Habari za wiki

Maelfu ya watu kuandamana New York kuhusu tabianchi »

Extreme-climateChange-300x257

Makumi ya maelfu ya watu wanatarajiwa kuandamana katikati mwa jiji la New York leo Jumapili kuteta dhidi ya jamii…

21/09/2014 / Kusikiliza /

UNHCR yaongeza misaada kwa wakimbizi wa Syria wanaoongezeka Uturuki, yasifu Uturuki »

Picha ya © UNHCR/L.Addario

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNCHR limeongeza huduma zake za utoaji misaada ili kuisaidia serikali ya…

21/09/2014 / Kusikiliza /
Kampeni ya HeForShe inawaomba wanaume wachukue hatua kwa ajili ya wanawake » Ujumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ebola waanza operesheni zake kwa dharura »

Mahojiano na Makala za wiki

Chapisho kuhusu adhabu ya Kifo kuzinduliwa wakati wa kikao cha Baraza Kuu »

Gereza.Picha ya UM/Martine Perret

Tarehe 25 mwezi huu wa Septemba, Ofisi ya haki za binadamu ya  Umoja wa Mataifa itazindua chapicho kuhusu adhabu ya Kifo. Tukio…

19/09/2014 / Kusikiliza /

Kigali yapambana na uchafuzi wa mazingira »

Picha ya Poverty Environment Initiative

Nchini Rwanda juhudi za kibinafsi pamoja na utashi wa kisiasa zimechangia katika kupambana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi. Katika kipindi cha…

19/09/2014 / Kusikiliza /
Utunzaji wa bonde la mto wahifadhi mazingira Tanzania » Mradi wa Benki ya Dunia waleta nuru kwa familia Tanzania »

Mradi wa Benki ya Dunia waleta nuru kwa familia Tanzania »

Jiko la mkaa

Katika juhudi za kuimarisha maisha ya wakazi wa mkoani Mara nchini Tanzania benki ya dunia imefanya mradi wa kutoa mafunzo kwa ajili…

17/09/2014 / Kusikiliza /

Wakulima wanufaika na kilimo cha kisasa Afrika Mashariki »

Ng'ombe.Picha ya benki ya dunia(video)

Katika kuboresha kilimo kinachohifadhi mazingira na kupunguza umasikini mpango maalum unaodhaminiwa na benki ya dunia umejikita katika nchi za Afrika Mashariki ili…

16/09/2014 / Kusikiliza /
Mradi nchini Kenya waua ndege wawili kwa jiwe moja » Wacheza filamu na wasomi wajadili uelewa wa biashara ya utumwa »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

HRC.Picha ya UM/maktaba

Baraza la haki za binadamu lajadili operesheni za kijeshi kukabili ugaidi »

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa limekuwa na majadiliano yaliyolenga kukabiliana na vitendo vya ugaidi vinavyoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali. Katika majadiliano hayo wajumbe kwenye baraza hili…

22/09/2014 / Kusikiliza /

Kampeni ya HeForShe inawaomba wanaume wachukue hatua kwa ajili ya wanawake »

emma Watson - Picha ya UN Women

Kampeni ya HeForShe, ikimaanisha mwanaume asimame kidete kwa ajili ya mwanamke inazinduliwa leo tarehe 20, septemba, na Shirika la Umoja wa Mataifa…

20/09/2014 / Kusikiliza /

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ebola waanza operesheni zake kwa dharura »

Harakati za kujikinga dhidi ya Ebola. (Picha@WHO)

Kufuatia mkutano maalum wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Ebola, Katibu Mkuu Ban Ki Moon ametangaza kuunda ujumbe  wa dharura…

20/09/2014 / Kusikiliza /
Ban Ki Moon azindua kampeni ya haki za wanawake pamoja na Emma Watson na Kiefer Sutherland » Baraza la usalama lataka usaidizi wa kimataifa kukabiliana na ISIS » Ebola: Kenya yatathmini sitisho la safari za ndege zake kwenda Afrika Magharibi »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Siku ya Kimataifa ya Amani 2014 – Ujumbe wa Ban

