Kusaidia wanawake kuko damuni mwangu: wakili Kamunya

Kusikiliza /

Mwanamake katika biashara ya kushona nguo nchini Kenya. Picha: UN Women

Ann N. Kamunya wakili mtetezi wa haki za wanawake, raia wa Kenya ambaye sasa yuko Ankara Uturuki akifanya kazi za kujitolea na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR anasema , suala la kutoa msaada hususan kwa wanawake liko katika damu yake. Na kazi hiyo ya kutetea wakina mama iwe kisheria kwa masuala mengine hajaianza leo wala jana ,n ahata sasa nchini Uturuki anaiendelea hasa kwa kuwasaidia wanawake na watoto wakimbizi. Ungana na Flora Nducha katika Makala hii ambapo Ann anaanza kwa kufafanua anachokifanya Ankara.

 

 

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031