Habari za wiki

Kituo cha taarifa za UM chafunguliwa Tanzania Zanzibar »

Kituo cha Vijana Zanzibar

Kituo kipya cha vijana kimefunguliwa leo Tanzania Zanzibar kikiwa na lengo la kutoa taarifa kwa vijana kuhusu kazi za…

24/04/2014 / Kusikiliza /

Ukatili wa kingono katika vita ni uhalifu uloenea duniani kote: Bangura »

Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu kuhusu ukatili wa kingono katika maeneo ya vita, Zainab Hawa Bangura

Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu kuhusu ukatili wa kingono katika maeneo ya vita, Zainab Hawa Bangura, amesema kuwa ukatili…

24/04/2014 / Kusikiliza /
Machafuko lazima yakome hima Sudan Kusini » Baraza la Usalama lakutana kuhusu hali nchini Mali »

Mahojiano na Makala za wiki

Vijana wa Tanzania wapata kituo cha kujifunza kuhusu kazi za Umoja wa Mataifa »

Baadhi ya wanafunzi walioshiriki uzinduzi wa kituo cha habari kuhusu Umoja wa Mataifa huko Tanzania Zanzibar. (Picha-YUNA-TZ)

24/04/2014 / Kusikiliza /

Juhudi za Uganda kupambana na malaria zamulikwa »

Mkimbizi hospitalini

Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kimataifa ya malaria April 25 bado tiba na kinga kwa ugonjwa huo ni changamoto kubwa hususani nchi…

24/04/2014 / Kusikiliza /
wiki ya chanjo kimataifa yaadhimishwa, UNICEF yatoa ujumbe. » Tanzania yaboresha usajili wa watoto »

UNAMID inabuni mikakati mipya ya kuwalinda raia: Lt. Jen. Mella »

meela

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana mnamo siku ya Alhamis tarehe 24 kujadili hali katika eneo la Darfur, magharibi mwa…

24/04/2014 / Kusikiliza /

wiki ya chanjo kimataifa yaadhimishwa, UNICEF yatoa ujumbe. »

Siku ya chanjo duniani-WHO

Ikiwa maadhimisho ya wiki ya chanjo duniani yameanza leo, siku hii hutoa fursa kwa Shirika la Afya duniani WHO na shirika la Umoja…

24/04/2014 / Kusikiliza /
Ongezeko la gesi joto ni kutoitendea haki dunia:Muyungi » Mtandao wa wanahabari watoto Tanzania wasaidia watoto kuwa na mtazamo huru »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Sigrid Kaag, Mratibu Maalum wa jopo la pamoja la UM na OPCW kwenye utokomezaji wa mpango wa silaha za kemikali nchini Syria. (Picha: OPCW-UM)

Zaidi ya asilimia 92 ya silaha za kemikali imeondolewa Syria:Kaag »

Jopo la pamoja la Umoja wa Mataifa na shirika la kimataifa la kuppinga matumizi ya silaha za kemikali, OPCW limetoa taarifa leo inayosema kuwa kiwango cha silaha za kemikali ziizoondolewa…

24/04/2014 / Kusikiliza /

Biashara ya ndizi duniani yabadili mwelekeo, fursa zaibuka ushindani wazidi: FAO »

Wakulima wa ndizi wanahitaji taarifa zaidi ili waweze kukabiliana vyema na ushindani ulioibuka baada ya ukiritimba kupungua. (Picha-FAO)

Ushawishi wa kampuni kubwa kwenye biashara ya ndizi duniani umepungua kwa kiasi kikubwa katika miongo mitatu iliyopita na hivyo kufungua milango kwa…

24/04/2014 / Kusikiliza /

Ukatili wa kingono katika vita ni uhalifu uloenea duniani kote: Bangura »

Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu kuhusu ukatili wa kingono katika maeneo ya vita, Zainab Hawa Bangura

Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu kuhusu ukatili wa kingono katika maeneo ya vita, Zainab Hawa Bangura, amesema kuwa ukatili wa kingono katika…

24/04/2014 / Kusikiliza /
Licha ya mashambulizi Somalia bado kuna fursa ya kuimarisha usalama : Balozi Kay » Simu za viganjani zachagiza usomaji na uondoaji ujinga: UNESCO » Mauaji yasononesha UNMISS : Lanzer »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Wiki ya chanjo duniani

Mkutano wa miji Duniani-Colombia

Siku ya wanawake 2014

Malengo ya Maendeleo ya Milenia

Kuungana

Mawasiliano mbalimbali

Hapa na pale

Uchaguzi

Ban apongeza wananchi wa Algeria na serikali kwa mchakato tulivu wa uchaguzi »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amewapongeza wananchi pamoja na serikali ya Algeria kwa vile ambavyo uchaguzi wa Rais ulifanyika kwa amani. Bwana Ban amesema hayo katika taarifa…

24/04/2014 / Kusikiliza /

UNMISS yalaaani shambulio la msafara wa chakula jimboni Upper Nile »

Bentiu WFP

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudani Kusini UNMISS umelaani vikali shambulizi ililoliita lisilochochewa na chochote dhidi ya msafara wa chakula katika…

24/04/2014 / Kusikiliza /

Ban asikitishwa na machafuko mashariki mwa Ukraine »

Ramana ya Ukraine

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, ameelezea kusikitishwa na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Ukraine, na ambayo yamesebabisha watu kupoteza uhai,…

24/04/2014 / Kusikiliza /
UNAMA yakaribisha uwazi katika uchaguzi Afghanistan » Licha ya mashambulizi Somalia bado kuna fursa ya kuimarisha usalama : Balozi Kay » UNMISS yakanusha madai ya kuhusika na kilichotokea Bentiu, Sudan Kusini » Mbunge mwingine auawa Somalia, UM walaani vikali »

Taarifa maalumu

MATAYARISHO YA RIO+20