Habari za wiki

Mauaji ya Albino Malawi yachukua hatua, Tanzania nayo iimarishe:UM »

Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, albino. (Picha:@UNICEF Tanzania/Giacomo Pirozzi)

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imekaribisha mpango wa hatua tano uliotangazwa na serikali ya Malawi…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Baraza la Haki za Binadamu kujadili ukiukwaji wa Boko Haram »

Katika jimbo la Borno, kaskazini mwa Nigeria, baada ya mashambulizi ya Boko Haram. Picha ya UN.

Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, limetangaza leo kuwa litafanya kikao maalum mnamo Aprili mosi kuhusu…

27/03/2015 / Kusikiliza /
UNHCR yashutumu LRA kwa kuteka wakimbizi wa DRC » Ban afungua mkutano wa wakuu wa majeshi ya ulinzi duniani »

Mahojiano na Makala za wiki

Uhaba wa Maji na harakati za kusaka raslimali hii adhimu »

Maji(Picha ya UM/Evan Schneider)

Maji ni uhai, huu ni usemi maarufu sana miongoni mwa wengi lakini usemi hauonekani kutimia kwa nchi nyingi zinazoendelea kutokana na ukosefu…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana »

Kumbikizi ya biashara ya utumwa.(Picha ya UM/Devra Berkowitz)

Kukumbuka utumwa na  biashara ya utumwa katika bahari ya Atlantiki huibua hisia za mateso na udhalilishaji hususani kwa bara la Afrika. Katika…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Sanaa ya kukumbuka utumwa yazinduliwa New York » Lazima wanawake tukaze mwendo safari ndefu: Rais Ellen Jonhson Sirlief »

Ulinzi wa amani uzingatie eneo husika: Jenerali Mwamunyange »

Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akiwa kwenye kikao hicho. (Picha: Tanzania mission to the UN)

Wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanakutana jijini New York kwenye kikao cha siku…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Lazima wanawake tukaze mwendo safari ndefu: Rais Ellen Jonhson Sirlief »

Rais Ellen Johnson-Sirleaf wa Liberia. (Picha:UN/Paulo Filgueiras)

Bado nafasi ya mwanamke ni finyu duniani kwa mfano malipo ya mishahara kwa wanawake yanatofautiana na wanaume kwasababau tu za kijinsia. Ni…

26/03/2015 / Kusikiliza /
Alikuwa mtoto vitani miaka 10, sasa awasaidia wahanga wengine » Maendeleo endelevu na ujuimuishwaji ni ufunguo wa maendeleo: Mshiriki wa mkutano »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Wakimbizi wa Syria nchini Lebanon. Picha: WFP

Tume huru ya uchunguzi Syria yapewa mwaka mmoja zaidi »

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuongeza kwa mwaka mmoja zaidi muda wa tume huru ya kimataifa ya uchunguzi kuhusu Syria. Azimio hilo limepitishwa…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Baraza la Usalama lizipeleke kesi za Iraq na Syria ICC- Kamishna Zeid »

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Zeid Ra'ad Al Hussein akihutubia Baraza la Usalama kwa njia ya video.

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, Zeid Ra'ad Al Hussein, amelitaka Baraza la Usalama la Umoja huo lichukuwe…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Jamii ya kimataifa inapaswa kuonyesha nguvu zake dhidi ya ugaidi »

Waziri wa Mambo ya nje ya Ufaransa, Laurent Fabius.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Laurent Fabius amesema raia wa kawaida wanajiuliza kwa nini nchi zinazojiita "Umoja wa Mataifa" hazijaweza…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Hali ya kibinadamu Syria imezorota, yataka suluhu la kisiasa » Ban ana taarifa za kinachoendelea Yemen » Nimeibiwa utoto wangu, asema kijana aliyetumikishwa vitani DRC »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII 27 MACHI 2015

MKUTANO WA CSW59

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Wiki Hii Machi 13-Video

  Wiki Hii Machi 13-Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 6-Video

  Wiki Hii Machi 6-Video

  Soma Zaidi

 • UM wataka muziki uwape watu furaha

  UM wataka muziki uwape watu furaha

  Soma Zaidi

 • Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Soma Zaidi

 • Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Soma Zaidi

 • Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Soma Zaidi

 • Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Soma Zaidi

 • Siku ya Redio duniani – Video

  Siku ya Redio duniani – Video

  Soma Zaidi

 • WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  Soma Zaidi

 • Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Soma Zaidi

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

 • Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania. (Picha:MAKTABA: UN /Eskinder Debebe)

Rais Kikwete kuhutubia kuhusu masuala ya ajira New York »

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete atashiriki kwenye mkutano maalum utakaofanyika mjini New York wiki ijayo kuhusu mikakati mipya ili kufikia maendeleo endelevu pamoja na kutokomeza ukosefu wa ajira. Rais Kikwete…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Msaada wa WFP wafikia watu 160,000 Vanuatu »

Raia wa Vanuatu wanaopokea msaada wa WFP. Picha ya Victoria Cavanagh/WFP

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limesema leo kwamba tayari vyakula vya msaada vimefika kwenye visiwa 22 ambavyo vimeathirika na kimbunga…

27/03/2015 / Kusikiliza /

WHO yahitaji dola 124 kutoa misaada ya kiafya Syria »

Utoaji wa chanjo dhidi ya polio nchini Syria(Picha ya WHO/Syria)

Mgogoro wa Syria ukiwa unaingia mwaka wa tano na ikiwa ni siku chache kabla ya kongamano la tatu la kimataifa la changizo…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Kuelekea uchaguzi Nigeria, Chambas awasilisha ujumbe wa Ban » Kuyakalia maeneo ya Wapalestina na mizozo inaongeza mahitaji ya kibinadamu- OCHA » Heko India kwa usaidizi wa kudhibiti saratani: IAEA » Benki ya dunia yarejesha operesheni zake Guinea Bissau »

Taarifa maalumu