Habari za wiki

Kamishna Zeid awakumbuka wahanga wa Holocaust »

Wakati Katibu Mkuu alizuru kambi ya Auschwitz-Birkenau.(Picha ya Evan Schneider)

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Zeid Ra'ad Al Hussein, ametoa wito kwa kila mtu aimarishe ujasiri wake kimaadili,…

26/01/2015 / Kusikiliza /

Kuna nuru sasa ya matumizi ya nishati ya nyuklia:IAEA »

Picha: IAEA

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la nishati ya atomiki, IAEA Yukia Amano amesema dunia hivi sasa…

26/01/2015 / Kusikiliza /
UNSMIL walaani shambulio katika ofisi za UNDP Libya » Ban alaani shambulio la roketi mjini Mariupol, Ukraine »

Mahojiano na Makala za wiki

Huduma za afya kadhia Uganda »

wanawake wajawazito

Huduma za afya zimekuwa changamoto kubwa hususani kwa nchi zinazoendelea ambapo wanaothirika zaidi ni wanawake hasa wajawazito wakati wanapojifungua. Nchini Uganda hali…

26/01/2015 / Kusikiliza /

Duka la kinyozi na usawa wa jinsia:UNFPA »

Kwenye duka la kinyozi jijini Georgetown, Guyana, kinyozi Steven akimhudumia mteja wake. (Picha:UNFPA Video)

  Harakati za kufanikisha usawa kijinsia, afya ya uzazi na hata kampeni dhidi ya Ukimwi zinachukua sura mpya kila uchao na lengo…

23/01/2015 / Kusikiliza /
Harakati za kujikwamua na mimba za utotoni Uganda » Sanaa iliyopigwa marufuku yakumbusha yaliyojiri Auschwitz-Birkenau »

Harakati za kujikwamua na mimba za utotoni Uganda »

Picha: UNFPA/Uganda

Ripoti ya Shirika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa, UNFPA inasema kuwa  Kila mwaka, wasichana Milioni 7.3 wenye umri usiozidi…

23/01/2015 / Kusikiliza /

Ushiriki wa jamii msingi wa vita dhidi ya umaskini Tanzania »

Watoto wakiandamana katika viwanda vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kuondoa Umaskini Tanzania (Action 2015). Picha ya Finland Bernard.

Wakati Malengo ya Maendeleo ya Milenia yanafikia ukomo mwaka huu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameanzisha kampeni ya kuelimisha jamii na…

23/01/2015 / Kusikiliza /
Sanaa iliyopigwa marufuku yakumbusha yaliyojiri Auschwitz-Birkenau » Chupa za plastiki zisizooza zaleta nuru kwa wakazi huko Ufilipino. »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Washiriki wa mazungumzo ya amani nchini Libya. Picha ya UN/Jean-Marc Ferré

Awamu ya pili ya mazungumzo ya amani ya Libya yaanza »

Awamu ya pili ya mazungumzo ya amani imeanza jumatatu hii katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, mjini Geneva, Uswisi, ili kurejesha utulivu nchini Libya. Taarifa ya Ujumbe wa Umoja…

26/01/2015 / Kusikiliza /

Ban alaani shambulio la roketi mjini Mariupol, Ukraine »

Ramana ya Ukraine

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon amelaani vikali shambulio la roketi mjini Mariupol nchini Ukraine  ambalo limesababisha vifo kadhaa vya…

25/01/2015 / Kusikiliza /

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lalaani ISIL kwa mauaji ya raia wa Japan »

Baraza la usalama(Picha ya UM/Mark Garten)

Wajumbe wa baraza la usalama wamelaani vikali mauaji dhidi ya raia wa Japan Haruna Yukawa aliyeuwawa na kundi la waislamu wenye msimamo…

25/01/2015 / Kusikiliza /
Tuko pamoja na wananchi wa Haiti kuhusu uchaguzi:Baraza » Ban amkumbuka mfalme Abdullah wa Saudia kufuatia kifo chake » Baraza la Usalama laanza ziara Haiti »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII KWENYE UMOJA WA MATAIFA

