Habari za wiki

Ban aelekea Kuwait kwa kongamano la ufadhili kwa Syria »

Wakimbizi wa Syria wakipiga foleni kwa ajili ya misaada katika kambi ya Za'atri nchini Jordan. Picha: UNHCR / S. Malkawi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, leo anaugana na viongozi wengine nchini Kuwait kwa ajili ya kongamano…

30/03/2015 / Kusikiliza /

Moustapha Soumaré awasili Sudan Kusini kama Naibu Mkuu wa UNMISS »

Mjini Bentiu nchini Sudan kusini(Picha ya UM/JC McIlwaine)

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS, umetangaza kuwasili kwa Bwana Moustapha Soumaré, akiwa ni Naibu Mwakilishi…

30/03/2015 / Kusikiliza /
Ban Ki-moon aipongeza Nigeria kwa uchaguzi » Ban awaomba viongozi wa Kiarabu kupambana na misingi ya ugaidi »

Mahojiano na Makala za wiki

Amezikwa na Boko Haram angali mzima: Ibrahim, miaka 10 »

Mtoto Ibrahim(Picha ya UM//UNHCR/Hélène Caux)

Kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, kaskazini mwa Cameroon, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR limekuwa likipokea maelfu ya…

30/03/2015 / Kusikiliza /

Uhaba wa Maji na harakati za kusaka raslimali hii adhimu »

Maji(Picha ya UM/Evan Schneider)

Maji ni uhai, huu ni usemi maarufu sana miongoni mwa wengi lakini usemi hauonekani kutimia kwa nchi nyingi zinazoendelea kutokana na ukosefu…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana » Sanaa ya kukumbuka utumwa yazinduliwa New York »

Ulinzi wa amani uzingatie eneo husika: Jenerali Mwamunyange »

Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akiwa kwenye kikao hicho. (Picha: Tanzania mission to the UN)

Wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanakutana jijini New York kwenye kikao cha siku…

27/03/2015 / Kusikiliza /

Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana »

Kumbikizi ya biashara ya utumwa.(Picha ya UM/Devra Berkowitz)

Kukumbuka utumwa na  biashara ya utumwa katika bahari ya Atlantiki huibua hisia za mateso na udhalilishaji hususani kwa bara la Afrika. Katika…

27/03/2015 / Kusikiliza /
Lazima wanawake tukaze mwendo safari ndefu: Rais Ellen Jonhson Sirlief » Alikuwa mtoto vitani miaka 10, sasa awasaidia wahanga wengine »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya Kibinadamu, Kyung-wha Kang, akihutubia Baraza la Usalama leo.(Picha ya UM/Loey Felipe)

Hakuna mahitaji mapya ya kibinadamu kutokana na uchaguzi Nigeria- OCHA »

Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya Kibinadamu, Kyung-wha Kang, amelihutubia Baraza la Usalama leo kuhusu mahitaji ya kibinadamu kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini…

30/03/2015 / Kusikiliza /

Kikwete aitaka jamii ya kimataifa isaidie Afrika kupambana na ukosefu wa ajira »

Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete. Picha: UN Photo/Eskender Debebe

Wakati wa uzinduzi wa kongamano la Umoja wa Mataifa kuhusu ajira bora, linalofanyika kuanzia leo mjini New York, Rais wa Tanzania Jakaya…

30/03/2015 / Kusikiliza /

Hali ya kibinadamu Syria inazorota kila siku- Valerie Amos »

Mkuu wa OCHA, Bi. Valerie Amos (Picha ya UM)

Suluhu la kisiasa linapaswa kupatikana haraka nchini Syria, kwani hali ya kibinadamu inazidi kuzorota kila uchao. Hayo yamesemwa na Mratibu Mkuu wa…

30/03/2015 / Kusikiliza /
Tume huru ya uchunguzi Syria yapewa mwaka mmoja zaidi » Baraza la Usalama lizipeleke kesi za Iraq na Syria ICC- Kamishna Zeid » Jamii ya kimataifa inapaswa kuonyesha nguvu zake dhidi ya ugaidi »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII 27 MACHI 2015

MKUTANO WA CSW59

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Wiki Hii-Machi 20- Video

  Wiki Hii-Machi 20- Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 13-Video

  Wiki Hii Machi 13-Video

  Soma Zaidi

 • Wiki Hii Machi 6-Video

  Wiki Hii Machi 6-Video

  Soma Zaidi

 • UM wataka muziki uwape watu furaha

  UM wataka muziki uwape watu furaha

  Soma Zaidi

 • Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Mkuu wa UNISDR azungumzia mkutano wa Sendai- Video

  Soma Zaidi

 • Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Wadau wa afya wajadili Chanjo dhidi ya Ebola

  Soma Zaidi

 • Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Picha ya watoto wa mitaani yashinda tuzo la WFP

  Soma Zaidi

 • Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Udau wa FAO na wanawake Ethiopia wainua kipato

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua ili kutokomeza mauaji dhidi ya albino

  Soma Zaidi

 • Siku ya Redio duniani – Video

  Siku ya Redio duniani – Video

  Soma Zaidi

 • WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  WIKI HII 23 JANUARI 2015 -VIDEO

  Soma Zaidi

 • Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Rais wa Baraza Kuu Sam Kutesa ziarani Uganda

  Soma Zaidi

 • FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  FAO na CAF na kampeni dhidi ya njaa kupitia AFCON

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Ziara ya Ban Afrika Magharibi

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Usambazaji wa chakula Yarmouk, Syria(Picha ya WFP/Bashar Elias)

WFP yataka dunia kunusuru watu wa Syria »

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limeishukuru taifa la Kuwait kwa kusaidia katika operesheni za ugawaji vyakula nchini Syria na kutolea mwito jumuiya ya kimataifa kuendelea kusaidia jamii za…

30/03/2015 / Kusikiliza /

WHO yakanusha kuwepo kwa Ebola Iraq »

Wakaazi mjini Erbil nchini Iraq(Picha ya Rick Bajornas)

Shirika la Afya Ulimwenguni,WHO kwa kushirikiana na wizara ya afya ya Iraq imekanusha taarifa za kuwepo kwa kisa cha Ebola mjini Abu…

30/03/2015 / Kusikiliza /

Vanuatu hatarini kukumbwa na njaa »

Picha: UNICEF Pacific.

Wiki mbili baada ya kimbunga PAM kushambulia visiwa vya Vanuatu, Mratibu wa Misaada ya kidinadamu nchini humo, Osnat Lubrani, ametembelea jimbo la…

30/03/2015 / Kusikiliza /
Rais Kikwete kuhutubia kuhusu masuala ya ajira New York » Msaada wa WFP wafikia watu 160,000 Vanuatu » WHO yahitaji dola 124 kutoa misaada ya kiafya Syria » Kuelekea uchaguzi Nigeria, Chambas awasilisha ujumbe wa Ban »

Taarifa maalumu