Habari za wiki

Walimu kushindwa kuhamisha ujuzi ni kikwazo cha elimu Tanzania- Utafiti »

teacher

Utafiti uliofadhiliwa na Benki ya Dunia nchini Tanzania umebaini kuwa licha ya kiwango kidogo cha utoro miongoni mwa walimu…

31/05/2016 / Kusikiliza /

UNHCR yatiwa hofu na idadi kubwa ya vifo Mediteranea 2016 »

Wahamiaji wakiokolewa baharini. (Picha: Kate Thomas/IRIN)

Mlolongo wa meli kuzama wiki iliyopita kwenye bahari ya Mediteranea , umekatili maisha ya watu 880 limesema Shirika la…

31/05/2016 / Kusikiliza /
Walinda amani wazungumzia wanayokumbana nayo kila uchao #Peacekeepingday » Baraza la usalama lalaani shambulio dhidi ya walinda amani Mali »

Mahojiano na Makala za wiki

Uganda yajitutumua kukabiliana na matumizi ya tumbaku »

Photo: World Bank

Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku Mei 31, nchini Uganda hatua kadhaa za kudhibiti matumizi hayo ikiwamo kupitia mtindo…

31/05/2016 / Kusikiliza /

#Tanzania: Mwalimu kushindwa kujibu swali alilouliza mwanafunzi kwatia mashaka- Utafiti »

Mwanafunzi akiwa darasani nchini Tanzania. (Picha:UNICTZ)

Nchini Tanzania hivi karibuni, Benki ya Dunia ilifadhili utafiti juu ya viashiria vya utoaji huduma hususan afya na elimu nchini humo wakati…

31/05/2016 / Kusikiliza /
Hali ya wahamiaji haramu waliorejeshwa Burundi kutoka Rwanda » Tumbuizo katika mkutano wa utu wa kibinadamu #WHS »

Kampuni za sigara haziogopi kusema uongo- Dkt. Ouma »

OMS2 (1)

Je umewahi kujiuliza kwa nini paketi za sigara na bidhaa za tumbaku au matangazo ya bidhaa hizo yana picha na rangi za…

31/05/2016 / Kusikiliza /

Walinda amani wanawake wajiepushe na biashara kazini- Private Bimkubwa »

Private Bimkubwa Mohammed, mlinda amani kutoka Tanzania anayehudumu, Beni, Jimbo la Kivu Kaskazini nchini DRC. (Picha:MONUSCO/Alain Coulibaly)

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, vita vya wenyewe kwa wenyewe Mashariki mwa nchi hiyo vimesababisha kupelekwa kwa walinda amani wa Umoja…

25/05/2016 / Kusikiliza /
#WHS: Wanawake wapewe kipaumbele katika kushughukilia masuala ya kibinadamu » Mahitaji ya wakimbizi na wahamiaji ni kipaumbele chetu: Mwenengabo. »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Usaidizi kwa wahitaji huko Fallujah, Iraq. (Picha:UNHCR/Qusai Alazroni)

Wengi zaidi wakimbia machafuko Fallujah: UNHCR »

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema idadi ya watu wanaokimbia machafuko inaongezeka huko Fallujah Iraq, ambapo zaidi ya watu 3000 ikiwa ni kaya zaidi ya 600…

31/05/2016 / Kusikiliza /

Vikwazo dhidi ya Sudan Kusini vyaendelezwa »

Baraza la Usalama (Picha ya Maktaba)

Baraza la Usalama limekutana leo kujadili hali ya usalama Sudan Kusini na limeamua kuendeleza vikwazo dhidi ya baadhi ya watu binafsi nchini…

31/05/2016 / Kusikiliza /

Uwekezaji wa China barani Afrika kubadilika ili kuleta maendeleo endelevu »

Picha:ICT

Uwekezaji wa kampuni za kichina kwenye uchumi wa Afrika huenda ukaleta ajira na ukuaji wa uchumi endelevu zaidi, iwapo utalenga sekta zenye…

