Habari za wiki

UNEP yazindua kifaa kinachoweza kupunguza vifo vitokanavyo na uchafuzi wa hewa »

Kifaa kupima ubora wa hewa.(Picha@UNEP)

Shirika la Mpango wa Mazingira, UNEP, imezindua leo kifaa kupima ubora wa hewa mjini Nairobi, ambacho kinatarajiwa kusaidia kupunguza…

31/08/2015 / Kusikiliza /

Kiribati yapitisha sheria ya kuwalinda watoto wanaokabiliwa kisheria »

Wakazi wa Tawara nchini Kiribati.(Picha:UM/Eskinder Debebe)

Shirika la Kuwahudumia Watoto, UNICEF, limekaribisha leo hatua ya taifa la Kiribati [KIRIBASI] ya kupitisha sheria kuhusu mfumo wa…

31/08/2015 / Kusikiliza /
Mkuu wa vikosi vya MINUSTAH afariki dunia » Zaidi ya watu 800,000 Somalia hawana uhakika wa chakula:FAO »

Mahojiano na Makala za wiki

Watu wenye ulemavu mashinani kuhudumiwa Tanzania »

Mmoja wa wanufaika katika kituo hicho.(Picha:Idhaa ya kiswahli/Tumaini Anatory)

Wananchi mkoani Kagera nchini Tanzania watanufaika na huduma zitolewazo kwa watu wenye  ulemavu baad ya ya kituo cha  kuhudumia makundi hayo  wilayani…

31/08/2015 / Kusikiliza /

Upatikanaji wa maji Afrika Mashariki »

Picha:UNHCR/B.Heger

Maji ni uhai! Huu ni usemi uliozoeleka sana katika masikio ya wengi.Pamoja na ukweli usiopingika katika usemi huu, bado upatikanaji wa maji…

28/08/2015 / Kusikiliza /
Ngoma inayowaleta pamoja Warundi. » Mila kandamizi kikwazo cha ustawi wa wanawake Tanzania »

Ngoma inayowaleta pamoja Warundi. »

Ngoma ya kitamaduni kutoka Burundi. Picha:UNESCO

Utamaduni ambao huchukua sehemu kubwa ya maisha huhusisha pia ngoma au muziki mbalimbali ambazo hutumiwa na jamii kwa malengo kadhaa ikiwamo kuwaleta…

28/08/2015 / Kusikiliza /

Mila kandamizi kikwazo cha ustawi wa wanawake Tanzania »

Wanawake Tanzania wakichota maji. Picha:UN Photo/Evan Schneider

Mila potofu zinazokandamiza wanawake ni moja ya sababau zinazozuia maendeleo endelevu katika nchi zinazoendelea kwani hupokonya haki za wanawake na kurudisha nyuma…

27/08/2015 / Kusikiliza /
Huduma za matibabu kwa wazee zaimarika Tanzania » Jitihada za vijana kujihusisha katika nafasi za maamuzi »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Mkuu wa vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kuweka utulivu nchini Haiti, MINUSTAH, marehebu Jenerali Jose Luiz Jaborandy Jr. (Picha:tovuti/MINUSTAH)

Ban amkumbuka Jenerali Jaborandy Jr. »

Kifo cha Mkuu wa vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kuweka utulivu nchini Haiti, MINUSTAH, Jenerali Jose Luiz Jaborandy Jr.  kimepokelewa kwa mshtuko mkubwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo…

31/08/2015 / Kusikiliza /

Mkuu wa IAEA atoa ripoti kuhusu ajali ya Fukushima Daiichi »

Nembo ya IAEA

Ripoti ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki, IAEA, kuhusu ajali ya mtambo wa nyuklia wa Fukushima Daiichi,…

31/08/2015 / Kusikiliza /

Nchi zatakiwa kuungana katika kupinga majaribio ya nyuklia »

Secretary-General Ban Ki-moon. UN Photo/Eskinder Debebe (file)

Katika  ujumbe wake kuhusu siku ya kimataifa ya kupinga majaribio ya nyuklia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka nchi kuungana katika…

30/08/2015 / Kusikiliza /

Nimesononeshwa na hukumu ya mahakama ya Misri dhidi ya waandishi wa Aljazera: Ban »

NEWS-SG-JOURNALISTS-30AUG15-300x199/ Picha na Unami

  Uamuzi wa mahakama ya Misri kuwahukumu waandishi watatu wa kito cha habari Aljazeera umepokelewa kwa masikitiko na Katibu Mkuu wa Umoja…

