Habari za wiki

Baraza kuu lajadili michezo na ujenzi wa amani »

Rais wa Baraza Kuu Mogen Lykketoft. Picha:UN Photo/JC McIlwaine

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa leo limekutana kujadili ujenzi wa amani duniani kupitia michezo hususani michuano ya olimpiki.…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Idadi ya wahanga wa kiraia Afghanistan ilifikia rekodi mpya mapema 2016 -Ripoti »

Picha:UNAMA

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeonyesha kuwa idadi ya raia waliouawa au kujeruhiwa nchini Afghanistan katika miezi sita…

25/07/2016 / Kusikiliza /
Ban akaribisha makubaliano ya uhusiano kati ya IOM na UM » Ban alaani mapigano Mali »

Mahojiano na Makala za wiki

Mustakabali wa watoto shakani Burundi »

Picha:UNICEF/NYHQ2015-1378/Pflanz

Nchini Burundi ukosefu wa usalama umetahiri sekta nyingi za kiuchumi na kijamii na hivyo kudunisha ustawi wa watoto katika elimu hatua ainayotishia…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Mkutano wa UNCTAD14 jijini Nairobi »

UNCTAD/facebook

UNCTAD, kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, imehitimisha mkutano wake wa 14 mjini Nairobi Kenya. Maudhui ya  mkutano huo…

22/07/2016 / Kusikiliza /
Ni mitindo na midundo Nairobi wakati wa UNCTAD 14 » Dunia yamuenzi Mandela »

Tumeoanisha maono ya 2030 ya Kenya na SDGs- waziri Kiunjuri »

Waziri wa ugatuzi wa Kenya,Mwangi Kiunjuri .(Picha:Idhaa ya Kiswahili/video capture)

Wakati ripoti ya kwanza kabisa kuhusu malengo ya maendeleo endelevu imezinduliwa jijini New York, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon…

20/07/2016 / Kusikiliza /

UNCTAD 14 ,yaibua matumaini ya kiuchumi »

Tumbuizo na mwimbaji Suzanne Owiyo.(Picha:UM/Video Capture)

Mkutano wa 14 wa kamati ya Umoja wa Mataifa kuhusu biashara na maendeleo UNCTAD 14 umezinduliwa mwishoni mwa juma mjini Nairobi. Mwakilishi…

18/07/2016 / Kusikiliza /
Wasichana vigori wanamchango mkubwa katika jamii:Musoti-UNFPA » #UNCTAD14 vijana wajumuishwa, wanawake kuangaziwa- Dkt. Kituyi »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu Ban akizungumza kwa njia ya video na Rubani Bertrand Piccard.Picha: UN Photo/Evan Schneider

Ban azungumza na rubani wa ndege ya Solar Impulse »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amezungumza kwa njia ya video na Rubani Bertrand Piccard, saa tisa kabla ya kutua Abu Dhabi, katika awamu ya mwisho ya safari…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Tunahitaji kuimarisha tena kasi ya ulinzi na kuwafikia raia Syria- O'Brien »

Usambazaji wa msaada wa chakula nchini Syria.(Picha:WFP)

Mratibu Mkuu wa masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura, Stephen O'Brien, ametoa wito iimarishwe tena kasi iliyoanzishwa mwanzoni mwa mwaka 2016…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Ban akaribisha makubaliano ya uhusiano kati ya IOM na UM »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.(Picha: Maktaba/UM/Jean-Marc Ferré)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kuridhiwa kwa makubaliano ya uhusiano kati ya Umoja wa Mataifa na Shirika la…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Tisho la ugaidi bado linaendelea na ni kubwa: Laborde »

Mkurugenzi mtendaji wa CTED, Jean-Paul Laborde:Picha na UM

Tishio la ugaidi bado linaendelea , ni kubwa na ni la kuaminika amesema mkuu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachohusika na…