MKUTANO WA BARAZA KUU WA 69

MKUTANO WA TABIANCHI 2014

Kuungana

FAHAMU KUHUSU EBOLA

Mawasiliano mbalimbali

 • Siku ya kimataifa ya demokrasia: Vijana wapewe kipaumbele

  Siku ya kimataifa ya demokrasia: Vijana wapewe kipaumbele

  Soma Zaidi

 • Ebola ni dharura ya afya ya umma:WHO

  Ebola ni dharura ya afya ya umma:WHO

  Soma Zaidi

 • Shujaa wa usaidizi wa kibinadamu: Jack Kahorha

  Shujaa wa usaidizi wa kibinadamu: Jack Kahorha

  Soma Zaidi

 • Liberia na siku ya Furaha duniani

  Liberia na siku ya Furaha duniani

  Soma Zaidi

 • Ban na Amos na usaidizi wa binadamu

  Ban na Amos na usaidizi wa binadamu

  Soma Zaidi

 • Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Hafla ya kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia yafanyika kwenye UM

  Soma Zaidi

 • UM wazindua muongo wa nishati endelevu kwa wote; Tanzania yaweka bayana mipango yake

  UM wazindua muongo wa nishati endelevu kwa wote; Tanzania yaweka bayana mipango yake

  Soma Zaidi

 • VIDEO: Kamanda wa kikosi cha UNAMID azungumzia hali ya Darfur.

  VIDEO: Kamanda wa kikosi cha UNAMID azungumzia hali ya Darfur.

  Soma Zaidi

 • Baraza la Usalama laitisha azimio kuhusu Jamhuri ya Afrika ya kati

  Baraza la Usalama laitisha azimio kuhusu Jamhuri ya Afrika ya kati

  Soma Zaidi

 • Kumbukizi ya mauaji yakimbari Rwanda

  Kumbukizi ya mauaji yakimbari Rwanda

  Soma Zaidi

 • Siku ya kujenga hamasa kusaidia watu wenye ulemavu wa akili

  Siku ya kujenga hamasa kusaidia watu wenye ulemavu wa akili

  Soma Zaidi

 • Uzinduzi wa UNDAF Kenya

  Uzinduzi wa UNDAF Kenya

  Soma Zaidi

 • Ban awasili Greenland

  Ban awasili Greenland

  Soma Zaidi

 • Siku ya Ushairi duniani Machi 21

  Siku ya Ushairi duniani Machi 21

  Soma Zaidi

Hapa na pale

Msafara wa WFP ukiwa na msaada wa chakula ukielekea mji mkuu kwa ajili ya ugawaji wa chakula(Un news center)

Timu ya UM yawasili Libya kutoa misaada »

Msafara kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa umewasili magharibi wa Libya ukiwa misaada mbalimbali kwa ajili ya wakazi wa eneo hilo walioathiriwa na machafuko. Msafara huo ukijumuisha shirika la kuhudumia wakimbizi na…

22/09/2014 / Kusikiliza /

Mabadiliko ya Tabianchi tuchukue hatua sasa: Ban »

SGClimateMarch1-300x257

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameshiriki maandamano yaliyofanyika katikati ya jiji la New York, Marekani, Jumapili mchana yakiwa…

21/09/2014 / Kusikiliza /

Ban Ki Moon azindua kampeni ya haki za wanawake pamoja na Emma Watson na Kiefer Sutherland »

Kuanzia upande wa kushoto, mkurugenzi mkuu wa UN Women Phumzile Mlambo-Ngucka; Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Sam Kahamba Kutesa; Balozi Mwema wa UN Women Emma Watson; Katibu Mkuu Ban Ki-moon; mke wake Yoo (Ban) Soon-taek; na mchezaji wa filamu Kiefer Sutherland. Picha ya UN Women/Simon Luethi

Ukumbi wa Umoja wa Mataifa umejaa siku ya jumamosi tarehe 20 Septemba wakati wa uzidunzi wa kampeni ya HeForShe inayolenga kufikia usawa…

20/09/2014 / Kusikiliza /
Wakati wa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi ni sasa:WMO » Sayansi ya tabianchi ni muhimu katika kuhimili mabadiliko ya tabianchi- mashirika ya UM » Sura ya dunia inabadilika: tunapaswa kustahamili » Mashambulizi mengine Yemen yasababisha watu kukimbia makwao »

Taarifa maalumu