Habari za wiki

Mwakilishi wa UM Somalia asihi utulivu Sool »

Nicholas Kay

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu kuhusu Somalia, Nicholas Kay, ameelezea kusikitishwa na hali tete inayoendelea kutanda kati ya vikosi…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Hatari za majanga zinahusiana na mabadiliko ya tabianchi: Ban »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema kuwa mkakati wa kupunguza hatari za majanga unapaswa kutokana na…

16/04/2014 / Kusikiliza /
UNAIDS yamteua David Luiz kuwa balozi mwema » Ubia shirikishi ndio siri ya uwajibikaji na maendeleo: Ban »

Mahojiano na Makala za wiki

Umoja wa Mataifa na washirika wapambana na ukatili dhidi ya wanawake Kosovo »

Ukatili majumbani

Ukatili dhidi ya wanawake ni jinamizi ambalo linaiandama dunia mpaka wakati huu wa karne ya 21. Hata hivyo nchi tofauti zinasikia kilio…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Homa ya kidinga popo yasambaa Tanzania, mmoja athibitika kufariki »

Mbu anayeambukiza kidinga popo

  Nchini Tanzania watu 147 wamethibitika kuwambukizwa ugonjwa wa homa ya kidinga popo yaani homa ya dengu huku mtu mmoja akiripotiwa kufariki…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Elimu ya msingi yaboreshwa Uganda » Kumbukizi ya miaka 20 ya mauaji ya Kimbari nchini Rwanda »

UNMISS yaboresha vipato vya wananchi Sudani Kusini »

unmiss magari

Wakati machafuko nchini Sudani Kusini yakiripotiwa kundelea ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS umeanzisha mradi wa kusafisha magari ambao angalu…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed azungumzia MINUSCA, MONUSCO na UNAMID »

Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed Mnadhimu Mkuu, DPKO na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa wakati wa mahojiano

Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zinaendelea maeneo mbali mbali duniani ikiwemo barani Afrika. Majukumu ya kila operesheni yanategemea…

11/04/2014 / Kusikiliza /
Fahamu ugonjwa wa homa ya ini, Hepatitis C na E. » Kila dakika mwanamke hubakwa DRC »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Ivan Šimonović akilihutubia baraza

Haki za wote Ukraine zizingatiwe ili kuzuia machafuko zaidi:Šimonović »

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Ivan Šimonović, amesema kuwa hali mashariki mwa Ukraine inatishia kuliutmbukiza taifa zima katika machafuko, huku akiwataka wote wenye…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Ban alaani utekaji nyara wa wasichana wa shule Nigeria »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani utekaji nyara wa wasichana wa shule kule Chibok kwenye jimbo la Borno kaskazini…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Ubia shirikishi ndio siri ya uwajibikaji na maendeleo: Ban »

Katibu Mkuu Ban Ki-Moon kwenye mkutano huo wa ngazi ya juu mjini Mexico City.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema ubia shirikishi ni muhimu kufanikisha ajenda ya Busan ya miaka miwili iliyopita. Ajenda…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Baraza la usalama lalaani kutekwa kwa balozi wa Jordan huko Libya, lataka aachiwe huru » Baraza la Usalama laonyeshwa picha za kusikitisha za mauaji Syria » Bentiu pamoja na machimbo ya mafuta yashikiliwa na waasi: UNMISS »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Baraza la Usalama laidhinisha askari wa UM kwenda CAR

Mkutano wa miji Duniani-Colombia

Siku ya wanawake 2014

Malengo ya Maendeleo ya Milenia

Kuungana

Mawasiliano mbalimbali

Hapa na pale

Rashida Manjoo, Mtalaam Maalum wa Umoja wa Mataifa

Wanawake zaidi ya milioni moja wateswa Uingereza kila mwaka »

Mtalaam Maalum wa Umoja wa Mataifa Rashida Manjoo ametimiza leo ziara yake nchini Uingereza, akisema kwamba ukatili dhidi ya wanawake bado ni changamoto kubwa nchini humo. Ingawa nchi hii ilifanya…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Chanjo ya Polio yahitimishwa Iraq »

Chanjo dhidi ya polio

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, Shirika la afya ulimwenguni WHO pamoja na wizara ya afya ya Iraq zimekamilisha…

16/04/2014 / Kusikiliza /

Vitabu vinaweza kutokomeza umaskini na kujenga amani: UNESCO »

Mtoto akisoma kitabu (picha ya UNESCO)

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, amesema kuwa vitabu vina uwezo mkubwa wa kutokomeza umaskini na…

16/04/2014 / Kusikiliza /
Hatari za majanga zinahusiana na mabadiliko ya tabianchi: Ban » Mtaalam wa haki za Binadamu akaribisha kuachiliwa kwa wakimbizi wa Eritrea nchini Djbouti » Vijana walengwa kushirikishwa kwa njia 10 katika upokonyaji silaha » MONUSCO yathibitisha kifo cha Paul Sadala »

Taarifa maalumu

MATAYARISHO YA RIO+20