MKUTANO WA BARAZA KUU WA 69

MATUKIO MAKUU YA MWAKA 2014

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ofisi ya Haki za Binadamu yasikitishwa na ghasia Bangladesh

  Ofisi ya Haki za Binadamu yasikitishwa na ghasia Bangladesh

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

 • Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Soma Zaidi

 • Kumbukumbu za vipindi vya Radio na Televisheni ziko hatarini: UNESCO

  Kumbukumbu za vipindi vya Radio na Televisheni ziko hatarini: UNESCO

  Soma Zaidi

 • Fahamu kuhusu mabadiliko ya tabianchi-1

  Fahamu kuhusu mabadiliko ya tabianchi-1

  Soma Zaidi

 • Mafunzo ya enzi hizo yameniwezesha kukokotoa hesabu kwa kichwa: Mwalimu Asumani

  Mafunzo ya enzi hizo yameniwezesha kukokotoa hesabu kwa kichwa: Mwalimu Asumani

  Soma Zaidi

 • Uislamu si ugaidi: Rais Jammeh aweka bayana

  Uislamu si ugaidi: Rais Jammeh aweka bayana

  Soma Zaidi

 • Ebola ni kiashiria cha moja ya changamoto zinazoendelea kukumba Afrika:Zuma

  Ebola ni kiashiria cha moja ya changamoto zinazoendelea kukumba Afrika:Zuma

  Soma Zaidi

 • Kenya kuunga mkono mkataba usioathiri maendeleo thabiti:Uhuru

  Kenya kuunga mkono mkataba usioathiri maendeleo thabiti:Uhuru

  Soma Zaidi

 • Ukanda wa maziwa makuu wakubaliana kuhusu mustakhbali wa FDLR

  Ukanda wa maziwa makuu wakubaliana kuhusu mustakhbali wa FDLR

  Soma Zaidi

 • Siku ya kimataifa ya demokrasia: Vijana wapewe kipaumbele

  Siku ya kimataifa ya demokrasia: Vijana wapewe kipaumbele

  Soma Zaidi

 • Ebola ni dharura ya afya ya umma:WHO

  Ebola ni dharura ya afya ya umma:WHO

  Soma Zaidi

 • Shujaa wa usaidizi wa kibinadamu: Jack Kahorha

  Shujaa wa usaidizi wa kibinadamu: Jack Kahorha

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Nembo ya UNRWA

UNRWA kutoa tamko kuhusu ujenzi mpya wa Pwani ya Gaza »

  Shirika la Umoja wa Mataifa la  kusaidia wakimbizi wa Palestina URNWA, leo litatangaza msimamo kamilifu kuhusu ujenzi mpya wa pwani ya ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa afisa habari…

26/01/2015 / Kusikiliza /

UNSMIL walaani shambulio katika ofisi za UNDP Libya »

mji wa Misrata, nchini Libya. Picha ya UNHCR/Helen Caux

Umoja wa Mataifa umelaani shambulio  lililotekelezwa na watu wasiofahamika waliojihami kwa silaha nje ya ofisi ya Umoja huo ya mpango wa maendeleo…

25/01/2015 / Kusikiliza /

Ebola ni janga lililotoa mafunzo-WHO »

Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Margaret Chan. (Picha:WHO)

Ugonjwa wa homa kali ya Ebola ni janga ambalo limelioa masomo  kwa shirika la afya ulimwenguni (WHO) kuhusu namna ya kuzuia matukio…

25/01/2015 / Kusikiliza /
Ban apongeza Zambia kufanya uchaguzi kwa amani » Ban afanya mazungumzo kwa simu na mfalme Mohammed VI wa Morocco » CERF yatoa dola milioni 100 kwa operesheni za kibinadamu » Mapigano yaliyochacha Ukraine yamesababisha vifo vingi: UM »

Taarifa maalumu