Habari za wiki

Uzazi wakwamisha usawa wa wanawake makazini: ILO »

Kazi wanayofanya ni moja na muda ni mmoja lakini malipo ni tofauti. (Picha: ILO)

Shirika la kazi duniani, ILO limesema miongo miwili tangu kufanyika kwa mkutano wa nne wa kimataifa wa wanawake huko…

05/03/2015 / Kusikiliza /

Viashiria viende sambamba na malengo endelevu: Tanzania »

Dkt. Albina Chuwa, Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Tanzania. Picha: Assumpta Massoi

Mkutano wa 46 wa kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa unaendelea kwenye makao makuu ya Umoja huo ambapo…

05/03/2015 / Kusikiliza /
Mlo mashuleni ni muhimu kwa mustakhbali wa mtoto: WFP » Watu wazima na watoto wapunguze matumizi ya sukari: WHO »

Mahojiano na Makala za wiki

Uwezeshaji wa wanawake Mwanza, Tanzania »

@FAO/Tanzania

Uwezeshaji wa wanawake ni muhimu katika jamii kwani unatoa fursa kwa maendeleo katika jamii na hatimaye katika nchi. Tanzania ni moja ya…

05/03/2015 / Kusikiliza /

Radio na ukombozi wake kwa wakazi wa Karagwe, Tanzania »

Radio ni popote pale. (Picha:©UNESCO/S. Santimano)

Kila uchao baadhi ya watu hudai kuwa Radio imepitwa na wakati na iko hatarini kutokomea kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia.…

04/03/2015 / Kusikiliza /
Wanyama pori mtaji Uganda, serikali yaomba walindwe » Miaka 13 ya Radio Okapi: mchango mkubwa kwenye mshikamano wa jamii »

Taasisi ya Jane Goodall na uwezeshaji watoto wa kike Tanzania »

Wasichana hawa wa shule wana kila sababu ya kufurahi kwa sababu ya uwezo waliopatiwa kupatiwa stadi mbali mbali za maisha. (Photo: Tovuti ya Jane Godall )

Harakati za kumkomboa mwanamke zinaendelea kila uchao maeneo mbali mbali duniani. Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na nchi wanachama pamoja na mashirika…

03/03/2015 / Kusikiliza /

Wanyama pori mtaji Uganda, serikali yaomba walindwe »

Tembo Picha@UNCEP

Dunia ikiwa imeadhimisha siku ya viumbe vya porini wakiwamo wanyama, nchini Uganda sekta ya wanayama pori huingiza serikali mabilioni ya fedha lakini…

03/03/2015 / Kusikiliza /
Burundi ikielekea uchaguzi mkuu , Umoja wa Mataifa wataka utulivu » Capoeira ya Brazil yaleta ahueni kwa watoto waliotumikishwa DRC »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Picha:WFP

Mlo mashuleni ni muhimu kwa mustakhbali wa mtoto: WFP »

Mlo mashuleni ni muhimu kwa mustakhbali wa mtoto limesema shirika la mpango wa chakula duniani WFP ambalo hugawa chakula mashuleni kwa maelfu ya watoto. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa…

05/03/2015 / Kusikiliza /

Majaribio ya uthabiti wa chanjo dhidi ya Ebola kuanza Guinea »

Ufuatiliaji na upimaji ili kubaini iwapo mtu ana Ebola au la nchini Guinea. (Picha:WHO/A. Pallangyo)

Shirika la afya duniani WHO pamoja na wadau wake, mwishoni mwa wiki hii wanatarajia kuanza majaribio ya ufanisi wa chanjo dhidi ya…

05/03/2015 / Kusikiliza /

Baraza la Usalama laongeza muda wa Ujumbe wa UM Libya »

Baraza la usalama(Picha ya UM/Mark Garten)

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo kwa kauli moja limepitisha azimio la kuongeza muda wa mamlaka ya Ujumbe wa Umoja…

05/03/2015 / Kusikiliza /
Baraza la Usalama lakaribisha makubaliano ya amani Mali » Ripoti ya tathmini ya hatari za majanga 2015 yazinduliwa » Ni wakati wa kuliwekea uzito swala la ujangili »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII: Afya-WHO, Gaza, Haiti

SIKU YA REDIO 2015

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Soma Zaidi

 • Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Soma Zaidi

 • Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Soma Zaidi

 • Siku ya Redio duniani – Video

  Siku ya Redio duniani – Video

  Soma Zaidi

 • WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  Soma Zaidi

 • Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Soma Zaidi

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

 • Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Soma Zaidi

 • Kumbukumbu za vipindi vya Radio na Televisheni ziko hatarini: UNESCO

  Kumbukumbu za vipindi vya Radio na Televisheni ziko hatarini: UNESCO

  Soma Zaidi

 • Fahamu kuhusu mabadiliko ya tabianchi-1

  Fahamu kuhusu mabadiliko ya tabianchi-1

  Soma Zaidi

 • Mafunzo ya enzi hizo yameniwezesha kukokotoa hesabu kwa kichwa: Mwalimu Asumani

  Mafunzo ya enzi hizo yameniwezesha kukokotoa hesabu kwa kichwa: Mwalimu Asumani

  Soma Zaidi

 • Uislamu si ugaidi: Rais Jammeh aweka bayana

  Uislamu si ugaidi: Rais Jammeh aweka bayana

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Picha:WFP

Bei za chakula zimeshuka zaidi mwezi Februari zikiongozwa na sukari:FAO »

Shirika la Chakula na Kilimo(FAO) limesema bei za chakula zimeshuka tena kwa asilimia 1 mwezi wa Februari ikilinganishwa na Januari na zimeporomoka kwa asilimia 14 ikilinganishwa na wakati kama huu…

05/03/2015 / Kusikiliza /

Congo yatoa wito wa ushirikiano ili kukomesha zahma ya Boko Haram »

Wakimbizi wakiwa Diffa, Niger, baada ya kukimbia mashabulio ya Boko Haram nchini Nigeria. (Picha:OCHA/Franck Kuwonu)

Kikao cha ngazi ya juu cha haki za binadamu kimeendelea leo mjini Geneva, kwa wito kwa mataifa ya Afrika Magharibi kuungana ili…

05/03/2015 / Kusikiliza /

MONUSCO yaunga mkono ushirikiano na jeshi la DRC dhidi ya FDLR »

Picha: UN Photo/Sylvain Liechti

Ujumbe wa umoja wa mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC, MONUSCO, inaunga mkono kazi ya pamoja kati yake, majeshi ya…

05/03/2015 / Kusikiliza /
Ban awataka viongozi wa Sudan Kusini kuweka maslahi ya raia wao mbele » Wanaokimbia mizozo wasitumbukie mtego wa wasafirishaji haramu: UNODC » Watoto wanaoingizwa jeshini na pande zote waachiliwe Sudan Kusini: Zerrougui: » Sudan yaanza kuwapatia vitambulisho raia wa Sudan Kusini »

Taarifa maalumu