Habari za wiki

Muongo mmoja baada ya tsunami Asia itayari kukabiliana na majanga »

Picha: FAO

Shirika la Chakula na Kilimo, FAO limesema miaka kumi baada ya janga baya la asili  kuwahi kutokea  Kusini na…

22/12/2014 / Kusikiliza /

Ujumbe wa umoja wa Mataifa Burundi wafunga wakati wa maandalizi ya uchaguzi »

BNUB

Nchini Burundi, ujumbe wa kisiasa wa Umoja wa Mataifa (BNUB) unatakiwa kufunga ofizi zake rasmi mwisho wa mwezi huu,…

22/12/2014 / Kusikiliza /
Ebola ni hatari kwa wananchi wote wa Guinea: Ban » Mshikamano na wajibu wa pamoja ni msingi wa SDG:Ban »

Mahojiano na Makala za wiki

Ukatili wa kijinsia katika kambi za wakimbizi haukubaliki »

Mlemavu aliyejipatia umahiri kwa kuburudisha watu.(Picha ya UM/Idhaa ya kiswahili/J.Kibego)

Siku 16 za harakati za kupinga ukatili wa kijinsia zikikamilika, Uganda imejikita katika kutokomeza ukatili huo kwenye kambi ya wakimbizi ya Kyangwali.…

22/12/2014 / Kusikiliza /

UNICEF, Oliver Mtukudzi wapambana na unyanyapaa dhidi ya waathirika wa HIV Tanzania »

Mwanamuziki mashuhuri Oliver Mtukudzi na watoto nchini Tanzania.(PichaUM/ UNICEF/videocapture)

Unyanyapaa dhidi ya waaathirika wa ugonjwa wa ukimwi unatajwa kuwa tatizo kubwa katika jamii hususani barani Afrika. Katika kukabiliana nalo, shirika la…

19/12/2014 / Kusikiliza /
Masahibu yanayowakumba wahamiaji » Uvuvi watumika kupigana na umasikini »

Masahibu yanayowakumba wahamiaji »

Picha: IOM

Tarehe 18 Disemba kila mwaka dunia ni siku ya wahamiaji duniani. Hii ni siku mahususi kwa ajili ya kuangazia ustawi wa kundi…

19/12/2014 / Kusikiliza /

Harakati za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania »

Eneo la kikokwe, mjini Pangani, Tanzania(Picha ya UM/Idhaa ya kiswahili/R.Katuma)

Kuanzia Disemba mosi hadi disemba 12 kumefanyika mkutano wa 20 wa nchi wanachama kuhusu masuala ya mazingira, COP20 huko Lima, Peru. Mkutano…

12/12/2014 / Kusikiliza /
Utumwa mamboleo bado ni kikwazo » Tanzania na harakati za kujikwamua kutoa elimu kwa wote »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Ivan Šimonovic.(Picha ya UM/video capture)

Baraza la Usalama la jadili kuzorota kwa haki za Binadamu Korea Kaskazini »

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo alasiri limejadili kuhusu hali ya haki za Binadamu katika Jamhuri ya Kiemokrasia ya Korea Kaskazini, DPRKAkihutubia Baraza hilo Msaidizi wa Katibu Mkuu…

22/12/2014 / Kusikiliza /

Pakistan na Jordan waombwa kusitisha adhabu ya Kifo »

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu, Zeid Ra'ad Al Hussein@UN Photos Paulo Filgueiras

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra’ad Al Hussein  ameelezea majuto yake kuhusu kuanza kwa adhabu ya kifo…

22/12/2014 / Kusikiliza /

Baraza la usalama lajadili ugaidi na uhalifu unavyotishia amani duniani »

Baraza la usalama(Picha ya UM/Mark Garten)

Baraza la usalama leo limekuwa na kikao cha mjadala wa wazi kuhusu vitisho dhidi ya  amani na usalama wa kimataifa ikiwamo ugaidi…

