Habari za wiki

Tuangalie upya matumizi ya viua wadudu: FAO »

Picha ya FAO emergencies

Leo ikiwa ni miaka thelathini tangu kuzinduliwa kwa Muongozi wa Kimataifa wa Shirika la Kilimo na Chakula duniani, (FAO)…

25/11/2015 / Kusikiliza /

Ban aelezea matarajio yake kwa COP21 »

Mabadiliko ya tabianchi yanaathiri kilimo na maisha ya wakulima duniani kote. Picha ya FAO/L. Dematteis

Siku nne kabla ya kuanza kwa mkutano wa mabadiliko ya tabianchi COP21 huko Paris, Ufaransa, Katibu Mkuu wa Umoja…

25/11/2015 / Kusikiliza /
UM na kutunguliwa kwa ndege ya Urusi » Ajira ni suluhu dhidi ya misimamo mikali: UNDP »

Mahojiano na Makala za wiki

Mradi wa upanzi wa miti inayofyoza hewa chafuzi nchini Kenya »

Miti inayofyoza hewa chafuzi.(Picha:WORLD BANK/VIdeo capture)

Wakati mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kushuhudiwa, kilimo ni moja wapo ya sekta ambazo zinaathirika zaidi. Nchini Kenya ambako asilimia kubwa ya watu…

25/11/2015 / Kusikiliza /

Mradi wa kilimo wapambana na mabadiliko ya tabianchi Rwanda »

Wakazi nchini Rwanda.(Picha:UM/vIdeo capture)

Nchini Rwanda, hali ya hewa haitabiriki kama zamani; sababu ni mabadiliko ya tabianchi ambayo yameathiri mfumo wa mvua nchini humo huku wanasayansi…

24/11/2015 / Kusikiliza /
Matumizi mbadala ya mkaa yanahitajika kunusuru mazingira Tanzania: Benki ya dunia » Upatikanaji wa huduma ya choo nchini Tanzania »

UNDP na mpango wa kutokomeza vikundi vyenya misismao mikali »

Joseph Msami wa Idhaa hii amhoji Mratibu wa UNDP ukanda wa Afrika Mohamed Yahya.(Picha:UM/Joseph Msami)

Makundi yenye msimamo mkali na ugaidi ni tishio kubwa kwa amani na usalama duniani. Nchi na mashirika mbalimbali yanasaka suluhu ya kimataifa…

24/11/2015 / Kusikiliza /

Ili kukabiliana na umaskini ni lazima LDCs ziweke malengo mahsusi:UNCTAD »

Katibu Mkuu wa UNCTAD Dkt. Mukhisa Kituyi. (Picha:UN/Pierre Albouy)

Katika kongamano la nne la Umoja wa Mataifa la nchi zinazoendelea lililofanyika Istanbul, Uturuki mwaka 2011, wakuu wa mataifa walikubaliana kuwa hatua…

24/11/2015 / Kusikiliza /
Vijana wapazia sauti tabianchi katika shindano la muziki » Mradi wa kuboresha mfumo wa Matatu waleta nuru Kenya »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon.(Picha:UM/Cia Pak)

Ban alaani shambulio nchini Tunisia »

Katibu Mkuu wa Umoaj wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani shambulio lililotekelezwa leo nchini Tunisia dhidi ya basi lilolebeba walinzi wa Rais na kusababisha vifo na majeruhi kadhaa. Taarifa ya msemaji…

25/11/2015 / Kusikiliza /

Kusimamishwa kwa NGOs Burundi ni hatua nyingine ya kunyamazisha jamii : Zeid »

Machafuko nchini Burundi. Picha ya Phil Moore/IRIN

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Zeid Raád Al Hussein amelaani maamuzi ya mamlaka za serikali ya Burundi kusimamisha mashirika kumi yasiyo…

25/11/2015 / Kusikiliza /

Vichochezi kwa wapiganaji mamluki vyaangaziwa »

Balozi Raimonda Murmokaitė. (Picha:UN/Mark Garten)

Kamati dhidi ya ugaidi ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imekuwa na mkutano hii leo kati yake na watafiti kuchambua…

24/11/2015 / Kusikiliza /

Elimu kuhusu SDGs yabisha hodi sekondari Ihungo »

Wanafunzi wa shule ya sekondari Ihungo wakiwa katika mjadala kuhusu SDGs. (Picha:UNIC/Stella Vuzo)

Nchini Tanzania Umoja wa Mataifa umeendelea na kampeni ya kuelimisha jamii kuhusu malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yaliyopitishwa mwezi Septemba mwaka huu…

