Habari za wiki

ICC yakaribisha Palestina kama mwanachama mpya »

Makamu wa pili wa Rais wa ICC, Jaji Kuniko Ozaki(kati), akiwa na Rais wa Baraza la Nchi Wanachama wa Mkataba wa Roma, H.E. Sidiki Kaba(kulia), wakimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina Dr. Riad Al-Malki(kushoto) na toleo maalum la Mkataba wa Roma. Picha:ICC-CPI

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa jinai, ICC, leo imefanya halfa ya kulikaribisha taifa la Palestina kama nchi mwanachama…

01/04/2015 / Kusikiliza /

Mkuu wa WFP ziarani Malawi »

Nchini Malawi, mafuriko yalisababisha maduka mengi kufungwa. Picha ya WFP.

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP, Ertharin Cousin, amewasili nchini Malawi kwa ziara ya siku…

01/04/2015 / Kusikiliza /
Tuepushe Iraq dhidi ya mzozo wa kidini: Ban » Wasyria hawaombi kuhurumiwa, wanaomba msaada- Ban »

Mahojiano na Makala za wiki

Ujumbe wa Tanzania UM wapata makazi ya kudumu »

Rais Kikwete akizindua jengo la Tanzania New Yrok

Ujumbe wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani umezindua rasmi jengo lake jipya lenye gorofa sita ambalo linatumiwa na…

01/04/2015 / Kusikiliza /

Sauti za matumaini kutokana na huduma ya maji zaangaziwa UM »

Cristina Gallach, msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano kwenye Umoja huo, akizindua rasmi maonyesho ya "Maji kwa Uhai". Picha ya Umoja wa Mataifa/Eskinder Debebe.

Mwaka 2015 ukiwa ni ukomo wa muongo maalum ulioadhimishwa na Umoja wa Mataifa kuhusu maji kwa uhai, uzinduzi wa maonyesho umefanyika wiki…

31/03/2015 / Kusikiliza /
Amezikwa na Boko Haram angali mzima: Ibrahim, miaka 10 » Uhaba wa Maji na harakati za kusaka raslimali hii adhimu »

Mtalaam huru Tom Nyanduga asifu mchango wa hayati Balozi Bari Bari wa Somalia »

Hayati Yusuf Mohamed Ismail "Bari Bari". Picha ya Umoja wa Mataifa/Jean Marc Ferré.

Kufuatia mashambulizi ya tarehe 27 mwezi huu kwenye hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu yaliyosababisha vifo vya raia kadhaa akiwemo…

31/03/2015 / Kusikiliza /

Uhaba wa Maji na harakati za kusaka raslimali hii adhimu »

Maji(Picha ya UM/Evan Schneider)

Maji ni uhai, huu ni usemi maarufu sana miongoni mwa wengi lakini usemi hauonekani kutimia kwa nchi nyingi zinazoendelea kutokana na ukosefu…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Ulinzi wa amani uzingatie eneo husika: Jenerali Mwamunyange » Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Watoto wakiangalia maigizo mjini Aden, Yemen. Picha ya UNICEF Yemen/Yassir Abdul-Baqi

Watoto wahanga wa mzozo wa Yemen : Zerrougui »

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto vitani, Leila Zerrougui, leo amezisihi pande zote kwenye mzozo wa Yemen kulinda haki za watoto nchini humo. Katika taarifa…

01/04/2015 / Kusikiliza /

Umoja wa Mataifa wakaribisha ushindi wa Iraq jimboni Tikrit »

Ján Kubiš.Picha ya UNAMA

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq . Ján Kubiš, amekaribisha ushindi wa hivi karibuni wa vikosi vya …

01/04/2015 / Kusikiliza /

UNRWA yahofia usalama wa wakimbizi kambi ya Yarmouk »

Katika kambi ya wakimbizi wa Palestina ya Yarmouk, nchini Syria. Picha ya UNRWA.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwasaidia wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limesema kuwa lina hofu kubwa kuhusu usalama na ulinzi wa raia…

01/04/2015 / Kusikiliza /
UNICEF yataka watoto walindwe Yemen » Ban awa na mazungumzo Waziri Mkuu wa Lebanon nchini Kuwait » Watoto wameuawa na mabomu ya kutegwa ardhini Ukraine »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII 27 MACHI 2015

MKUTANO WA CSW59

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Wiki Hii-Machi 20- Video

  Wiki Hii-Machi 20- Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 13-Video

  Wiki Hii Machi 13-Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 6-Video

  Wiki Hii Machi 6-Video

  Soma Zaidi

 • UM wataka muziki uwape watu furaha

  UM wataka muziki uwape watu furaha

  Soma Zaidi

 • Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Soma Zaidi

 • Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Soma Zaidi

 • Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Soma Zaidi

 • Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Soma Zaidi

 • Siku ya Redio duniani – Video

  Siku ya Redio duniani – Video

  Soma Zaidi

 • WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  Soma Zaidi

 • Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Soma Zaidi

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Mkulima, anyeshiriki katika mradi wa FAO nchini Mali. Picha: FAO / Swiatoslaw Wojtkowiak

FAO na serikali kurejesha usalama wa chakula nchini Mali »

Familia 33,000 zilizoathiriwa na vita na mabadiliko ya tabianchi kaskazini mwa Mali zitapewa misaada kupitia mradi mpya wa kurejesha uzalishaji wa kilimo. Shirika la Chakula na Kilimo duniani, FAO na…

01/04/2015 / Kusikiliza /

Bangura akaribisha jitihada za jeshi la DRC dhidi ya ukatili wa kingono »

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili wa kingono vitani. Picha ya UN.

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili wa kingono vitani, Zainab Hawa Bangura, amekaribisha azimio lililosainiwa na viongozi…

01/04/2015 / Kusikiliza /

UNODC yazindua mwongozo wa kuimarisha utawala wa sheria Somaliland »

Picha@UNODC

Mwongozo mpya wa kuimarisha mfumo wa sheria wa jimbo la Somaliland, Somalia umezinduliwa na Shirika la inayohusika na madawa na uhalifu katika…

31/03/2015 / Kusikiliza /
Mratibu wa UM Lebanon azuru kambi ya Wapalestina Ein El-Hilweh » Asilimia 50 ya nchi duniani hazijatimiza uandikishwaji wa watoto shuleni » WFP yataka dunia kunusuru watu wa Syria » WHO yakanusha kuwepo kwa Ebola Iraq »

Taarifa maalumu