Habari za wiki

Vijana duniani wajadili maendeleo Tanzania »

Kijana akijitafutia maisha kwa kufanya biashara ya kupiga viatu rangi katika Mkoa wa Kagera, Tanzania. Picha:UN Picha / Louise Gubb

Mkutano wa dunia wa vijana kuhusu maendeleo ya kundi hilo unafanyika mjini Dar es salaam nchini Tanzania kuanzia hii…

30/07/2015 / Kusikiliza /

Uchaguzi Burundi haukuwa huru: UM »

Baraza la usalama

Baraza la Usalama limekuwa na mjadala wa faragha kuhusu uchaguzi uliofanyika Burundi tarehe 21 Julai, ambapo kikao hicho kimepokea…

29/07/2015 / Kusikiliza /
IMF yapongeza mafanikio ya Somalia kiuchumi » UN Women yazindua ripoti kuhusu maendeleo ya wanawake duniani 2015-2016 »

Mahojiano na Makala za wiki

Ubakaji Zanzibar: "yule yule aliyenifanya tendo, kafungwa, kisha kaachiliwa" »

Picha: VideoCapture/UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF linakadiria kuwa mtoto wa kike mmoja kati ya ishirini anatendewa ukatili wa kingono…

30/07/2015 / Kusikiliza /

Tanzania na mikakati ya kudhibiti homa ya ini »

Picha:UN Photo/Albert Gonzalez Farran

Madhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ugonjwa wa Homa ya Ini kwa kitaalamu Hepatitis yamefanyika Julai 28 ambapo Shirika la Afya…

29/07/2015 / Kusikiliza /
Uganda yaanza kujifunza Kiswahili kwa kasi » Umuhimu wa ujuzi wa vijana katika kujiendeleza »

Urafiki wa kweli ni kusaidiana :Waganda »

Watoto kutoka El Fasher, Sudan. Picha:UN Photo / Albert Gonzalez Farran

Ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya Urafiki, inayotumiwa na Umoja wa Mataifa kujenga urafiki na kuunganisha jamii kwa ajili ya amani…

30/07/2015 / Kusikiliza /

Mchango wa nyota wa Barcelona kwa watoto »

Picha:UNIFEED CAPTURE

Klabu ya Uhispania ya soka FC Barcelona imo katika ziara ya Amerika Kaskazini, kabla ya msimu mpya wa soka kuanza mnamo mwezi…

27/07/2015 / Kusikiliza /
Umuhimu wa ujuzi wa vijana katika kujiendeleza » Mti Calliandra na manufaa yake »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

UNFPA ikisambaza vifaa vya kujisafi kwa wanawake nchini Yemen. Picha kutoka akaunti ya Twitter ya UNFPA Yemen.

UNFPA yasaidia wanawake wajawazito nchini Yemen »

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu UNFPA limeanzisha mradi wa kusaidia wanawake wajawazito nchini Yemen ilikuwasaidia kujifungua kwa njia salama, na kupambana na ukatili wa kijinsia.…

30/07/2015 / Kusikiliza /

Baraza Kuu lataka kutokomeza ujangili wa wanyamapori »

Ujangili wa tembo wakumba Masharikiki mwa DRC. Picha ya UNIFEED.

Leo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuzisihi nchi wanachama kuchukua hatua thabiti ili kuzuia na kutokomeza biashara haramu…

30/07/2015 / Kusikiliza /

Ban alaani ujenzi wa makazi Jerusalem »

Secretary-General Breifs Journalists

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali matangazo ya kuwa Israel imepitisha ujenzi wa makazi 300 huko ukongo wa…

29/07/2015 / Kusikiliza /

Tanzania miongoni mwa nchi 9 kushuhudia ukuaji mkubwa wa idadi ya watu »

Picha:UN Photo/Jean Pierre Laffont

Katika ripoti kuhusu idadi ya watu duniani iliyotolewa leo, Umoja wa Mataifa unatarajia kuwa nusu ya ukuaji wa watu duniani utatokea kwenye…

29/07/2015 / Kusikiliza /
Urusi yapinga azimio la kuanzisha mahakama kuhusu ndege ye Malaysia MH 17 » Baraza la usalama lajadili tishio la Boko Haram » Miaka mitatu ya kambi ya Zaatari,bado changamoto kubwa:UNHCR »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII JULAI, 24, 2015

