Nyumbani » 18/12/2017 Entries posted on “Disemba 18th, 2017”

Ushelisheli yajizatiti kulinda msingi wake wa uchumi

Kusikiliza / matumbawe2

Umoja wa  Mataifa  na washirika wake wamekuwa mstari wa mbele katika suala la mazingira kama ilivyo katika lengo namba 13  la ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 kuhusu mazingira na tabianchi. Katika mkutano wa Paris wa mwaka 2015, nchi wanachama walipitisha mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi wenye lengo la kudhibiti shughuli za [...]

18/12/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kutolinda suluhu ya mataifa mawili kunadhoofisha wasimamizi na kuimarisha wanamgambo:Mladenov

Kusikiliza / Nickolay Mladenov, Mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mchakato wa amani wa Mashariki ya Kati akizungumza kwenye baraza la usalama leo kuhusu hatua za mchakato huo wa amani. Security Council.
Picha: UN/Eskinder Debebe

Umoja wa Mataifa umerejelea kauali yake kwamba Yerusalemu ni suala la mwisho kuhusu Mashariki ya Kati ambalo linapaswa kushughulikiwa kupitia mazungumzo ya amna kwa ana baina ya Israel na Palestina. Hayo yamesemwa leo kwenye kikao cha baraza la Usalama na mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mchakato wa mani ya Mashariki ya [...]

18/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la msaafara wa misaada Nigeria

Kusikiliza / WFP Nigeria

Mratibu wa shuguli za kibinadamu za Umoja wa Mataifa nchini Nigeria Bwana Edward Kallon amelaani vikali shambulizi la msafara wa misaada ya kibinadamu uliotokea tarehe 16 kazkazini mashariki mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa hii, shambulizi  hilo lilitokea  katika mji wa Dikwa na Gamburu katika  jimbo la Borno na kusababisha vifo vya raia 4 [...]

18/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mbinu za kupunguza njaa zazaa matunda Nigeria

Kusikiliza / Wakulima Nigeria wajivunia mazao(Mtama)ya shamba lao.Picha: FAO

Hiki kitakuwa chakula chakunitosha mimi na familia yangu na kingine nitauza na pesa nitatumia kuwapeleka watoto shule. Hii ni kauli ya leo Aisha Ibrahim ambayo haikuwahi kusikika kwa miaka 3 iliyopita lakini leo Aisha anaisema baada ya kuvuna mazao yake huko Yobe nchini Nigeria. Shukrani wakizitoa kwa shirika la Chakula Kilimo la Umoja wa mataifa [...]

18/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Apu kwa ajili ya wahamiaji yazinduliwa:IOM

Kusikiliza / IOM limezindua Apu mahsusi kwa ajili ya wahamiaji ijulikanayo kama MigApp. Picha: IOM

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya wahamiaji, hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limezindua Apu mahsusi kwa ajili ya wahamiaji ijulikanayo kama MigApp. Apu hiyo ni nyenzo inayochukua fursa ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano iliyosambaa ya simu za viganjani ili kuwa na jukwaa moja la mawasiliano ambapo wahamiaji wanaweza kuwa [...]

18/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Washindi wa habari bora kuhusu uhamiaji watangazwa

Kusikiliza / ILO yatangaza washindi wa habari bora kuhusu uhamiaji watangazwa.Picha: ILO

Ikiwa leo ni siku ya wahamiaji duniani, shirika la kazi ulimwenguni ILO limetangaza washindi wanne wa shindano la kimataifa la uandishi wa habari na uandaaji vipindi chanya kuhusu uhamiaji na ajira. Washindi hao ni miongoni mwa kazi 350 zilizowasilishwa kutoka nchi 73 duniani ambapo katika ripoti zao kwenye vyombo vya habari walionyesha jinsi wenyeji walivyowapokea [...]

18/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uingereza yaitikia wito wa WFP

Familia nchini Yemen wapata lishe muhimu mara moja tu kwa siku. Picha: WFP

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP, limepokea dola milioni 67 kutoka Uingereza ili kusaidia  mahitaji ya kibinadamu nchini Yemen.   Nicolas Oberlin ambaye ni Naibu Mkurugezi wa WFP kanda ya Mashariki ya Kati amesema fedha hizo zitasaidia kuokoa maisha ya zaidi ya watu Laki sita na nusu ambao wanakabiliwa na tatizo la njaa.   [...]

18/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mtazamo kuhusu uhamiaji unasikitisha- Arbour

Kusikiliza / Siku ya wahamiaji duniani. Picha: UM

Hii leo ikiwa ni siku ya wahamiaji duniani, Umoja wa Mataifa umetaka kampeni mahsusi ya kubadili mtazamo wa umma kuhusu wahamiaji. Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu uhamiaji, Louise Arbour ameieleza Idhaa ya Umoja wa Mataifa kuwa.. (Sauti ya Louise Arbour) "Katika mazingira mengi watu hudhani wahamiaji ni wanaume tena vijana ambao [...]

18/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031