24/11/2015 / Kusikiliza /
Mafuta na madini vyaweza ongeza ajira Afrika:UNCTAD » Ban asikitishwa na kuuwawa kwa wakimbizi wa Sudan » Uthabiti wa ASEAN ni jibu la kukabili changamoto:Ban »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII, NOVEMBA, 20, 2015

#UNPOL Wiki ya Polisi kwenye UM

MKUTANO WA MABIDILIKO YA TABIANCHI-COP21

KuunganaPata Habari za Ebola kwa App...


iPhone | Android

MDGs ===> SDGs 2015

Mawasiliano mbalimbali

 • Fahamu kuhusu mkutano wa tabianchi COP21

  Fahamu kuhusu mkutano wa tabianchi COP21

  Soma Zaidi

 • Miongo saba katika picha saba:Kenya-video

  Miongo saba katika picha saba:Kenya-video

  Soma Zaidi

 • Umoja wa Mataifa na ulinzi wa amani-video

  Umoja wa Mataifa na ulinzi wa amani-video

  Soma Zaidi

 • Miongo saba picha saba-video

  Miongo saba picha saba-video

  Soma Zaidi

 • Papa Francis kuhutubia Umoja wa Mataifa Ijumaa

  Papa Francis kuhutubia Umoja wa Mataifa Ijumaa

  Soma Zaidi

 • Mahojiano na Rais Felipe Nyusi wa Msumbiji-Video

  Mahojiano na Rais Felipe Nyusi wa Msumbiji-Video

  Soma Zaidi

 • Huduma za afya-Rais Kikwete-video

  Huduma za afya-Rais Kikwete-video

  Soma Zaidi

 • Uhuru Kenyatta #UNGA kwa kiswahili-Video

  Uhuru Kenyatta #UNGA kwa kiswahili-Video

  Soma Zaidi

 • Sheria za uwekezaji zinapaswa kuwezesha mataifa yanayoendelea kushindana kibiashara:UNCTAD

  Sheria za uwekezaji zinapaswa kuwezesha mataifa yanayoendelea kushindana kibiashara:UNCTAD

  Soma Zaidi

 • UM kuridhia malengo 17 ya maendeleo endelevu, SDGs

  UM kuridhia malengo 17 ya maendeleo endelevu, SDGs

  Soma Zaidi

 • Diamond, SautiSol waungana na wenzao #SDGs: VIDEO

  Diamond, SautiSol waungana na wenzao #SDGs: VIDEO

  Soma Zaidi

 • Kutokidhi mahitaji ya kibinadamu Syria kunaongeza mzozo wa watoto wakimbizi- UNICEF

  Kutokidhi mahitaji ya kibinadamu Syria kunaongeza mzozo wa watoto wakimbizi- UNICEF

  Soma Zaidi

 • Janga la wahamiaji Ulaya-video

  Janga la wahamiaji Ulaya-video

  Soma Zaidi

 • Shiriki katika ubinadamu

  Shiriki katika ubinadamu

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Mama na mwanae baada ya kimbunga Haiyan nchini Ufilipino.(Picha© UNICEF/NYHQ2013-1027/Maitem)

Mabadiliko ya tabianchi yaathiri mamilioni ya watoto: UNICEF »

Ripoti iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF mbele ya mkutano wa 21 kuhusu mabadiliko ya tabianchi ujulikanao kama COP21 mjini Paris, Ufaransa, inasema, zaidi ya…

25/11/2015 / Kusikiliza /

WHO yachangia juhudi dhidi ya ukatili wa kijinsia »

Wanwake waliobakwa nchini DRC. Picha ya Aubrey Graham/IRIN

Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake, Shirika la Afya Duniani WHO limezindua leo mradi mpya…

25/11/2015 / Kusikiliza /

UNHCR yaonya juu ya janga jipya la kibinadamu Ulaya »

Mkimbizi kutoka Syria Mohamed na mkewe Fatima na watoto wao wawili wakisubiri Serbia ili kuvuka Croatia.(Picha:UM/© UNHCR/M. Henley)

Shirika la Umoja wa Mataifa la kudumia wakimbizi UNHCR limeonya juu ya janga jipya  la kibinadamu kufuatia vikwazo katika mipaka dhidi ya…

24/11/2015 / Kusikiliza /
Idadi ya wanaopata matibabu ya ukimwi kuendelea kuongezeka: UNAIDS » Bangladesh:Ofisi ya haki za binadamu yalaani kunyongwa kwa watuhumiwa » Ban amteua Michael Keating kumrithi Kay Somalia » WHO yaendelea kupambana na kipindupindu Iraq »

Taarifa maalumu