30/08/2015 / Kusikiliza /
Ban awasihi Warundi wadumishe moyo wa makubaliano ya Arusha » Maiti zapatikana kwenye lori mpakani wahamiaji wanapomiminika Hungary » Ban azitaka Colombia na Venezuela zishirikiane kushughulikia hali mpakani »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII AGOSTI, 28, 2015

KONGAMANO LA UFADHILI KWA MAENDELEO

KuunganaPata Habari za Ebola kwa App...


iPhone | Android

MIAKA 70 TANGU KUZINDULIWA KWA UM

Mawasiliano mbalimbali

 • Shiriki katika ubinadamu

  Shiriki katika ubinadamu

  Soma Zaidi

 • Dunia yapaswa kuwekeza katika maendeleo endelevu

  Dunia yapaswa kuwekeza katika maendeleo endelevu

  Soma Zaidi

 • MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

  MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

  Soma Zaidi

 • Nitakuwa sauti yao: Zainab Bangura

  Nitakuwa sauti yao: Zainab Bangura

  Soma Zaidi

 • WIKI HII Juni 19 2015- Video

  WIKI HII Juni 19 2015- Video

  Soma Zaidi

 • Miaka 70 ya ulinzi wa amani: video

  Miaka 70 ya ulinzi wa amani: video

  Soma Zaidi

 • Wakimbizi wa Burundi wawasili DRC: video

  Wakimbizi wa Burundi wawasili DRC: video

  Soma Zaidi

 • Ulemavu wa ngozi si kikwazo kwangu: Mbunge Mwaura

  Ulemavu wa ngozi si kikwazo kwangu: Mbunge Mwaura

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Somalia iendelee kujenga uwezo wake apendekeza mtalaam wa Umoja wa Mataifa

  Serikali ya Somalia iendelee kujenga uwezo wake apendekeza mtalaam wa Umoja wa Mataifa

  Soma Zaidi

 • #PKDAy: Sasa wanawake wanahitajika zaidi kwenye ulinzi wa amani: Edith

  #PKDAy: Sasa wanawake wanahitajika zaidi kwenye ulinzi wa amani: Edith

  Soma Zaidi

 • Ofisi ya haki za binadamu yatiwa hofu na hali ya Burundi

  Ofisi ya haki za binadamu yatiwa hofu na hali ya Burundi

  Soma Zaidi

 • Darubini zaelekea Tanzania kuangazia uhuru wa vyombo vya habari duniani

  Darubini zaelekea Tanzania kuangazia uhuru wa vyombo vya habari duniani

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Valerie Amos nchini Nepal: Video

  Ziara ya Valerie Amos nchini Nepal: Video

  Soma Zaidi

 • Kwenda sanjari na muda ni muhimu wasema UM ukiomba dola milioni 415 kwa ajili ya Nepal

  Kwenda sanjari na muda ni muhimu wasema UM ukiomba dola milioni 415 kwa ajili ya Nepal

  Soma Zaidi

Hapa na pale

We Effectm (Picha:FAO/Marcus Lundstedt)

FAO na We Effect kuchagiza maendeleo ya wakulima »

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO kwa ushirikiano na taasisi ya ushirikiano wa maendeleo ya nchini Sweden wamekubaliana kufanya kazi pamoja kuimarisha na vikundi vidogo vya ushirika wa wazalishaji…

31/08/2015 / Kusikiliza /

Huduma za afya za dharura zinahitajika Yemen: WHO »

Utoaji huduma za afya nchini Yemen.(Picha:MAKTABA: WHO/Yemen)

Shirika la afya ulimwenguni WHO na washirika,  wanahaha kunusuru maisha ya mamilioni ya raia wanaoteseka kutokana na vita nchini Yemen na sasa…

31/08/2015 / Kusikiliza /

Ban ataka nchi kuungana kupinga utowekaji wa watu »

WG_disappearances

Katibu Mkuu Wa Umoja wa Mataifa ametaka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuungana katika  mkataba wa kimataifa wa kupinga vifungo vya…

30/08/2015 / Kusikiliza /
Ukatili wa kingono Mashariki ya Kati ukomeshwe: Bangura » UNHCR yakaribisha makubaliano Sudan Kusini, idadi ya wakimbizi ikiongezeka » Idadi ya wakibizi na wahamiaji wanaosaka hifadhi Ulaya yazidi kuongezeka » Menejimenti shirikishi ni siri ya mafanikio kwa kampuni moja Colombia: ILO »

Taarifa maalumu