22/07/2016 / Kusikiliza /
Wagombea nafasi ya Katibu Mkuu UM kuambiwa matokeo ya kura isiyo rasmi: » Utumaji fedha kutoka ughaibuni moja ya mbinu mpya ya kufadhili maendeleo -UNCTAD » Ni muhimu kuzingatia utawala wa sheria hasa sasa Uturuki:Ban »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII, JULAI, 22 2016

SIKU YA MANDELA-JULAI 18

KuunganaPata Habari za Ebola kwa App...


iPhone | Android

MKUTANO WA UNCTAD14, 2016

Mawasiliano mbalimbali

 • Neno la wiki-Afueni au Ahueni?

  Neno la wiki-Afueni au Ahueni?

  Soma Zaidi

 • Maoni ya mfanyakazi wa MONUSCO #UNpeacekeepingday

  Maoni ya mfanyakazi wa MONUSCO #UNpeacekeepingday

  Soma Zaidi

 • Getrude Clement ahutubia Umoja wa Mataifa #MkatabawaParis

  Getrude Clement ahutubia Umoja wa Mataifa #MkatabawaParis

  Soma Zaidi

 • Mkutano wa dunia wa maswala ya binadamu

  Mkutano wa dunia wa maswala ya binadamu

  Soma Zaidi

 • Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Athari za mabadiliko ya Tabianchi- Video

  Soma Zaidi

 • Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Mkataba wa Paris kuanza kutiwa saini leo New York

  Soma Zaidi

 • Majukumu ya malezi yanabebwa na watoto

  Majukumu ya malezi yanabebwa na watoto

  Soma Zaidi

 • Ban Ki-moon ziarani Burundi

  Ban Ki-moon ziarani Burundi

  Soma Zaidi

 • Buriani Boutros Ghali – VIDEO

  Buriani Boutros Ghali – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Baraza la Usalama Burundi – VIDEO

  Ziara ya Baraza la Usalama Burundi – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Kumbukizi ya Haiti – VIDEO

  Kumbukizi ya Haiti – VIDEO

  Soma Zaidi

 • Matumizi ya dawa za kulevya na athari zake nchini Uganda

  Matumizi ya dawa za kulevya na athari zake nchini Uganda

  Soma Zaidi

 • Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua

  Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua

  Soma Zaidi

 • Ban akiwa Paris kwa ajili ya #COP21 – VIDEO

  Ban akiwa Paris kwa ajili ya #COP21 – VIDEO

  Soma Zaidi

Hapa na pale

libya

Maelfu wakimbia Libya: UM »

Umoja wa Mataifa na washirika wake unaendelea kufuatilia taarifa za hivi karibuni za kuhama kwa wakimbizi wa ndani Magharibi mwa Libya, ikiwa ni kampeni ya miezi miwili dhidi ya dola…

25/07/2016 / Kusikiliza /

IOM yakubaliwa kuwa shirika linalohusiana na Umoja wa Mataifa »

Nembo ya IOM

  Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, kupitia Baraza Kuu la Umoja huo, leo kwa kauli moja wamepitisha azimio la kuridhia makubaliano…

25/07/2016 / Kusikiliza /

Msaada wawafikia watu 15, 000 walioathirika na machafuko Nigeria »

Mamia ya wanawake na watoto wametekwa na Boko Haram. Picha: UNFPA

Msafara wa msaada nchini Nigeria umefikisha neema ya kuokoa maisha kwa watu 15,000 Kaskazini Mashariki mwa hiyo. Watu hao wamekimbia machafuko ya…

22/07/2016 / Kusikiliza /
Kuna hofu dhidi ya ongezeko la matumizi ya kandarasi binafsi za ulinzi » Teknolojia ya nyuklia yasaidia Sudan kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi » Kenya yatakiwa kuhakikisha uhuru wa mamlaka ya nishati ya atomiki- IAEA » Dola milioni 284 zahitajika kwa ajili ya msaada wa kibinadamu Mosul:OCHA »

Taarifa maalumu