Habari za wiki

Mashirika 10 yatuzwa kwa juhudi za kupambana na Ukimwi »

Picha@UNAIDS

Mashirika kumi ya kijamii yameshinda tuzo ya Red Ribbon ya mwaka 2014, kutokana na juhudi za kutoa msukumo katika…

21/07/2014 / Kusikiliza /

Watu wa asili hawawezi kupuuzwa katika malengo ya maendeleo endelevu »

Mshiriki wa mkutano wa watu wa asili wa Umoja wa Mataifa.Picha/Devra Berkowitz

Malengo mapya ya maendeleo endelevu yasiwe hatua ya kurudi nyuma kwa watu wa asili, wameonya wataalam wa Umoja wa…

21/07/2014 / Kusikiliza /
Baraza la Usalama lakutana usiku kuhusu machafuko Gaza » Ban ataka machafuko mapya Sudan Kusini yakomeshwe »

Mahojiano na Makala za wiki

Vikundi vya Saccos ni mbinu mojawapo ya kukabiliana na umaskini Tanzania »

MDGS

Nchini Tanzania vikundi vya kuweka na kukopa maarufu saccos vimemea miaka ya hivi karibuni, vikundi hivi ni sehehmu ya mipango ya serikali…

21/07/2014 / Kusikiliza /

Leo Julai 18 ni siku ya Mandela duniani:aenziwa »

Hafla ya upanzi wa mti wa Mandela (Picha/um/Eskinder Debebe/NICA)

Kila mwaka, tarehe 18 Julai imekuwa ikiadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela, tangu siku hiyo ilipoanzishwa na Baraza Kuu la…

18/07/2014 / Kusikiliza /
Urithi wa Mandela unaendelezwa » Kula wadudu kuepukana na njaa »

Kula wadudu kuepukana na njaa »

Kuuza wadudu wanoitwa Mopane, Afrika ya Kati. Picha@ FAO

Lengo la kwanza katika malengo ya maendeleo ya milenia ni kutokomeza umaskini uliokithiri na njaa. Wakati malengo hayo yanafika ukomo mwakani, bado…

17/07/2014 / Kusikiliza /

UNFPA yasaidia kupaza sauti ya mkunga Tanzania »

Elvina-Mkunga Tanzania. Picha@UNFPA

Uimarishaji wa afya ya uzazi ni lengo nambari tano katika malengo ya milenia ambayo yatafikia ukomo mwakani. Ili kutimiza lengo hili ni…

15/07/2014 / Kusikiliza /
Wavuvi waokolewa na maisha ya deni, India » Mtandao wa wanahabari watoto Tanzania wafika Afrika ya Kusini kwa ajili ya afya ya wakina mama »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon alipokuta na Sheikh Sabah Khaled Al-Hamad Al-Sabah.Picha ya UM//Eskinder Debebe

Ban Ki-moon ahimiza Misri kuwezesha utaratibu wa amani Mashariki ya Kati »

Akiendelea na ziara yake Mashariki ya Kati, Katibu Mkuu wa Umoja wa MAtaifa Ban Ki-moon amewasili Misri kwa ajili ya kukutana na viongozi mbalimbali, na kuchagiza juhudi za kufikia makubaliano…

21/07/2014 / Kusikiliza /

Baraza la Usalama lalaani kutunguliwa kwa ndege ya Malaysia »

Baraza la Usalama wakichukuwa dakika ya ukimya kwa walio athirika na ndege MH17. UN Photo/Loey Felipe

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo kwa kauli moja, limepitisha azimio la kulaani vikali tukio la kutunguliwa kwa ndege ya…

21/07/2014 / Kusikiliza /

Baraza la haki za binadamu kujadilia hali ya Gaza »

Human Rights

Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa linatazamia kukutana jumatano wiki hii kwa ajili ya kujadiili hali ya mambo katika…

