Habari za wiki

WFP yawezesha msaada wa chakula kwa wanafunzi Kenya »

Picha:WFP/Anthony Njuguna

Shirika la chakula duniani WFP nchini Kenya limeangaza maisha ya wanafunzi katika shule ya msingi Nazareth iliyoko Kibera Nairobi,…

02/09/2015 / Kusikiliza /

Mazungumzo yanaonyesha dalili njema za muafaka: UNSMIL »

Picha: UN Photo/Iason Foounten

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya na mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa…

02/09/2015 / Kusikiliza /
Ofisi ya Haki za Binadamu yasikitishwa na kurejeshwa adhabu ya kifo Chad » Kamishna Zeid kuzuru CAR Septemba 1-4, 2015 »

Mahojiano na Makala za wiki

ILO na Japan zaleta nuru kwa vijana wa Garissa nchini Kenya »

Picha:ILO

Nchini Kenya, suala la ukosefu wa ajira ni mwiba zaidi kwa vijana wa kike na kiume. Vijana walio na vyeti na shahada…

02/09/2015 / Kusikiliza /

Muelekeo Sudan Kusini baada ya kutiwa saini makubaliano ya amani »

Mkimbizi katika kituo cha kuhifadhi raia cha UNMISS (Picha/UM/Video capture)

Siku chache baada ya kutiwa saini makubaliano ya amani nchini Sudan Kusini katika mji mkuu Juba, wakazi wa eneo hilo wanaendelea na…

01/09/2015 / Kusikiliza /
Watu wenye ulemavu mashinani kuhudumiwa Tanzania » Upatikanaji wa maji Afrika Mashariki »

Wanawake wanateseka asilani: Spika Makinda »

Picha: Joseph Msami

Spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema wanawake bado wanateseka takribani kote duniani, wengine wakiambulia vipigo na…

02/09/2015 / Kusikiliza /

Watu wenye ulemavu mashinani kuhudumiwa Tanzania »

Mmoja wa wanufaika katika kituo hicho.(Picha:Idhaa ya kiswahli/Tumaini Anatory)

Wananchi mkoani Kagera nchini Tanzania watanufaika na huduma zitolewazo kwa watu wenye  ulemavu baad ya ya kituo cha  kuhudumia makundi hayo  wilayani…

31/08/2015 / Kusikiliza /
Upatikanaji wa maji Afrika Mashariki » Ngoma inayowaleta pamoja Warundi. »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Balozi Vitaly Churkin. (Picha:UN/Evan Schneider)

Baraza la Usalama laongeza muda wa vikwazo vya silaha Liberia »

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo kwa kauli moja wamepitisha azimio la kuongeza muda wa vikwazo kuhusu silaha nchini Liberia kwa miezi tisa. (Sauti ya Churkin)…

02/09/2015 / Kusikiliza /

Visa Tisa vipya vya homa ya matumbo vyashukiwa Yalda »

Watoto kutoka Yarmouk. UNRWA/Rami Al-Sayyed

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi wa kipalestina, UNRWA limesema katika harakati zake za matibabu kwa wagonjwa 330 huko Yarmouk,…

02/09/2015 / Kusikiliza /

Ban akutana na maspika wa mabunge ya India »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon(kulia) na Spika wa bunge la chini la India, Lok Sabha, Bi Sumitra Mahajan. Picha: UN Photo/Evan Schneider

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa bunge la chini la India, Lok Sabha,…

01/09/2015 / Kusikiliza /

UNESCO yalaani mauaji ya mwanahabari Paulo Machava wa Msumbiji »

Irina Bokova. Picha: UN Photo/Mark Garten

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, leo ametoa wito kwa serikali ya Musumbiji kufanya uchunguzi katika…

01/09/2015 / Kusikiliza /
Ifikapo 2020 Gaza kutakuw ahakufai kuishi: UNCTAD » UNSOM yalaani shambulizi la Al Shabaab huko Somalia » Ban amkumbuka Jenerali Jaborandy Jr. »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

WIKI HII AGOSTI, 28, 2015

KONGAMANO LA UFADHILI KWA MAENDELEO

KuunganaPata Habari za Ebola kwa App...


