Habari za wiki

Uchumi unaojali mazingira kuchangia kwa dola bilioni 45 katika uchumi wa Kenya »

kenya environment

Nchini Kenya, Shirika la Mpango wa Mazingira katika Umoja wa Mataifa, UNEP, limesema kwamba uchumi unaojali mazingira unaweza kuchangia…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Kampuni kubwa za Cola zaunga mkono kanuni kuhusu umiliki wa ardhi »

Vinywaji vya cola (picha ya FAO)

Kampuni za kubwa za kutengeneza vinywaji vya viburudisho, PepsiCo na Cola Cola zimeunga mkono miongozo isiyo shuruti ya kulinda…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Baraza la Usalama laonyeshwa picha za kusikitisha za mauaji Syria » Mahakama ya ICTY yakataa maombi ya Mladic kuachiliwa »

Mahojiano na Makala za wiki

Homa ya kidinga popo yasambaa Tanzania, mmoja athibitika kufariki »

Mbu anayeambukiza kidinga popo

  Nchini Tanzania watu 147 wamethibitika kuwambukizwa ugonjwa wa homa ya kidinga popo yaani homa ya dengu huku mtu mmoja akiripotiwa kufariki…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Elimu ya msingi yaboreshwa Uganda »

Wanafunzi wakiwa darasani

Nchini Uganda baada ya vuta ni kuvute ya muda mrefu kati ya serikali na walimu husuani washule za masingi ambao walikuwa wanadai…

14/04/2014 / Kusikiliza /
Kumbukizi ya miaka 20 ya mauaji ya Kimbari nchini Rwanda » Athari za Zebaki zaangaziwa »

UNMISS yaboresha vipato vya wananchi Sudani Kusini »

unmiss magari

Wakati machafuko nchini Sudani Kusini yakiripotiwa kundelea ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS umeanzisha mradi wa kusafisha magari ambao angalu…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed azungumzia MINUSCA, MONUSCO na UNAMID »

Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed Mnadhimu Mkuu, DPKO na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa wakati wa mahojiano

Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zinaendelea maeneo mbali mbali duniani ikiwemo barani Afrika. Majukumu ya kila operesheni yanategemea…

11/04/2014 / Kusikiliza /
Fahamu ugonjwa wa homa ya ini, Hepatitis C na E. » Kila dakika mwanamke hubakwa DRC »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Katibu Mkuu Ban Ki-Moon kwenye mkutano huo wa ngazi ya juu mjini Mexico City.

Ubia shirikishi ndio siri ya uwajibikaji na maendeleo: Ban »

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema ubia shirikishi ni muhimu kufanikisha ajenda ya Busan ya miaka miwili iliyopita. Ajenda hiyo inataka ushirikiano katika kuondoa umaskini ili hatimaye…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Baraza la usalama lalaani kutekwa kwa balozi wa Jordan huko Libya, lataka aachiwe huru »

Baraza la usalama

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali shambulio dhidi ya msafara wa maafisa wa kibalozi wa Jordan nchini…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Baraza la Usalama laonyeshwa picha za kusikitisha za mauaji Syria »

ramani ya Syria

Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo wameonyeshwa picha za kushangaza na za kusikitisha kuhusu mauaji ya kinyama ambayo…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Bentiu pamoja na machimbo ya mafuta yashikiliwa na waasi: UNMISS » Matumizi ya kijeshi yapunguzwe na yawe wazi zaidi, UM waomba » Guinea Bissau : Asilimia 70 wamepiga kura kwenye uchaguzi mkuu »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Baraza la Usalama laidhinisha askari wa UM kwenda CAR

Mkutano wa miji Duniani-Colombia

Siku ya wanawake 2014

Malengo ya Maendeleo ya Milenia

Mawasiliano mbalimbali

Hapa na pale

Wakimbizi kutoka Eritrea

Mtaalam wa haki za Binadamu akaribisha kuachiliwa kwa wakimbizi wa Eritrea nchini Djbouti »

Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Eritrea, Sheila B. Keetharuth, amepongeza kuachiliwa huru leo kwa wakimbizi wa Eritrea na waomba hifadhi ambao walikuwa wamezuiliwa kwenye…

15/04/2014 / Kusikiliza /

Vijana walengwa kushirikishwa kwa njia 10 katika upokonyaji silaha »

michael douglas un

Mchezaji wa filamu Michael Douglas ameshiriki leo katika uzinduzi wa kitabu kipya, kinacholenga kuelimisha vijana kuhusu upokonyaji silaha. Kitabu hicho kinachoitwa "Upokonyaji…

15/04/2014 / Kusikiliza /

MONUSCO yathibitisha kifo cha Paul Sadala »

Walinda amani wapiga doria DRC

Charles Antoine Bambara, ambaye ni Msemaji wa ofisi ya Umoja wa Mataifia katika Jamhuru ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, MONUSCO, amesema kuwa…

15/04/2014 / Kusikiliza /
Mahakama ya ICTY yakataa maombi ya Mladic kuachiliwa » WFP yatoa msaada kunusuru waathiriwa wa machafuko Iraq » Ban alaani mauaji katika shambulio chini Nigeria » Itifaki ya ziada yaanza kutumika leo kuwezesha watoto kudai haki zao pindi zinapokiukwa »

Taarifa maalumu

MATAYARISHO YA RIO+20