31/05/2016 / Kusikiliza /

Visa vya ugonjwa wa kuhara vyaongezeka Somalia :OCHA »

Mama na mwanae wakitoka kliniki kwa ajili ya matibabu. Picha:UN Photo/Stuart Price

Idadi ya visa vya ugonjwa wa kuhara imeongezeka sana mwaka huu ikilinganishwa na mwaka uliopita, imesema Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya…

31/05/2016 / Kusikiliza /
Vituo vya wakimbizi Ugiriki havifai kwa hifadhi ya watu- UNHCR » Ban aunga mkono Mkapa kukutana na vikundi ambavyo havikufika Arusha » Tupambane na ufisadi ili kukwamua nchi za kipato duni, LDCs »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Maoni ya mfanyakazi wa MONUSCO kuhusu Siku ya Walinda Amani Duniani- Mei 29

KuunganaPata Habari za Ebola kwa App...


iPhone | Android

Mawasiliano mbalimbali

 • Getrude Clement ahutubia Umoja wa Mataifa #MkatabawaParis

  Getrude Clement ahutubia Umoja wa Mataifa #MkatabawaParis

  Soma Zaidi

 • Mkutano wa dunia wa maswala ya binadamu

  Mkutano wa dunia wa maswala ya binadamu

  Soma Zaidi

 • Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Soma Zaidi

 • Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Soma Zaidi

 • Majukumu ya malezi yanabebwa na watoto

  Majukumu ya malezi yanabebwa na watoto

  Soma Zaidi

 • Ban Ki-moon ziarani Burundi

  Ban Ki-moon ziarani Burundi

  Soma Zaidi

 • Buriani Boutros Ghali – VIDEO

  Buriani Boutros Ghali – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Baraza la Usalama Burundi – VIDEO

  Ziara ya Baraza la Usalama Burundi – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Kumbukizi ya Haiti – VIDEO

  Kumbukizi ya Haiti – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Matumizi ya dawa za kulevya na athari zake nchini Uganda

  Matumizi ya dawa za kulevya na athari zake nchini Uganda

  Soma Zaidi

 • Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua

  Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua

  Soma Zaidi

 • Ban akiwa Paris kwa ajili ya #COP21 – VIDEO

  Ban akiwa Paris kwa ajili ya #COP21 – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Papa Francis kwenye makao makuu ya UM, Gigiri nchini Kenya

  Ziara ya Papa Francis kwenye makao makuu ya UM, Gigiri nchini Kenya

  Soma Zaidi

 • Fahamu kuhusu mkutano wa tabianchi COP21

  Fahamu kuhusu mkutano wa tabianchi COP21

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Picha:UN Photo/Milton Grant

Tukiwatelekeza wakulima wadogo wadogo tunatelekeza mustakhbali wetu:IFAD »

Kukiwa na takribani watu milioni 795 wanaokabiliwa na njaa duniani na wengine milioni 60 wanaohitaji msaada wa chakula kutokana na ukame na mavuno hafifu yaliyopsababishwa na El Niño, mawaziri wa…

31/05/2016 / Kusikiliza /

OHCHR: yakasirishwa na Iran kucharaza viboko baada ya sherehe za mahafali »

Picha: OHCHR

Nchini Iran uamuzi wa kuwacharaza bakora wanafunzi 35 baada ya kufanya sherehe za maafali umelaaniwa vikali na ofisi ya haki za binadamu…

31/05/2016 / Kusikiliza /

Hukumu dhidi ya Habré ni fundisho kwa wengine walio madarakani- Ban »

hissene-habre-tchad

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametambua hukumu ya kifungo cha maisha iliyotolewa na mahakama maalum nchini Senegal dhidi ya…

31/05/2016 / Kusikiliza /
Mbwa wawasili Sudan Kusini kusaidia ulinzi: UNMAS » Zaidi ya wahamiaji 200,000 wawasili Ulaya mwaka 2016 » O'Brien atoa wito usaidizi uongezwe kwa Wasyria wenye uhitaji » Wanaokimbia Fallujah wahitaji msaada- OCHA »

Taarifa maalumu