19/12/2014 / Kusikiliza /
UNMISS imelaani mashambulizi yanayowalenga raia, Bentiu » Ghala la vifaa tiba dhidi ya Ebola lateketea kwa moto, UNMEER yazungumza » Azimio dhidi ya DPRK lapendekeza suala kuwasilishwa ICC »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Ziara ya Ban Liberia, Sierra Leone, Guinea na Mali

MKUTANO WA BARAZA KUU WA 69

MKUTANO WA TABIANCHI 2014

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Soma Zaidi

 • Kumbukumbu za vipindi vya Radio na Televisheni ziko hatarini: UNESCO

  Kumbukumbu za vipindi vya Radio na Televisheni ziko hatarini: UNESCO

  Soma Zaidi

 • Fahamu kuhusu mabadiliko ya tabianchi-1

  Fahamu kuhusu mabadiliko ya tabianchi-1

  Soma Zaidi

 • Mafunzo ya enzi hizo yameniwezesha kukokotoa hesabu kwa kichwa: Mwalimu Asumani

  Mafunzo ya enzi hizo yameniwezesha kukokotoa hesabu kwa kichwa: Mwalimu Asumani

  Soma Zaidi

 • Uislamu si ugaidi: Rais Jammeh aweka bayana

  Uislamu si ugaidi: Rais Jammeh aweka bayana

  Soma Zaidi

 • Ebola ni kiashiria cha moja ya changamoto zinazoendelea kukumba Afrika:Zuma

  Ebola ni kiashiria cha moja ya changamoto zinazoendelea kukumba Afrika:Zuma

  Soma Zaidi

 • Kenya kuunga mkono mkataba usioathiri maendeleo thabiti:Uhuru

  Kenya kuunga mkono mkataba usioathiri maendeleo thabiti:Uhuru

  Soma Zaidi

 • Ukanda wa maziwa makuu wakubaliana kuhusu mustakhbali wa FDLR

  Ukanda wa maziwa makuu wakubaliana kuhusu mustakhbali wa FDLR

  Soma Zaidi

 • Siku ya kimataifa ya demokrasia: Vijana wapewe kipaumbele

  Siku ya kimataifa ya demokrasia: Vijana wapewe kipaumbele

  Soma Zaidi

 • Ebola ni dharura ya afya ya umma:WHO

  Ebola ni dharura ya afya ya umma:WHO

  Soma Zaidi

 • Shujaa wa usaidizi wa kibinadamu: Jack Kahorha

  Shujaa wa usaidizi wa kibinadamu: Jack Kahorha

  Soma Zaidi

 • Liberia na siku ya Furaha duniani

  Liberia na siku ya Furaha duniani

  Soma Zaidi

 • Ban na Amos na usaidizi wa binadamu

  Ban na Amos na usaidizi wa binadamu

  Soma Zaidi

 • Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Msaada wa chakula utasaidia wakati wa quarantini katika nchi zinazokabiliana na ebola.(Picha ya WFP)

WFP na washirika wazindua changizo la chakula kwa nchi zilizoathiriwa na Ebola »

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula , WFP na washirika leo wamezindua uchangishaji wa fedha kwa ajili ya usaidizi wa chakula kwa familia ambazo zimeathiriwa na mlipuko…

22/12/2014 / Kusikiliza /

IOM yapongeza juhudi za kuridhia mkataba wa usafiri wa kwenye maji »

Picha:IMO

Katika Mkuu wa Shirika la Kimataifa la uhamiaji IOM Koji Sekimizu amekaribisha nafasi iliyochukuliwa na Shirika la Meli la kimataifa ambalo limechukua hatua…

22/12/2014 / Kusikiliza /

Ujerumani yatambua umuhimu wa mfumo wa tahadhari ya Tsunami »

Picha@UNESCO

Ushirikiano baina ya Umoja wa Mataifa na Serikali ya Ujerumani umepata msukumo mpya baada ya Ujerumani kupitia Wizara yake ya Uchumi na…

22/12/2014 / Kusikiliza /
Ebola ni hatari kwa wananchi wote wa Guinea: Ban » Njugumawe ni lishe tosha:FAO » Vitendo vya ugaidi dhidi ya raia vyamchukiza Ban » UNOWA yalaani mashambulio mapya Nigeria »

Taarifa maalumu