iPhone | Android

MIAKA 70 TANGU KUZINDULIWA KWA UM

Mawasiliano mbalimbali

 • Shiriki katika ubinadamu

  Shiriki katika ubinadamu

  Soma Zaidi

 • Dunia yapaswa kuwekeza katika maendeleo endelevu

  Dunia yapaswa kuwekeza katika maendeleo endelevu

  Soma Zaidi

 • MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

  MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

  Soma Zaidi

 • Nitakuwa sauti yao: Zainab Bangura

  Nitakuwa sauti yao: Zainab Bangura

  Soma Zaidi

 • WIKI HII Juni 19 2015- Video

  WIKI HII Juni 19 2015- Video

  Soma Zaidi

 • Miaka 70 ya ulinzi wa amani: video

  Miaka 70 ya ulinzi wa amani: video

  Soma Zaidi

 • Wakimbizi wa Burundi wawasili DRC: video

  Wakimbizi wa Burundi wawasili DRC: video

  Soma Zaidi

 • Ulemavu wa ngozi si kikwazo kwangu: Mbunge Mwaura

  Ulemavu wa ngozi si kikwazo kwangu: Mbunge Mwaura

  Soma Zaidi

 • Serikali ya Somalia iendelee kujenga uwezo wake apendekeza mtalaam wa Umoja wa Mataifa

  Serikali ya Somalia iendelee kujenga uwezo wake apendekeza mtalaam wa Umoja wa Mataifa

  Soma Zaidi

 • #PKDAy: Sasa wanawake wanahitajika zaidi kwenye ulinzi wa amani: Edith

  #PKDAy: Sasa wanawake wanahitajika zaidi kwenye ulinzi wa amani: Edith

  Soma Zaidi

 • Ofisi ya haki za binadamu yatiwa hofu na hali ya Burundi

  Ofisi ya haki za binadamu yatiwa hofu na hali ya Burundi

  Soma Zaidi

 • Darubini zaelekea Tanzania kuangazia uhuru wa vyombo vya habari duniani

  Darubini zaelekea Tanzania kuangazia uhuru wa vyombo vya habari duniani

  Soma Zaidi

 • Ziara ya Valerie Amos nchini Nepal: Video

  Ziara ya Valerie Amos nchini Nepal: Video

  Soma Zaidi

 • Kwenda sanjari na muda ni muhimu wasema UM ukiomba dola milioni 415 kwa ajili ya Nepal

  Kwenda sanjari na muda ni muhimu wasema UM ukiomba dola milioni 415 kwa ajili ya Nepal

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Wakimbizi wa Eritrea kuwasili katika kambi ya wakimbizi mashariki mwa Sudan. Picha: UNHCR/Fred Noy

Raia wa kigeni waanza kuhamishwa kutoka vituo vya UNMISS vya ulinzi wa raia »

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS, umetangaza kuanza zoezi la kuwahamisha raia wa kigeni 510 ambao wamekuwa wakiishi katika kituo kimoja cha UNMISS cha ulinzi wa raia…

01/09/2015 / Kusikiliza /

Kesi dhidi ya Ntaganda kuanza kesho The Hague »

Bosco Ntaganda. Picha:ICC

Kesi dhidi ya Bosco Ntaganda itaanza kesho Jumatano kwenye makao makuu ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi.…

01/09/2015 / Kusikiliza /

Idadi ya wanawake na watoto wanaoingia Macedonia yaongezeka »

Mama mkimbizi na wanawe wakipumzika huko Macedonia. Picha: UNHCR / I.Szabó

Idadi ya wanawake na watoto wanaokimbia ghasia kwenye zao na kuvuka mpaka kuingia Macedonia kusaka hifadhi Ulaya imeongezeka mara tatu katika kipindi…

01/09/2015 / Kusikiliza /
FAO na We Effect kuchagiza maendeleo ya wakulima » Huduma za afya za dharura zinahitajika Yemen: WHO » Ban ataka nchi kuungana kupinga utowekaji wa watu » Ukatili wa kingono Mashariki ya Kati ukomeshwe: Bangura »

Taarifa maalumu