Habari za wiki

Ukaguzi wa matokeo ya uchaguzi Afghanistan, UNAMA yasifu uwepo wa wataalamu »

Wapiga kura wakati wa duru ya kwanza ya uchaguzi, Afghanistan.Picha@UNAMA

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan, UNAMA umekaribisha hatua ya kuwasili leo kwa waangalizi na wataalamu wa kimataifa…

01/08/2014 / Kusikiliza /

Ban asifu hatua ya Mahakama Uganda kufuta sheria dhidi ya ushoga »

Katibu Mkuu Ban Ki-moon. UN Photo.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekaribisha uamuzi wa mahakama ya kikatiba nchini Uganda wa kufuta sheria…

01/08/2014 / Kusikiliza /
Hakuna vikwazo vya usafiri Afrika Magharibi licha ya kuenea kwa kirusi cha Ebola- WHO » Hali ya usalama wa chakula yaendelea kudorora Sudan Kusini »

Mahojiano na Makala za wiki

Upatikanaji wa elimu kwa kila mtoto bado ni safari inayokabiliwa na changamoto nchini Uganda »

Watoto darasani nchini Uganda. Picha ya UM/UN Radio/Kiswahili/John Kibego

Lengo la pili la milenia ni kufikia upatikanaji wa elimu ya msingi kwa wote. Kwa mujibu wa lengohilo, kila mtoto, awe wa…

01/08/2014 / Kusikiliza /

Mradi wa kutoa elimu kwa waliokosa ni hatua katika kufanikisha lengo la pili, Tanzania »

Watoto wa shule Uganda. Picha: Idhaa ya Kiswahili/John Kibego

Katika jitihada za kufikia malengo ya maendeleo ya milenia yatakayofikia ukomo mwakani, Umoja wa mataifa unasema kwamba ni dhahiri kuwa malengo ya…

01/08/2014 / Kusikiliza /
Mimba za utotoni ni changamoto inayokabili lengo la pili la upatikanaji wa elimu kwa wote » Kuhitimisha elimu ya msingi Uganda ni changamoto »

Kupitia elimu idadi ya akina mama wanaonyonyesha watoto imeimarika Kenya »

Picha@UNICEF

Leo Agosti mosi ni siku ya kwanza ya wiki ya unyonyeshaji duniani. Wiki hii ni fursa ya kuchagiza umuhimu wa maziwa ya…

01/08/2014 / Kusikiliza /

Kwenye siku ya urafiki Ban atoa wito watu watafute urafiki wa kweli »

Urafiki

Julai 30 ni Siku ya Urafiki Duniani- na kulingana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, siku hiyo inakuja wakati vita, machafuko…

30/07/2014 / Kusikiliza /
Harakati za kufikia lengo nambari moja:Tanzania » Ripoti ya ukaguzi ya 2013 yazinduliwa hapa makao makuu:UM »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu Ban Ki-moon. UN Photo.

Ban asifu hatua ya Mahakama Uganda kufuta sheria dhidi ya ushoga »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekaribisha uamuzi wa mahakama ya kikatiba nchini Uganda wa kufuta sheria iliyoharamisha mapenzi ya jinsia moja huku akisema huo ni ushindi wa…

01/08/2014 / Kusikiliza /

Ban ashtushwa na kuvunjwa kwa sitisho la mapigano »

Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric.Picha ya UM

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon  amelaani vikali kitendi cha kikundi cha Hamas kuvunja sitisho la mapigano huko Ukanda wa…

01/08/2014 / Kusikiliza /

Baraza la Usalama lasikitishwa na hali ya kibinadamu Gaza »

Mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu hali kwenye Ukanda wa Gaza. 
Picha: UN Photo/Paulo Filgueiras

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana kwa dharura leo tarehe 31 Julai, kufuatia kuzorota zaidi kwa hali ya kibinadamu kwenye…

31/07/2014 / Kusikiliza /
Akiwa Costa Rica, Ban atoa mhadhara kuhusu sheria, haki na maendeleo endelevu » Machafuko ya Gaza yamekithiri viwango, yakomeshwe- UM » Mwakilishi wa UM akaribisha nia ya kuundwa utawala mpya kati mwa Somalia »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

