusu kuzuia itikadi kali katili, ambao utawaelekeza katika kujadili suala…

04/05/2016 / Kusikiliza /

UNVIM yaanza kazi kurahisisha usafirishaji bidhaa Yemen »

Picha:UN Photo/Kibae Park

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekaribisha uzinduzi rasmi wa utendaji wa chombo cha umoja huo cha kuthibitisha usafirishaji wa…

03/05/2016 / Kusikiliza /
Wakimbizi kwenye kisiwa cha Pacific cha Nauru wanapaswa kuondolewa:UNHCR » Idadi ya vifo Iraq imepungua kwa mwezi Aprili:UNAMI » Ukame na kuanguka kwa bei ya mafuta kwaongeza mahitaji ya kibinadamu Angola » Kisumu Kenya mstari wa mbele katika jaribio la mkakati wa Sendai »

Taarifa maalumu