Habari za wiki

Kujitolea huleta utoshelevu: UM Tanzania »

Picha: stella vuzo


Sent from Yahoo Mail for iPhone. Picha: UM

Kuelekea siku ya kimataifa ya kujitolea tarehe tano Disemba, shirika la Umoja wa Mataifa la kujitolea UNV nchini Tanzania…

02/12/2016 / Kusikiliza /

Neno la Wiki- Mende »

Picha:Idhaa ya Kiswahili

Katika neno la wiki Disemba 2 tunachambua neno Mende, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu…

02/12/2016 / Kusikiliza /
Ireland yasaidia operesheni za WFP Msumbiji » Kipindupindu Haiti; Umoja wa Mataifa waomba radhi na kuelezea mtazamo mpya »

Mahojiano na Makala za wiki

Siku ya Ukimwi duniani »

Picha: UN Photo/Staton

Tumbuizo za hamasa zilitamalaki katika moja ya matukio makao makuu ya Umoja wa Mataifa, ambapo wadau walikusanyika kujadili mbinu za kukabiliana na…

02/12/2016 / Kusikiliza /

B Flow atumia kipaji chake kupinga ukatili wa kijinsia »

Mwimbaji B Flow. (Picha:UNFPA/Video Capture)

Ukatili wa kijinsia ni moja ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu ambapo dhirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya…

02/12/2016 / Kusikiliza /
Huduma ya kupima VVU yafuata madereva wa lori » Uhifadhi wa misitu Uganda, wananchi walalama »

Ukitaka ujuzi anza kujitolea: Aloo »

Vijana waliojitolea kutekeleza usafi. picha: UN Volunteer

Kujitolea hukuza ujuzi, lakini pia huleta utoshelevu, ni maneno ya mbobezi katika kujitolea ambaye ni Afisa Programu wa shirika la Umoja wa…

02/12/2016 / Kusikiliza /

Ajali ya barabarani hukwamisha uwezo wa manusura wa ajali »

Usalama barabarani.(Picha:Video capture/World Bank)

Ripoti ya hali ya usalama barabarani ya mwaka 2015 ikiangazia mataifa 180 inasema kwamba idadi ya vifo vitokanavyo na ajali za barabarani…

28/11/2016 / Kusikiliza /
Umuhimu wa vyoo na huduma za kujisafi » Muziki waelimisha kupinga ukatili dhidi ya wanawake »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon(kulia) alipozuru Columbia akiwa na Rais Juan Manuel Santos Calderón. Picha: UN Photo/Rick Bajornas/maktaba)

Heko bunge la Colombia kwa kuridhia mkataba wa amani- UM »

Kufuatia bunge la Colombia kuridhia mkataba mpya wa amani kati ya serikali na kikundi cha FARC-EP, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema anatiwa moyo na hatua hiyo,…

02/12/2016 / Kusikiliza /

Afrika Kusini rekebisheni mfumo wa kuhamisha wagonjwa wa akili »

Pendera ya Africa Kusini. Picha: UM

Wataalamu huru wanne wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa serikali ya Afrika Kusini kuanzisha sera na mipango…

02/12/2016 / Kusikiliza /

Kongamano kuhusu mifumo endelevu ya chakula lakunja jamvi Roma »

Picha:Asif Hassan

Kongamano la kimataifa la siku mbili kuhusu mifumo endelevu ya chakula kwa ajili ya afya na kuboresha lishe, limekunja jamvi leo mjini…

02/12/2016 / Kusikiliza /

Ukatili wa kingono Sudan kusini umefurutu ada-UM »

Tume huru ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Sudan Kusini. Picha: UM

Ukatili wa kingono umefurutu ada Sudan Kusini na dunia inahitaji kuchukua hatua haraka imesema tume huru ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki…

02/12/2016 / Kusikiliza /
Lishe bora ni wajibu wa serikali na si mtu binafsi- FAO » Watu 400,000 wahitaji malazi Aleppo » Viongozi wa ECCAS wapazia sauti makubaliano DRC »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Wiki hii Desemba 02