KONGAMANO LA UFADHILI KWA MAENDELEO

KuunganaPata Habari za Ebola kwa App...


iPhone | Android

MIAKA 70 TANGU KUZINDULIWA KWA UM

Mawasiliano mbalimbali

 • MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

  MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

  Soma Zaidi

 • Nitakuwa sauti yao: Zainab Bangura

  Nitakuwa sauti yao: Zainab Bangura

  Soma Zaidi

 • WIKI HII Juni 19 2015- Video

  WIKI HII Juni 19 2015- Video

  Soma Zaidi

 • Miaka 70 ya ulinzi wa amani: video

  Miaka 70 ya ulinzi wa amani: video

  Soma Zaidi

 • Wakimbizi wa Burundi wawasili DRC: video

  Wakimbizi wa Burundi wawasili DRC: video

  Soma Zaidi

 • Ulemavu wa ngozi si kikwazo kwangu: Mbunge Mwaura

  Ulemavu wa ngozi si kikwazo kwangu: Mbunge Mwaura

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Somalia iendelee kujenga uwezo wake apendekeza mtalaam wa Umoja wa Mataifa

  Serikali ya Somalia iendelee kujenga uwezo wake apendekeza mtalaam wa Umoja wa Mataifa

  Soma Zaidi

 • #PKDAy: Sasa wanawake wanahitajika zaidi kwenye ulinzi wa amani: Edith

  #PKDAy: Sasa wanawake wanahitajika zaidi kwenye ulinzi wa amani: Edith

  Soma Zaidi

 • Ofisi ya haki za binadamu yatiwa hofu na hali ya Burundi

  Ofisi ya haki za binadamu yatiwa hofu na hali ya Burundi

  Soma Zaidi

 • Darubini zaelekea Tanzania kuangazia uhuru wa vyombo vya habari duniani

  Darubini zaelekea Tanzania kuangazia uhuru wa vyombo vya habari duniani

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Valerie Amos nchini Nepal: Video

  Ziara ya Valerie Amos nchini Nepal: Video

  Soma Zaidi

 • Kwenda sanjari na muda ni muhimu wasema UM ukiomba dola milioni 415 kwa ajili ya Nepal

  Kwenda sanjari na muda ni muhimu wasema UM ukiomba dola milioni 415 kwa ajili ya Nepal

  Soma Zaidi

 • Tunapambana kutokomeza unyanyasaji dhidi ya wanawake na watoto: Nelly

  Tunapambana kutokomeza unyanyasaji dhidi ya wanawake na watoto: Nelly

  Soma Zaidi

 • Zahma Mediteranea, EU ilenge hatua za kudumu badala udharura: Zeid

  Zahma Mediteranea, EU ilenge hatua za kudumu badala udharura: Zeid

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Uvuvi wa samaki nchini Korea. Picha ya UN/M Guthrie

FAO yaona matumaini kuhusu vita dhidi ya uvuvi haramu »

Idadi ya nchi zinazokubali kupambana na uvuvi haramu inaongezeka, limesema Shirika la Chakula na Kilimo FAO likitumai kwamba nchi nyingi barani Afrika zitakubali kuridhia mkataba wa kimataifa unaowezesha bandari kuzuia…

30/07/2015 / Kusikiliza /

UNESCO na Iraq zazindua mradi wa kutunza eneo la Urithi wa Dunia la Samara »

unesco-logo

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, na serikali ya Iraq, leo zimetia saini makubaliano ya kutunza na kudhibiti eneo la Urithi…

29/07/2015 / Kusikiliza /

Muda umefika kuondoa vizuizi dhidi ya Iran na Cuba »

Idriss

Mtalaam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu na vizuizi Idriss Jazairy, amesema muda umefika kuondoa vizuizi dhidi ya Cuba…

29/07/2015 / Kusikiliza /
Ukuaji wa uchumi wapungua barani Amerika Kusini 2015: ripoti ya UM » Watalaam wa Umoja wa Mataifa waonya Jamhuri ya Dominika kuhusu kufukuza watu » SYRIA: Mkuu wa OCHA ashtushwa na hali ya kibinadamu » UNRWA yajadili ukata unaolikumba shirika »

Taarifa maalumu