Habari za wiki

Udongo wenye rotuba ni msingi wa uzalishaji wa chakula:FAO »

Bwana Faridu ambaye ni mmoja wakulima wanaotumia teknolojia ya FAO ya kuboresha udongo, Karagwe, Tanzania. Picha:FAO/Fidelis Kaihura

Wiki ya kimataifa ya udongo imeanza kwa msisitizo wa udongo kwa ajili ya maendeleo.Kwa mujibu wa mkurugunzi wa shirika…

20/04/2015 / Kusikiliza /

Aina mpya za uhalifu zahalalisha mateso, mtalaam wa UM aonya »

Ibrahim Salama, Mkuu wa Idara ya Mikataba ya Haki za Binadamu katika Ofisi ya Haki za Binadamu. Picha:UN Photo/Jean-Marc Ferré

Mjini Geneva, Uswisi, Mkuu wa Idara ya Mikataba ya Haki za Binadamu katika Ofisi ya Haki za Binadamu, Ibrahim…

20/04/2015 / Kusikiliza /
Mfumo wa usaidizi wa kibinadamu lazima ubadilike: Ban » Šimonović alaani shambulio mjini Jalalabad »

Mahojiano na Makala za wiki

Ukosefu wa mbegu waleta hofu Uganda, serikali yachukua hatua »

Mkulima aliyefanikiwa kupata mbegu ya maharagwe kati ya vuta ni vute katika manisipaa ya Hoima. Picha: Kibego.

Uhaba wa mbegu za mazao nchini Uganda unazua hofu ya usalama endelevu wa chakula jambo ambalo linaloisukuma serikali ya nchi ya Afrika…

20/04/2015 / Kusikiliza /

Usalama wa chakula sokoni Afrika ya Mashariki »

Picha ya UM

Kila mtu anahitaji chakula ili aweze kuishi. Hata hivyo mtu anaweza kuugua iwapo atakula chakula kilichoambukizwa  vijidudu, bakteria, kemikali au virusi. Kila…

17/04/2015 / Kusikiliza /
Michezo kwa amani, maendeleo na furaha. » Nuru yaangazia harakati za ukatili wa Kingono, DRC kuna mafanikio »

Michezo kwa amani, maendeleo na furaha. »

Picha:UN Photo/Shareef Sarhan

Michezo ikitumiwa vyema yaweza kuleta hamasa ya maendeleo na amani katika jamii licha ya faida nyinginezo ikiwamo mshikamano na afya kwa wale…

17/04/2015 / Kusikiliza /

Takwimu pekee hazitoshi, tunataka tujumuishwe: Mwanaharakati kijana »

Wakati wa mahojiano(Picha ya Idhaa ya kiswahili)

Mkutano wa 48  kuhusu idadi ya watu na maendeleo ulioandaliwa  na tume ya idadi na maendeleo CPD umekamilika leo hapa New York…

17/04/2015 / Kusikiliza /
Nuru yaangazia harakati za ukatili wa Kingono, DRC kuna mafanikio » Serikali mtuelewe Daadab isifungwe: UNHCR »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon(Picha ya UM)

Ban alaani vikali mauaji ya waethiopia nchini Libya: »

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali mauaji ya kikatili dhidi ya raia kadhaa wa Ethiopia yanayofanywa na watu wanaohusiana na kundi la Daesh nchini Libya. Ameshutumu…

20/04/2015 / Kusikiliza /

Mwakilishi wa UM Somalia alaani mashambulizi ya Garowe »

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM, Nicholas Kay

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Kay, amelaani vikali mashambulizi dhidi ya gari la Umoja wa…

20/04/2015 / Kusikiliza /

Hali mbaya ya kibinadamu kwenye kambi ya Yarmouk yalitia hofu baraza la usalama »

Baraza la usalama. (Picha-Maktaba)

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa wameelezea hofu yao kuhusu hali ya kibinadamu kwenye kambi ya wakimbizi ya Yarmouk…

20/04/2015 / Kusikiliza /
Mfuko wa kukwamua watoto dhidi ya utapiamlo waanzishwa: » Vurugu mashariki mwa DRC yahusiana na uhalifu wa kimataifa » UNRWA yahitaji dola milioni 30 kusaidia wakimbizi kambini Yarmouk »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII 17 APRIL 2015: Ukatili wa kingono, uhalifu, Daniel Craig

MKUTANO WA CSW59

MIAKA 70 TANGU KUZINDULIWA KWA UM

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Wiki Hii-Machi 20- Video

  Wiki Hii-Machi 20- Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 13-Video

  Wiki Hii Machi 13-Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 6-Video

  Wiki Hii Machi 6-Video

  Soma Zaidi

 • UM wataka muziki uwape watu furaha

  UM wataka muziki uwape watu furaha

  Soma Zaidi

 • Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Soma Zaidi

 • Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Soma Zaidi

 • Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Soma Zaidi

 • Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Soma Zaidi

 • Siku ya Redio duniani – Video

  Siku ya Redio duniani – Video

  Soma Zaidi

 • WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  Soma Zaidi

 • Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Soma Zaidi

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Picha@IMO/AMSA

Mkutano kuhusu usalama wa boti zinazosafirisha watu kufanyika Ufilipino:IMO »

Shirika la kimataifa la masauala ya majini IMO, limesema litafanya mkutano kuhusu uboreshaji wa usalama wa meli na boti zinazosafirisha abiria katika safari za ndani . Mkutano huo utafanyika mjini…

20/04/2015 / Kusikiliza /

Ban asononeshwa na shambulio nchini Somalia »

Wafanyakazi kama hawa wanaofanya kazi katika mazingira hatari(Picha ya UM/UNICEF/Marco Dormino)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki- moon ameelezea kusikitishwa kwake na shambulio la leo dhidi ya gari la Umoja wa…

20/04/2015 / Kusikiliza /

Muungano wa Ulaya uchukue hatua dhidi ya vifo vya wahamiaji baharini:Zeid »

Picha: IOM

Kamishina mkuu wa haki za binadamu Zeid Ra’ad Al Hussein ataka Muungano wa Ulaya wakubali kwamba wanahitaji wafanyakazi wahamiaji.  Tamko hilo limekuja…

20/04/2015 / Kusikiliza /
Vifo vya wahamiaji vyaongezeka Mediterranean:IOM » Kambi ya wakimbizi wa ndani ya Mpoko CAR kufungwa Mei:OCHA » Ukarabati wa vurugu za wahalifu wenye msimamo mkali ni muhimu saana nchini Nigeria:Dr.Agomoh » Mafanikio thabiti dhidi ya Ebola kuwezekana iwapo utatokomezwa: WHO »

Taarifa maalumu