Habari za wiki

Hayati Balozi wa Somalia akumbukwa na mtalaam huru kutoka Tanzania »

Mwenda zake Balozi Yusuf Mohamed Ismail(Picha ya UM/Jean-Marc Ferré/2014/maktaba)

Mtalaam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Somalia, Bahame Tom Nyanduga, amelaani vikali mashambulizi yaliyotokea…

31/03/2015 / Kusikiliza /

Mkutano wa usaidizi Syria wafanyika leo Kuwait »

Mgogoro wa Syria unasababisha watu kama hawa kuwa wakimbizi.( Picha ya UNHCR/B. Szandelszky)

Nchini Kuwait hii leo kunafanyika mkutano wa Tatu wa kimataifa kuhusu usaidizi wa Syria ambapo Mwakilishi maalum wa Katibu…

31/03/2015 / Kusikiliza /
Ukatili unaofanywa na Boko Haram umekithiri dunia isikae kimya:Chambas » Bado nahofia tatizo la usalama na athari kwa raia wa Iraq- Ban »

Mahojiano na Makala za wiki

Amezikwa na Boko Haram angali mzima: Ibrahim, miaka 10 »

Mtoto Ibrahim(Picha ya UM//UNHCR/Hélène Caux)

Kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, kaskazini mwa Cameroon, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR limekuwa likipokea maelfu ya…

30/03/2015 / Kusikiliza /

Uhaba wa Maji na harakati za kusaka raslimali hii adhimu »

Maji(Picha ya UM/Evan Schneider)

Maji ni uhai, huu ni usemi maarufu sana miongoni mwa wengi lakini usemi hauonekani kutimia kwa nchi nyingi zinazoendelea kutokana na ukosefu…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana » Sanaa ya kukumbuka utumwa yazinduliwa New York »

Ulinzi wa amani uzingatie eneo husika: Jenerali Mwamunyange »

Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akiwa kwenye kikao hicho. (Picha: Tanzania mission to the UN)

Wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanakutana jijini New York kwenye kikao cha siku…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana »

Kumbikizi ya biashara ya utumwa.(Picha ya UM/Devra Berkowitz)

Kukumbuka utumwa na  biashara ya utumwa katika bahari ya Atlantiki huibua hisia za mateso na udhalilishaji hususani kwa bara la Afrika. Katika…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Lazima wanawake tukaze mwendo safari ndefu: Rais Ellen Jonhson Sirlief » Alikuwa mtoto vitani miaka 10, sasa awasaidia wahanga wengine »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-moon (Kuila) akiwa na Waziri Mkuu wa Lebanon Tammam Salam mjini Kuwait. (Picha: UN/Evan Schneider)

Ban awa na mazungumzo Waziri Mkuu wa Lebanon nchini Kuwait »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon aliyeko ziarani Mashariki ya Kati amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu wa Lebanon, Tammam Salam kando mwa mkutano wa wahisani wa Syria…

31/03/2015 / Kusikiliza /

Watoto wameuawa na mabobu ya kutegwa ardhini Ukraine »

Mtoto aliyekimbia makwao na familia yake, kwenye hema ya UNHCR, nchini Ukraine. Picha ya UNHCR.

Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema kuwa watoto wapatao 109 wameripotiwa kujeruhiwa huku wengine 42 wakiuawa na mabomu…

31/03/2015 / Kusikiliza /

Hakuna mahitaji mapya ya kibinadamu kutokana na uchaguzi Nigeria- OCHA »

Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya Kibinadamu, Kyung-wha Kang, akihutubia Baraza la Usalama leo.(Picha ya UM/Loey Felipe)

Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya Kibinadamu, Kyung-wha Kang, amelihutubia Baraza la Usalama leo kuhusu mahitaji ya kibinadamu kutokana na mashambulizi…

30/03/2015 / Kusikiliza /
Kikwete aitaka jamii ya kimataifa isaidie Afrika kupambana na ukosefu wa ajira » Hali ya kibinadamu Syria inazorota kila siku- Valerie Amos » Tume huru ya uchunguzi Syria yapewa mwaka mmoja zaidi »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII 27 MACHI 2015

MKUTANO WA CSW59

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Wiki Hii-Machi 20- Video

  Wiki Hii-Machi 20- Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 13-Video

  Wiki Hii Machi 13-Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 6-Video

  Wiki Hii Machi 6-Video

  Soma Zaidi

 • UM wataka muziki uwape watu furaha

  UM wataka muziki uwape watu furaha

  Soma Zaidi

 • Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Soma Zaidi

 • Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Soma Zaidi

 • Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Soma Zaidi

 • Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Soma Zaidi

 • Siku ya Redio duniani – Video

  Siku ya Redio duniani – Video

  Soma Zaidi

 • WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  Soma Zaidi

 • Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Soma Zaidi

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Picha@UNODC

UNODC yazindua mwongozo wa kuimarisha utawala wa sheria Somaliland »

Mwongozo mpya wa kuimarisha mfumo wa sheria wa jimbo la Somaliland, Somalia umezinduliwa na Shirika la inayohusika na madawa na uhalifu katika Umoja wa Mataifa, UNODC. Chombo hicho ambacho kimeundwa…

31/03/2015 / Kusikiliza /

Mratibu wa UM Lebanon azuru kambi ya Wapalestina Ein El-Hilweh »

Sigrid Kaag akitembelea kambi ya wakimbizi ya wapalestina, kusini mwa Lebanon. Picha ya Ofisi wa Mratibu wa Umoja wa Mataifa Lebanon, UNSCOL.

Mratibu Maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, Sigrid Kaag amezuru leo kambi ya wakimbizi wa Palestina ya Ein El-Hilweh kusini mwa…

31/03/2015 / Kusikiliza /

WFP yataka dunia kunusuru watu wa Syria »

Usambazaji wa chakula Yarmouk, Syria(Picha ya WFP/Bashar Elias)

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limeishukuru taifa la Kuwait kwa kusaidia katika operesheni za ugawaji vyakula nchini Syria na kutolea…

30/03/2015 / Kusikiliza /
WHO yakanusha kuwepo kwa Ebola Iraq » Vanuatu hatarini kukumbwa na njaa » Rais Kikwete kuhutubia kuhusu masuala ya ajira New York » Msaada wa WFP wafikia watu 160,000 Vanuatu »

Taarifa maalumu