21/07/2014 / Kusikiliza /
Baraza la Usalama lakutana usiku kuhusu machafuko Gaza » Baraza la Usalama lakutana kuhusu Ukraine kufuatia ajali ya ndege » Tuzo ya Mandela yazinduliwa rasmi, Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Nelson Mandela: Kuendeleza Urithi Wake

MDG #7: MAZINGIRA ENDELEVU

MALIZA HATARI

Kuungana

Mawasiliano mbalimbali

 • Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Soma Zaidi

 • UM wazindua muongo wa nishati endelevu kwa wote; Tanzania yaweka bayana mipango yake

  UM wazindua muongo wa nishati endelevu kwa wote; Tanzania yaweka bayana mipango yake

  Soma Zaidi

 • VIDEO: Kamanda wa kikosi cha UNAMID azungumzia hali ya Darfur.

  VIDEO: Kamanda wa kikosi cha UNAMID azungumzia hali ya Darfur.

  Soma Zaidi

 • Baraza la Usalama laitisha azimio kuhusu Jamhuri ya Afrika ya kati

  Baraza la Usalama laitisha azimio kuhusu Jamhuri ya Afrika ya kati

  Soma Zaidi

 • Kumbukizi ya mauaji yakimbari Rwanda

  Kumbukizi ya mauaji yakimbari Rwanda

  Soma Zaidi

 • Siku ya kujenga hamasa kusaidia watu wenye ulemavu wa akili

  Siku ya kujenga hamasa kusaidia watu wenye ulemavu wa akili

  Soma Zaidi

 • Uzinduzi wa UNDAF Kenya

  Uzinduzi wa UNDAF Kenya

  Soma Zaidi

 • Ban awasili Greenland

  Ban awasili Greenland

  Soma Zaidi

 • Siku ya Ushairi duniani Machi 21

  Siku ya Ushairi duniani Machi 21

  Soma Zaidi

 • CSW58 Kutoka Kenya

  CSW58 Kutoka Kenya

  Soma Zaidi

 • CSW58 yafunga pazia: Shina Inc. yapigia chepuo ubia na elimu kwa jamii kuhusu tamaduni

  CSW58 yafunga pazia: Shina Inc. yapigia chepuo ubia na elimu kwa jamii kuhusu tamaduni

  Soma Zaidi

 • Liberia na siku ya Furaha duniani

  Liberia na siku ya Furaha duniani

  Soma Zaidi

 • Wamasai waleta hoja CSW58

  Wamasai waleta hoja CSW58

  Soma Zaidi

 • Hapa na pale CSW58

  Hapa na pale CSW58

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Watoto wakiingia shule iliyomo ndani ya tenti la UNICEF katika kambi la Shousha mpakani mwa Libya na Tunisia. UNICEF/Heifel Ben Youssef.(UN News Centre)

Ujerumani yapiga jeki UNICEF kuendeleza haki za watoto Libya »

Serikali ya Ujerumani imetoa kiasi cha euro 100,000 kwa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Watoto, UNICEF, ili kuliwezesha shirika hilo kutekeleza miradi yake nchini Libya. Kiasi hicho cha…

21/07/2014 / Kusikiliza /

Utumikishaji watoto katika vita nchini DRC umeendelea kua tatizo sugu- Ripoti »

Leila Zerrougui

Ripoti ya 5 Ya Katibu Mkuu wa Umoja Wa Mataifa kuhusu hali ya watoto walioathirika na mzozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

21/07/2014 / Kusikiliza /

Kila kisa cha utumikishwaji wa watoto vitani ni janga kwa jamii: MONUSCO »

Martin Kobler@UN

Ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ikitolewa leo kuhusu hali ya watoto walioathirika na mzozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

21/07/2014 / Kusikiliza /
Ban ataka machafuko mapya Sudan Kusini yakomeshwe » Ziarani, Ban akutana na viongozi wa Mashariki ya Kati Rais Abbas » Ban alaani utesaji wa makundi ya walio wachache Mosul, Iraq » Msemaji wa WHO afariki kwenye ajali ya ndege ya Malaysia »

Taarifa maalumu

MATAYARISHO YA RIO+20