Fidel Castro akihutubia Baraza Kuu la UM-1960

Kuungana

Kikao cha Baraza Kuu-71

Mawasiliano mbalimbali

 • Kipindupindu Haiti; Umoja wa Mataifa waomba radhi na kuelezea mtazamo mpya

  Kipindupindu Haiti; Umoja wa Mataifa waomba radhi na kuelezea mtazamo mpya

  Soma Zaidi

 • Kubadilisha mtazamo-ukatili dhidi ya wanawake #GBV

  Kubadilisha mtazamo-ukatili dhidi ya wanawake #GBV

  Soma Zaidi

 • Wiki ya #Polisi wa Umoja wa Mataifa- UNMISS

  Wiki ya #Polisi wa Umoja wa Mataifa- UNMISS

  Soma Zaidi

 • Mobutu na Tshombe, viongozi wa DRC waliotwamisha nchi yao

  Mobutu na Tshombe, viongozi wa DRC waliotwamisha nchi yao

  Soma Zaidi

 • Ghasia za mara kwa mara DRC vinatutia wasiwasi:OHCHR

  Ghasia za mara kwa mara DRC vinatutia wasiwasi:OHCHR

  Soma Zaidi

 • UNHCR yaingiza msaada kwa ndege Uganda, huku maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wakiwasili

  UNHCR yaingiza msaada kwa ndege Uganda, huku maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wakiwasili

  Soma Zaidi

 • Msafara wa misaada washambuliwa huko Aleppo

  Msafara wa misaada washambuliwa huko Aleppo

  Soma Zaidi

 • Mfahamu Patrice Lumumba kupitia simulizi ya Brian Urquhart wa UM

  Mfahamu Patrice Lumumba kupitia simulizi ya Brian Urquhart wa UM

  Soma Zaidi

 • Neno la wiki-Afueni au Ahueni?

  Neno la wiki-Afueni au Ahueni?

  Soma Zaidi

 • Maoni ya mfanyakazi wa MONUSCO #UNpeacekeepingday

  Maoni ya mfanyakazi wa MONUSCO #UNpeacekeepingday

  Soma Zaidi

 • Getrude Clement ahutubia Umoja wa Mataifa #MkatabawaParis

  Getrude Clement ahutubia Umoja wa Mataifa #MkatabawaParis

  Soma Zaidi

 • Mkutano wa dunia wa maswala ya binadamu

  Mkutano wa dunia wa maswala ya binadamu

  Soma Zaidi

 • Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Soma Zaidi

 • Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, Stevie Wonder. Picha: UM

Ulemavu wa macho si upofu wa nafsi-Stevie »

Mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, Stevie Wonder amesema anapigia chepuo mkataba wa kimataifa Marrakesh unaotaka machapisho ya vitabu vyote katika nukta nundu kwa kuwa kila binadamu bila kujali…

02/12/2016 / Kusikiliza /

UNODC na WFF waafikiana kupima kiwango cha usafirishaji haramu wa watu »

Usafirishaji haramu.(Picha:UNODC)

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kukomesha utumwa hii leo na kushughulikia uhalifu huo mamboleo ofisi ya Umoja wa Mataifa ya dawa…

02/12/2016 / Kusikiliza /

Basi la abiria linalotumia hewa ya Hydrojeni laanza kutumika London »

Basi la abiria linalotumia hewa ya Hydrojeni.(Picha:Tovuti/ClimateAction)

Jiji la London nchini Uingereza limechukua hatua ya kupunguza hewa chafuzi kwa kuanza kutumia basi la abiria la ghorofa lisilotoa hewa yoyote…

02/12/2016 / Kusikiliza /
Machafuko yasababisha vifo 89 Libya :UNSMIL » Kauli kuhusu DRC zinalenga kuona amani inadumu- MONUSCO » Udhibiti holela wa wahamiaji ni muhimu katika vita dhidi ya ukimwi:IOM » Uchumi unatoa fursa ya kufikia malengo ya SDG: ESCAP »

Taarifa maalumu