Habari za wiki

UNHCR yatiwa hofu na ghasia za chuki dhidi ya wageni Afrika Kusini »

Kambi ya wahamiaji walioathirika na mashambulizi, Afrika Kusini. Picha ya IOM.

Mashambulizi yatokanayo na chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini yamekatili maisha ya watu 6 na kusambaratisha raia 5000…

17/04/2015 / Kusikiliza /

UM na washirika wake waomba dola milioni 274 kusaidia mahitaji ya kibinadamu Yemen »

Wakimbizi wa ndani kaskazini mwa Yemen. Picha ya OCHA.

Umoja wa Mataifa na washirika wake wa maswala ya kibinadamu nchini Yemen leo Ijumaa wametoa ombi kwa jumuiya ya…

17/04/2015 / Kusikiliza /
MONUSCO yalaani vikali mashambulizi yaliyouwa raia , Beni DR Congo » Ahadi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zitekelezwe: Ban »

Mahojiano na Makala za wiki

Usalama wa chakula sokoni Afrika ya Mashariki »

Picha ya UM

Kila mtu anahitaji chakula ili aweze kuishi. Hata hivyo mtu anaweza kuugua iwapo atakula chakula kilichoambukizwa  vijidudu, bakteria, kemikali au virusi. Kila…

17/04/2015 / Kusikiliza /

Michezo kwa amani, maendeleo na furaha. »

Picha:UN Photo/Shareef Sarhan

Michezo ikitumiwa vyema yaweza kuleta hamasa ya maendeleo na amani katika jamii licha ya faida nyinginezo ikiwamo mshikamano na afya kwa wale…

17/04/2015 / Kusikiliza /
Nuru yaangazia harakati za ukatili wa Kingono, DRC kuna mafanikio » Sintofahamu kwa wakulima Kenya juu ya kilimo cha chakula au Jatropha »

Takwimu pekee hazitoshi, tunataka tujumuishwe: Mwanaharakati kijana »

Wakati wa mahojiano(Picha ya Idhaa ya kiswahili)

Mkutano wa 48  kuhusu idadi ya watu na maendeleo ulioandaliwa  na tume ya idadi na maendeleo CPD umekamilika leo hapa New York…

17/04/2015 / Kusikiliza /

Nuru yaangazia harakati za ukatili wa Kingono, DRC kuna mafanikio »

Hamsatu Allamin(Picha ya UM/Devra Berkowitz)

Ukatili wa kingono umekuwa tishio la maendeleo na ustawi wa wanawake na watoto hususan kwenye maeneo ya vita. Vikosi vya usalama na…

16/04/2015 / Kusikiliza /
Serikali mtuelewe Daadab isifungwe: UNHCR » Mataifa yawekeze katika sekta nyingine licha ya ugunduzi wa mafuta na gesi:UNCTAD »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Mtoto akipata mlo. (Picha: UN/Marco Dormino)

Mfuko wa kukwamua watoto dhidi ya utapiamlo waanzishwa: »

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto limezindua mfuko mpya wa kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mamilioni ya watoto kwenye nchi maskini zaidi duniani kuondokana na utapiamlo na…

17/04/2015 / Kusikiliza /

Vurugu mashariki mwa DRC yahusiana na uhalifu wa kimataifa »

Unjangili wa tembo wakumba Masharikiki mwa DRC. Picha ya UNIFEED.

Biashara haramu na uhalifu vinaendelea kukuza vurugu mashariki mwa Jamhuru ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kwa mujibu wa ripoti mpya ya Shirika…

17/04/2015 / Kusikiliza /

UNRWA yahitaji dola milioni 30 kusaidia wakimbizi kambini Yarmouk »

Katika kambi ya wakimbizi wa Palestina ya Yarmouk, nchini Syria. Picha ya UNRWA.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA linatafuta fedha za dharura kiasi cha dola za kimarekani milioni 30…

17/04/2015 / Kusikiliza /
Heko Tume ya ujenzi wa amani kwa usaidizi wakati wa Ebola: Kutesa » Mshauri wa UM kuhusu Yemen Jamal Benomar anajiuzulu: » Ban akutana na kufanya mazungumzo na waziri wa ulinzi wa Marekani »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII 17 APRIL 2015: Ukatili wa kingono, uhalifu, Daniel Craig

MKUTANO WA CSW59

MIAKA 70 TANGU KUZINDULIWA KWA UM

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Wiki Hii-Machi 20- Video

  Wiki Hii-Machi 20- Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 13-Video

  Wiki Hii Machi 13-Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 6-Video

  Wiki Hii Machi 6-Video

  Soma Zaidi

 • UM wataka muziki uwape watu furaha

  UM wataka muziki uwape watu furaha

  Soma Zaidi

 • Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Soma Zaidi

 • Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Soma Zaidi

 • Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Soma Zaidi

 • Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Soma Zaidi

 • Siku ya Redio duniani – Video

  Siku ya Redio duniani – Video

  Soma Zaidi

 • WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  Soma Zaidi

 • Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Soma Zaidi

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Picha:UNHCR/A. Rodriguez

Vifo vya wahamiaji vyaongezeka Mediterranean:IOM »

Wakati idadi ya wahamiaji wanaookolewa na kuwasili Kusini mwa Italia inaongezeka timu ya shirika la kimataifa la uhamiaji IOM inaendelea kukusanya ushahidi wa takribani watu 400 wanaodaiwa kufa maji mapema…

17/04/2015 / Kusikiliza /

Kambi ya wakimbizi wa ndani ya Mpoko CAR kufungwa Mei:OCHA »

Wananchi waliokimbia makazi yao CAR kutokana na mapigano wakisaka hifadhi eneo la Batangafo karibu na mji mkuu Bangui. (Picha:OCHA/Gemma Cortes)

Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR imetangaza kuwa eneo kubwa la Mpoko lililopo kwenye uwanja wa ndege ambalo linahifadhi wakimbizi…

17/04/2015 / Kusikiliza /

Ukarabati wa vurugu za wahalifu wenye msimamo mkali ni muhimu saana nchini Nigeria:Dr.Agomoh »

Wahalifu wapatiwe haki ya kusikilizwa. (Picha:Unifeed)

Ukarabati wa vurugu zinazofanywa na watu wenye msimamo mkali nchini Nigeria ni muhimu saana kwa hivi sasa wakati taifa hilo likikabiliwa na…

17/04/2015 / Kusikiliza /
Mafanikio thabiti dhidi ya Ebola kuwezekana iwapo utatokomezwa: WHO » Upangaji wa matokeo michezoni ni uhalifu, uchunguzi kufanyika : UNODC » IAEA na Iran wamejadili muendelezo wa utekelezaji wa mpango wa ushirikiano » Milioni 21 waacha shule Mashariki ya kati na Afrika : UNICEF »

Taarifa maalumu