SOUTH SUDAN: UKINGONI MWA NJAA. Picha: UNICEF

WIKI YA UNYONYESHAJI AGOSTI 1-7 2014

Kuungana

Mawasiliano mbalimbali

 • Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Soma Zaidi

 • UM wazindua muongo wa nishati endelevu kwa wote; Tanzania yaweka bayana mipango yake

  UM wazindua muongo wa nishati endelevu kwa wote; Tanzania yaweka bayana mipango yake

  Soma Zaidi

 • VIDEO: Kamanda wa kikosi cha UNAMID azungumzia hali ya Darfur.

  VIDEO: Kamanda wa kikosi cha UNAMID azungumzia hali ya Darfur.

  Soma Zaidi

 • Baraza la Usalama laitisha azimio kuhusu Jamhuri ya Afrika ya kati

  Baraza la Usalama laitisha azimio kuhusu Jamhuri ya Afrika ya kati

  Soma Zaidi

 • Kumbukizi ya mauaji yakimbari Rwanda

  Kumbukizi ya mauaji yakimbari Rwanda

  Soma Zaidi

 • Siku ya kujenga hamasa kusaidia watu wenye ulemavu wa akili

  Siku ya kujenga hamasa kusaidia watu wenye ulemavu wa akili

  Soma Zaidi

 • Uzinduzi wa UNDAF Kenya

  Uzinduzi wa UNDAF Kenya

  Soma Zaidi

 • Ban awasili Greenland

  Ban awasili Greenland

  Soma Zaidi

 • Siku ya Ushairi duniani Machi 21

  Siku ya Ushairi duniani Machi 21

  Soma Zaidi

 • CSW58 Kutoka Kenya

  CSW58 Kutoka Kenya

  Soma Zaidi

 • CSW58 yafunga pazia: Shina Inc. yapigia chepuo ubia na elimu kwa jamii kuhusu tamaduni

  CSW58 yafunga pazia: Shina Inc. yapigia chepuo ubia na elimu kwa jamii kuhusu tamaduni

  Soma Zaidi

 • Liberia na siku ya Furaha duniani

  Liberia na siku ya Furaha duniani

  Soma Zaidi

 • Wamasai waleta hoja CSW58

  Wamasai waleta hoja CSW58

  Soma Zaidi

 • Hapa na pale CSW58

  Hapa na pale CSW58

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Mwakili maalum wa Katibu Mkuu, Somalia Nicholas Kay.Picha ya UM/Jean-Marc Ferré

Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya wabunge Somalia. »

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM Nicholas Kay, amelaani kuuawa kwa mbunge wa bunge la serikali ya shirikisho nchini humo Sheikh Aden Madeer.. Taarifa…

01/08/2014 / Kusikiliza /

UM wakaribisha uamuzi wa Afghanistan kutosajili watoto katika Jeshi »

Nembo ya UNAMA

Umoja wa Mataifa leo umekaribisha uamuzi wa serikali ya Afghanistan kuondoa na kuzuia uandikishaji au utumikishaji wa  watoto katika majeshi ya  nchi…

01/08/2014 / Kusikiliza /

Dola milioni 369 zahitajika kusaidia Wapalestina. »

Picha ya@UNICEF/Eyad El Baba

Waziri wa Mambo ya Kijamii na Kilimo wa Palestina, Shawqi Issa na Mratibu wa masuala ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, OCHA,…

01/08/2014 / Kusikiliza /
Watu wa Roma (“Gypsies”) wanapaswa kulindwa- wataalam wa UM » Uhuru wa makundi ya kidini ni mtihani katika kuendeleza uhuru wa kuabudu Viet Nam- wataalam » Umoja wa Mataifa waomba kuwafikia raia wanaohitaji misaada Iraq. » Ban ataka uchunguzi wa kudunguliwa ndege ya MH17 usitatizwe »

Taarifa maalumu

MATAYARISHO YA RIO+20